watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo ana hoja kuhusu uraia pacha kwa Watanzania

    Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ijali Watanzania kama inavojali mchezo wa mpira

    Kama watendaji wa hovyo kwenye usimamizi wa uwanja wa Benjamin William Mkapa wamesimamisha ,vipi kuhusu waliohusika na ubadhirifu wa Mabillion kutokana na Ripoti ya CAG ni wazi Basi serikali haioni umuhimu kwenye masuala yanayogusa Rasimali za Watanzania maskini na wanyonge. May Mosi Njema kwa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Bomoa bomoa ya makazi kilio cha Watanzania

    BOMOA BOMOA YA MAKAZI KILIO CHA WATANZANIA Utangulizi Bomoa bomoa ya makazi imekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania. jambo ambalo limesababisha adhali nyingi sana kwa wananchi na kupelekea wengi wao kukosa makazi kwa kubomolewa makazi yao na kuangukia kwenye umaskini wa kupindukia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania tutapuuza kutetea na kutafuta haki za Marehemu, maisha yetu yatazidi kuwa hatarini siku kwa siku

    Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike. Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je...
  5. JamiiForums Tanzania Leo Watanzania tunaandika historia

    Salaam wakuu, BIla Shaka Leo ndio Ile siku ambayo YANGA inaenda kuandika HISTORIA kubwa katika nchi hii Kwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya KOMBE LA SHIRIKISHO na waTanzania Leo tunaenda kuwa sehemu ya HISTORIA hii. Najua kuna watu wanaumia Kwa mafanikio ambayo YANGA inaenda kuyapata Leo hii...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Morogoro Awakaribisha Watanzania Wote kwenye Mei Mosi Morogoro

    MBUNGE MHE. ABOOD ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI MOROGORO Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini MHE. DKT. ABDULAZIZ M. ABOOD anawakaribisha Watanzania wote kutoka kila Eneo la Nchi yetu kwa ajili ya Sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika tarehe 01.05.2023 Morogoro Mjini...
  7. JamiiForums Tanzania Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ateuliwe tena kukamilisha kazi aliyotumwa na Watanzania

    Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba. Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Simba wameonyesha Watanzania tukidhamiria na kuwekeza tunaweza

    Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli. Tunahitaji kuwa na wanasiasa serious wanaoweza kufanya mambo serious Kwa ajili ya kudhibiti rasilimali zetu. Simba...
  10. JamiiForums Tanzania Miradi ya World Bank (Benki ya Dunia) wanatuibia Watanzania!

    Miradi ya World Bank hapa nchini ni mingi, lakini ina walakini. Miradi hii inawekewa masharti ambayo serikali huwa inayakubali bila kupitia vipengele vya utekelezaji miradi yenyewe. Hi ina maana Wizara yetu ya Fedha inaingia hii miradi kichwa kichwa bila kupitia vipengele vya masharti. Miaka...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Watanzania tusijitathmini au japo kujilinganisha na wenzetu?

    Zambia na Tanzania ni nchi mbili majirani. Tanzania tukiwa kwenye rojo la CAG na ubadhirifu mkubwa, hali hizi: ni sehemu ya maisha. Kama vile haitoshi, huku kazi inaendelea: Zambia ni hawa hapa: Kwa nini wanaokenua kwetu kama si mananihii kabisa, wasipimwe japo mkojo? Tujitafakari...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe ukiacha kuchukua stahiki yako kama Mahakama ilivyoagiza, wewe sio rafiki wa Watanzania!

    Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba. Kumbuka kuwa sio wewe peke yako ulidhalilishwa na Musiba, wewe ni muwakilishi tu, tupo wengi tulioshindwa kwenda mahakamani kumshtaki...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wajinga na kuvuna wanayopanda

    Tanzania ni nchi ya aina yake kulinganisha na zingine zote duniani. Kwa hakika ni halali wengine kuiita kuwa ni nchi ngumu sana. Chukua muda uisome nchi hii kupitia kwa watu wake. Zanzibar wanaweza kuwa tofauti, lakini si bara. Inasikitisha kuwa Tanzania bara ni jamii ya watu waliojaa...
  14. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuilaumu Law School, watanzania wanajua kwamba baadhi ya wanafunzi vyuo binafsi huwaandalia" fungu" waalimu ili wafaulu?

    Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa mkali pale wanafunzi wanapochelewa, na katika mtihani alikuwa hana mzaha. Mmoja wa wanafunzi...
  15. JamiiForums Tanzania Wapendwa watanzania wenzangu, Tujifunzeni kiswahili

    Napenda kuwashauri ndugu zangu Watanzania kujifunza Kiswahili kwa bidii na azma thabiti. Ingawa Kiswahili ni lugha yetu ya asili, ina faida nyingi ambazo hazipaswi kupuuzwa. Kwanza kabisa, Kiswahili ni lugha inayotumiwa sana katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, utalii na utamaduni. Kwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania CCM, nani mwenye sababu za kwa nini Watanzania ni masikini wakati nchi imezungukwa na Utajiri kila kona?

    Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo. Wanakosaje Ubunifu? Ni kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
  18. JamiiForums Tanzania Uzembe wa watanzania

    Ni Tanzania pekee Kati ya nchi zote nilizosafiri Afrika unakuta mtu kaacha duka lake wazi kabisa katoka hajaacha mtu wala nini Sasa cjui ndo uaminifu sana au nini au hata Km kaacha mtu basi kafunga kasepa. Jana nlikuwa Mapinga pia maduka kibao ivyo Yaani akili zetu zimelala wateja wanakuja wao...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

    Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele. i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania huungana na kushirikiana kwa dhati kwenye kumpiga mwizi tu ila sio kwenye biashara.

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ukweli usiofichika kwamba hapa nchini Tanzania ni ngumu sana biashara iliyofunguliwa kwa ushirikiano wa kuanzia watu wawili ni ngumu sana kudumu. Ukimtoa kumpiga mwizi huwa tuna umoja wa dhati kwenye kushabikia Simba/Yanga. Kwenye ushabiki wa hizi timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…