Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.
Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk. Samia Suluhu Hassan, Watanzania ni mashahidi wa kazi kubwa aliyoifanya katika miaka minne na nusu ya uongozi wake.
Akizungumza Septemba 1,2025 katika...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena.
Wasira ameyasema hayo Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na...
Hilo kundi unalolipigia debe siyo kundi lako toka zamani na hata Leo. Zaidi tu ni kwamba wote mpo kwenye kapu Moja la CCM. Walikuweka hapo kimkakati tu. Kuisogeza lake zone ambayo ni zone pendwa kwa walaji. Na wajua kabisa kwamba wewe upo mwishoni ama kwa kutupa taulo mwenyewe au kwa kazi ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira amesema Itakua jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu.
Aidha Wasira amesema walikutana na chama hicho chini ya mwamvuli wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chini mwenyekiti wake Tundu Lissu ili kujadili tofauti zilizopo kati ya vyama...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi.
Amesema...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi.
Amesema...
Hakuna nchi ambayo haina mtu anayenung’unika- hakuna, hata ungelifanyaje kutakuwa na mtu pale ana matatizo yake na atanung’unika kwa wakati wake na mahali alipo. Ukisema watu wananung’unika nchini nitakuuliza wangapi wananung’unika maana tupo wengi.
Wakati nafanya kazi kwenye serikali ya awamu...
“Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa chini ili kuongeza kazi ya kukuza uchumi.
Wasira...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kambarage Wasira (kushoto) akichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge Bunda Mjini.
Kambarage amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumanne Juni 30, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Bunda, Evodia Zumba katika ofisi chama hicho wilayani humo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.