wasiojulikana

  1. R

    Nadhani sasa one can say with bravity and certainty kuwa sasa wasiojulikana, thank god wamejulikana. Asante Gwajima

    Gwajima amemaliza/ametengua kitendawili without shadow of doubt kuwa wasiojulikana sasa wanajulikana na anayewapa GO AHEAD ni fulani with a million certainty! Ni matter sasa ya nani apeleke mauaji haya ICC Kenyatta Case The Prosecutor v. Uhuru Muigai Kenyatta ICC-01/09-02/11 Case closed...
  2. Humphrey Polepole: Ipo serikali nyingine isiyoonekana (ya wasiojulikana). Hii ndiyo inayoamua kila kitu na hii nyingine ya nje ni mwanasesere tu

    "....Tanzania imetekwa na kakikundi kanakojiita serikali ndani serikali maarufu kama "Futungo State" kama ilivyokuwa kule Congo au "Parallel State" kama ilivyokuwa kule Angola Hivi ni vikundi vya watu wachache (serikali ya wasiojulikana) waliounda kiserikali chao ndani ya serikali tunayoijua...
  3. Askofu gwajima anawajua wasiojulikana, ushahidi huu hapa.

    Wasalaam Tarehe 6 Sept 2017 alimuonya tundu lissu asiende dodoma atapigwa risasi. Lakini kama tujuavyo nabii hakubaliki kwao hivyo lissu talikaidi na Sept 7 alishambuliwa kwa marisasi mengi. Hii ni wazi baba askofu anawajua wasiojulikana ni vema akawaanika wazi ikibidi kwa majina yao ili...
  4. Tetesi: Heche kuvamiwa na wasiojulikana

    Kabla jogoo hajawika atanikana Mara tatu huu ulikuwa ni ujumbe wa Yesu kwa wanafunzi wake'. Kuna mashaka na wasiwasi kuwa muda ujao ndani ya ziara za kasikazini Heche atasalitiwa kwa kuchomwa na mtu wake wa karibu na kuchukuliwa na wasiojulikana na watakao itwa majambazi badae kwenye report...
  5. VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  6. Wasiojulikana wanajulikana

    Unaposema wasiojulikana, ni muhimu kuweka maelezo sawa kuwa wasiojulikana kwa nani! Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa waliowatuma! Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa vyombo vya dola! Vinginevyo, tungeamini kuwa tuna vyombo vya dola vya hovyo kupitia kiasi. Vyombo vya dola vinawajua lakini havina la...
  7. Sijawahi kusikia Wasiojulikana wadhibitiwe ila Nimesikia wanaharakati wathibitiwe

    Kumbe Inawezekana wanaharakati ni wabaya sana kuliko wasiojulikana! Na pia sijawahi kusikia neno kulinda uhuru na haki za Watanzania ila nasikia kulinda amani kumbe huenda haki haina umuhimu kiviile ama mwenzenu bado sijakua!
  8. Matumizi ya GPS Cheap iliyopachikwa ndani ya mwili kusaidia kupatikana unapotekwa na watu wasiojulikana kufuatia kuongezeka matukio ya kutekana

    Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k. ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
  9. Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa

    Nilimsikia tulia anasema "huwezi kusema mtu ametekwa wakati hujamuona" kwanza kutekwa ni kupi ? Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa. Tuache kukwepa hoja siziso za msingi mtu aliyetekwa sio...
  10. Matukio ya 'wasiojulikana', 90% yametoka Bara

    Ripoti ya Haki za Binadamu mwaka 2024 inaonyesha matukio ya wasiojulikana kwaukijumlisha matukio ya bara na visiwani Zanzibar, asilimia 80 mpaka 90, kwa ujumla wake wote yanakuwa yanatokea huku bara"
  11. Uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu 'Kurejea kwa watu wasiojulikana'

    https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024. Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
  12. PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

    Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu. Walikuwa na silaha, wamevunja mlango. Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana...
  13. Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  14. LHRC yalaani tukio la Mdude Nyangali kuvamiwa, kuchukuliwa na Watu wasiojulikana

    KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI Dar es Salaam, 02 Mei 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
  15. Watu wasiojulikana wavamia na kuchoma moto ofisi ya mtendaji mtaa wa Msewe

    MKuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange amemuagiza Mkuu wa Polisi, Wilaya ya Kipolisi Kimara/Ubungo kuwatafuta na kuwakamata Watu wote waliovamia na kuchoma moto Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Msewe, na kuteketeza nyaraka na samano zote za ofisi hiyo. Tukio hilo la kuvamia na kuchoma moto...
  16. Kitu ambacho wasiojulikana wanashindwa kumfanyia Lissu ni kwamba dunia na media zote zimekuwa GPS kwake

    Tukiendelea na masokwe watawala kupoteza watu na kubaki kujifanya kama hawa fahamu ila sasa kinacho washinda kuwa Lissu ni GPS ambayo wakigusa kila jambo tutajua.
  17. Raia wa Marekani walalamika kuibuka kwa "wasiojulikana" wakivamia na kuteka raia huku wakijifanya maafisa wa serikali

    Huko Marekani kumeibuka malalamiko wanazi wa MAGA wa mrengo kulia mkali wasiotaka wahamiaji wakijifanya ni maafisa uhamiaji(ICE) au wa wizara ya mambo ya ndani(DHS) wakivamia na kukamata watu wanaowahisi ni wahamiaji haramu na kuwashikilia kizuizini! Masikini US, kumekuwa kama utawala wa manyani!
  18. Dkt. Tulia Ackson kumjengea Nyumba Bibi aliyebakwa na watu wasiojulikana Mbeya

    Bibi wa miaka 72 mkazi wa mtaa wa Mwanyanje, kata ya Igawilo jijini Mbeya ambaye aliingiliwa na watu wasiofahamika nyumbani kwake anategemewa kujengewa nyumba na Dkt. Tulia Ackson Ikumbukwe bibi huyo ni moja ya watu wanaoishi katika mazingira magumu ambao walifikiwa na bendera ya Upendo...
  19. Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
  20. Wasiojulikana wachoma gari la Mwenyekiti wa UVCCM Lindi

    Watu wasiofahamika wamechoma moto gari la Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Lindi bwana Frenk Mzani Menuka na kusababisha uharibifu mkubwa kwa gari hilo aina ya Toyota Cresta GX 100 lenye namba za usajili T 402 BCH ambalo lilikuwa limeegeshwa kwenye nyumba anayoishi Mwenyekiti huyo wa vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…