watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Misaada na Mikopo ni chakula cha Mafisadi, Watanzania tuipinge kwa nguvu zote

    Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ? Misaada na Mikopo yenyewe pesa zina Masharti mabovu . Unapewa pesa unaambiwa ujenge madarasa sijui visima ,vyoo ,ina tija...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ubaya hauna kwao. Ya Loliondo ni zao la watanzania kutokemea ubaya

    Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake. Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM. -Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c -CUF, NCCR, Chadema, Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni...
  3. JamiiForums Tanzania Amkeni Watanzania, nchi yetu siyo masikini; ni kikundi cha watu wachache kinaitafuna

    Acheni kupumbazwa nakauli za CCM kuwa Tanzania ni maskini lipo kundi dogo ndani ya CCM linaitafuna hii nchi kwa kupeana vyeo mbalimbali katika maeneo mbalimbali. Nchi yetu siyo maskini bali kundi la watu wachache ndani ya CCM ndiyo majizi makubwa yanayitafuna fedha za umma na kuingia mikataba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu Tanzania na Watanzania tutavuna tulichopanda kwa kukumbatia Katiba iliyopitwa na wakati

    Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu itatupatia dikteta wetu. Katiba hii imempa rais madalaka makubwa mno , rais anauwezo hata wa kulivunja...
  5. JamiiForums Tanzania Maisha ya Watanzania yanachezewa na CCM, wananachi wanahangaika huku wanasiasa wa CCM wakiwaona wananchi ni wajinga

    Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe. Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga. Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa...
  6. JamiiForums Tanzania Ulipowalundikia Watanzania na ''Mitozo' yako hukuona kuwa unawapa Mzigo? Unafiki wako na Tamaa zako zitakugharimu pakubwa mno?

    "Napendekeza yeyote aliyeko kwenye nafasi ya kuteuliwa, akitolewa lakini akabaki kwenye utumishi wa umma, arejee pia kwenye mshahara aliokuwa analipwa kabla ya kuteuliwa, hii itawapunguzia mzigo watanzania".Waziri Nchemba. Chanzo: ITV Tanzania Yaani kuna muda huwa hata navidharau na hivi Vyuo...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina anazidi kutufumbua macho Watanzania

    Akiomba Bungeni kwamba Mh spika Aunde tume ya uchunguzi. Juu ya Ujenzi wa Bwawa la Nyerere pamoja na Upandaji wa Bei za Mafuta pamoja na mbolea. Kwamba kuna wajanja wanatengeneza michezo kwa kisingizio cha vita ya Urusi. Kusema ukweli Mimi namuunga mkono Mh mpina hali ni mbaya sana mtaani...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo yanayomfanya Rais Samia kupendwa sana na Watanzania

    Wataalam wa mambo tunajua kuna vigezo vingi vinavyozingatiwa ili kutolewa tuzo ya Amani ya Nobel. Yanayowekwa hapa ni baadhi tu ya mambo yanayomfanya Rais Samia kupendwa sana na watanzania kama kiongozi mwenye kujali watu wake na mwenye weledi mkubwa wa kiuongozi; 1. Elimu bure kuanzia darasa...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, Watanzania watakukumbuka

    Uko vizuri upstair. Umetengeneza tatizo utakalolitatua 2024/2025. Kulipa kodi ya kichwa ni tatizo ulilolitengeneza kwa manufaa ya CCM. Tatizo hili utaliondoa bajeti ya 2024/2025 kuwa limekuwa kero kwa watz hivyo unaiondoa kodi watu wapate unafuu. Wananchi watafurahi kuwa Serikali inawajali...
  10. JamiiForums Tanzania Airtel na Voda wanarushiana mpira hawataki kurudisha hela yangu. Je, ni watanzania wangapi wanaibiwa kwa kukata tamaa kufatilia?

    Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa. Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
  11. JamiiForums Tanzania Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.

    Wanabodi, Karibu Makala yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" Jumapili ya Leo Hii ni makala mwendelezo ilianzia hapa Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha? Kama kawaida yangu, kila Jumapili, huibuka na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi mbili za Hayati Magufuli zilifuta Mazuri yake Mengi sana, Watanzania kuna la kujifunza hapa

    Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo. Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ya Wamasai ni testing ground ya kuhamisha Watanzania wengine maeneo yao

    Serikali imefanikiwa kweli kuhamisha wamasai kutoka eneo lao la asili walilo zaliwa na kupelekwa maeneo mapya bila ya wao kupenda. Ni wahakikishie kwamba kuhamisha Watanzania kupisha wawekezaji hakutaishia Ngorongoro pekeee na kwa sasa bench mark itakuwa ni Ngorongoro, kwamba kule ilifanikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kodi nyingi zitatuzindua usingizini Watanzania na kudai haki zetu, Nchemba umechemka kuhusu 18 years kulipa kodi ya kichwa

    Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua. Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji wa serikali wanavyofanya mambo kiholela na kimazoea. Ni sababu ya kutolipa kodi au kodi kidogo ndiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Raia Samia: Watanzania pia wananiita Ibn Battuta

    Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje? Mama kasema hiyo haimpi shida maana wengine pia wamempa jina la Ibn Battuta lakini bado anachapa kazi. Ibn Battuta alikuwa ni jamaa Fulani...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania wanashangaza Sana; hawataki kujiingiza kwenye Siasa halafu wanalaumu Wanasiasa!

    Kwema Wakuu! Napenda Siasa Kwa sababu ni mchezo wa wenye wajanja. Napenda Biashara Kwa sababu ni mchezo wa wenye bahati, napenda Fasihi na Falsafa Kwa sababu ni uwanja wa Akili na hekima. Napenda sheria Kwa sababu ni mto ubebao Haki na Dhulma. Itoshe! Watanzania wengi ni watu wa ajabu Sana...
  17. JamiiForums Tanzania Ujinga na Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania

    Bado nasema na nitasema daima , kati ya jambo ambalo bado serikali imefeli kupambana nalo ni ujinga na ushamba na ukitaka kuona nchi hii wajinga ni wengi sana basi fuatilia mijadala ya humu JF Leo Mama Samia kafanya kikao na wafanyabiashara wa Oman na ameelezea fursa ya kusafirisha wanyama hai...
  18. JamiiForums Tanzania Tsh Bilioni 100 za Rais kila mwezi kwenye mafuta ni neema kwa Watanzania

    Na John Mwakanga, Mbeya Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi. Juni 10...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaacha kutuletea Maendeleo Watanzania kazi yenu kutwa ni kutishia tu wasema ukweli au watoa taarifa sahihi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua.. Chanzo: Dar Mpya Blog Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati wa Magufuli utiaji saini mikataba mikubwa kama LNG, kungekuwa na wawakilishi wa makundi yote

    Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk. Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…