watalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoyo Zhou

    China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa

    Tovuti ya Travel And Tour World ya Marekani hivi karibuni ilitoa makala, ikisema China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa duniani. Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2025, idadi ya watalii walioingia nchini China ilizidi milioni 150, ambalo ni ongezeko la zaidi ya asilimia...
  2. A

    KERO Taasisi ya TAWA iwafikirie Vijana waongoza watalii (Tour Guides) wanaojitolea muda mrefu bila kupewa ajira

    Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
  3. Yoyo Zhou

    Watalii wa kimataifa wajiunga na sherehe ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina nchini China

    Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina inakaribia. Siku hizi katika mitaa na vichochoro nchini China, kuna wageni wengi ambao wamekuja China kujionea na kupata uzoefu wa sikukuu hiyo muhimu sana kwa Wachina. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina imekuwa kivutio kipya cha China kwa watalii...
  4. Yoyo Zhou

    Marejesho ya VAT kwa watalii wa kigeni yaongezeka kwa kiasi kikubwa nchini China

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Kodi ya China zinaonesha kwamba, mwaka 2025, idadi ya watalii wa kigeni walioomba marejesho ya kodi ya nyongeza ya thamani (VAT) iliongezeka kwa asilimia 305, huku marejesho ya VAT yakiongezeka kwa takriban asilimia 96. Siku hizi watalii kutoka...
  5. I

    Nchi 10 za Afrika zilizo salama kwa watalii kutembelea 2026. Tanzania haimo

    Usalama wa kusafiri barani Afrika unatofautiana kwa kiwango kikubwa, kulingana na eneo na nchi husika. Viwango kama Global Peace Index (GPI) na Safest Countries Index hutumika kupima usalama wa kisiasa na wa raia katika nchi mbalimbali. Kwa mujibu wa viwango hivyo, Mauritius inaongoza kwa kuwa...
  6. B

    Uhamiaji kukagua akaunti za kijamii za watalii, wasafiri wanaoomba visa au kupitia vituo vya mpakani

    Mamlaka za Uhamiaji yaanza kutekeleza sheria ya kuoneshwa akaunti za Mitandao ya Kijamii ya ya wanaoingia nchini kama watembezi au kazi, wanafunzi n.k : Ili kutii Agizo tamko la Januari 2025 14161 (Kulinda Marekani dhidi ya Magaidi wa Kigeni na Vitisho Vingine vya Usalama wa Kitaifa na Usalama...
  7. stakehigh

    Baada ya kushauri serikali kuongeza ndege kutokana na watalii kua wengi, Hatimae serikali imekubali ushauri huo

    https://www.youtube.com/watch?v=huc7hrWFaaU https://www.jamiiforums.com/threads/watalii-ni-wengi-sana-serikali-ijitahidi-kuongeza-angalau-ndege-2-mpya-za-direct-route-kutoka-major-destinations.2401692/
  8. M

    TEC Na CCM, nani alaumiwe kuhusu maandamano?

    TEC imekuwa ikipinga utekaji ambao umekuwa ukifanywa na CCM, ila CCM yenyewe imekuwa haitaki kupingwa na yeyote kuhusu mambo hayo haramu TEC imekuwa ikiishauri CCM kuwa, si vizuri wapinzani wakawa ni watu wa kukamatwa na kuswekwa lumande kisa wanaikosoa CCM kwa sababu kufanya hivyo ni kuleta...
  9. Penguinelli Cactussini

    PICHA: Hivi ndio CCM wanavyoona ile picha ya watalii wanaoondoka

    Mtu wa kawaida: Picha (hapo chini) ikionyesha watalii wakiondoka Tanzania kwa kile kinachotajwa kuhofia usalama wao kuelekea D9. Ukiwa CCM na chawa kama CV no 2: Picha hapo chini ni Mamia ya watalii wakimiminika Tanzania kwa ajili ya kufurahia likizo yao.
  10. ChekoFagia

    Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

    Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30. ic
  11. Bushmamy

    Arusha: Makampuni ya utalii pamoja na hoteli za kitalii wapata hasara baada ya watalii kuondoka

    Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya...
  12. Genius Man

    Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?

    Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ? Leo serikali imeaibika na kutrend vibaya sana na zile video za mauwaji zime trend zaidi na kupewa umakini na dunia. Serikali haramu inazima moto kwa kuwasha kiberiti.
  13. R

    PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  14. stakehigh

    Watalii 48,000 ndan ya wiki 2, Utalii Tanzania unapaa zaidi

    https://dailynews.co.tz/tourism-rising-tanzanias-beauty-outshines-noise/ Idadi ya watalii imezidi uwezo wa kawaida unaotegemewa, hoteli zote zimejaa mpaka january
  15. stakehigh

    Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

    Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
  16. Mto wa mbu

    PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

    Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania. Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi. Ikumbukwe ya...
  17. Ricky Blair

    Nchi zenye Watalii wengi duniani

    Alafu kuna watu wanapiga kelele na Tz yao yenye watalii milioni 2
  18. Just Pray

    Watalii waporwa vifaa vya thamani ya zaidi ya dola elfu 12 za kimarekani wakiwa katika hoteli ya Shivo Paje Villas, Zanzibar

    Watalii waliokuwa katika hoteli ya Shivo Paje Villas visiwani Zanzibar wamepata mshtuko mkubwa baada ya kuporwa vifaa vyao vyote vya kamera na mali nyingine zenye thamani ya zaidi ya dola 12,750 za Kimarekani. Kwa mujibu wa taarifa walizotoa, vitu vilivyoibwa ni pamoja na: Kamera Canon R5 Mark...
  19. R

    Filamu ya Royal Tour yaongeza watalii nchini

    Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu anaingia madarakani mwaka 2021 sekta ya utalii ilikuwa inapitia katika mazingira magumu kutokana sababu mbalimbali ikiwemo athari ya UVIKO 19 Mapato ya utalii yalipungua sana, ajira nyingi zikashuka, wanufaika wa sekta hii wakaathirika kiuchumi. Hata hivyo, ujio...
  20. Traxtion

    Watu wengi wa Japan wanachukia watalii

    Tokyo Japan Wengi wetu tunawachukulia Wazungu kama watu wenye ustaarabu lakini sio kweli kama tunavyodhani. Japan ina watu waliostaarabika kuliko wazungu na kwa mtu yoyote anayeijua Japan anaweza kunielewa. Osaka, Japan Wajapan wanazingatia usafi, ukimya, ustaarabu na wengi wao hujali mambo...
Back
Top Bottom