Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa zinaeleza.
Mbali ya Dk Asha-Rose, taarifa zinaeleza kuwa Makamu Mwenyekiti, Stephen Wasira huenda...