wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Akina mama wanajua vizuri mapenzi wanayotoa hayanunuliwi, Tajiri anaweza kunyang'anywa mke na bodaboda

    "Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura. Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Kura za maoni CCM mwaka huu majina ni matatu tu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa katika kura za maoni mwaka huu, wanachama wa chama hicho watapewa majina matatu pekee ya wagombea watakaoshindania nafasi ya kupeperusha bendera ya chama katika nafasi ya ubunge. Akihutubia wananchi wa Tunduma...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Sijaona dalili za Watanzania kupoteza imani na CCM

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema bado hajaona dalili za wananchi kutokukiamini chama hicho kutokana na kazi iliyofanywa na chama hicho ya kuboresha maisha yao. Akizungumza na wanachama wa chama hicho wilayani Mbozi mkoani Songwe juzi, Wasira alisema kazi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Wasira amewazidi vijana wengi sana upeo wa kufikiri!

    Huyu mzee nimemfatilia kiasi chake, Ana busara,ana utulivu,sio mlalamishi,hana nguvu nyingi za mwili kama vijana ila ana nguvu katka kauli! Na kwa sababu hiyo katika mijadala wengi hasa vijana huishia kumtukana badala ya kumjibu kwa hoja! Wengi huishia kusema ooh mzee,ooh amechoka apumzike...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

    Ndugu zangu Watanzania, Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Wasira hajaenda msibani kwa Prof. Sarungi? Au naye karithishwa ugomvi? Wazee wenzake kutoka Mara tumewaona msibani

    Chama cha Mapinduzi kimejotenga na Prof. Sarungi 100%. Sidhani kama wakati akiwa hai alifahamu huu ugomvi uliopo. Lakini chakushangaza nikuona hata Mzee Wasira ambaye ni ndugu na mzee aliyekua pamoja na Prof amegoma kwenda msibani. Tafsiri ya hizi tabia zakushiriki msiba kwa kuambiwa tunazitoa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira afika nyumba kwa marehemu Sarungi kutoa salamu za pole

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amefika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa zamani na mbunge wa Rorya, Profesa Phelemon Sarungi (89) kutoa salamu za pole. Profesa Sarungi alifariki dunia nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es Salaam jana Jumatano, Machi 5, 2025...
  9. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Wasira afanya mazungumzo na spika wa Cuba

    By Maulid Mmbaga , Nipashe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake. Kwa mujibu wa taarifa ya CCM Wasira amefanya mazungumzo na ujumbe...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika vizingatie mahitaji ya sasa bila kusahau malengo yake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu shabaha ya kuanzishwa kwake. Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Handsome boy wa CCM Wasira anajua kuhusu digital campaign

    Handsome boy Wasira hajui digital campaign ni nini? Anasubiri mtu wa kubishana naye ! Hajui kama Dunia imebadilika
  12. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Wasira azungumza na balozi wa Korea

    WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Leo tarehe 18/2/2025 katika Ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa mdahalo wa kisiasa na mzee Wassira kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?

    Kwamba pamoja na uzee wake, Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma? Ndugu mdau, Tundu Lisu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza...
  15. 4

    JamiiForums Tanzania Kwenda mbiguni kwa elfu 20 wachache tungetoboa kama watz Kauli ya mh Heche , Wasira na uzee wako njoo.

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake . Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine . Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema. Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama Wasira na Chadema ni kama Heche

    CCM ni kama Wasira chama kilicho zeeka lakini kinafikiri bado ni kijana. Chama kilichojisahau na kufikia wakati sasa wanaona hata chaguzi sio lazima kama una Polisi na Usalama. Chama ambacho kinafikiri vijana wote ni wasanii! yaani wakiweka wasanii machawa watapata support. Chadema ni kama...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wasira: Magufuli hakuwashughulikia wapinzani, walishughulikiana. Ukimtukana Rais na rais ana react, naye ni mtu

    Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara. "Na Tundu Lissu alikuwa akisema haijapata kutokea kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli kama unamuita wa ajabu. Na kama unamuita wa ajabu yeye atakuwa anaujua uajabu wake Mimi siufahamu. "Kwahiyo matokea hayo yaliyotokea...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: CCM tutaendelea kushika dola kwa kupigiwa kura sio kwa mtutu wa bunduki

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki. Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea...
  20. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM Ndg.Stephen Wasira mkoani wa Simiyu

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Aungana na Wanachama wa CCM Katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Stephen Wasira , Leo Lamadi Busega. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki kwa furaha katika mapokezi ya Makamu...
Back
Top Bottom