wasichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Pasipo shaka shule za vipaji maalum za wasichana zipo

    Ila je bado wasichana wenye vipaji bado wapo???? Wanafunzi kumi bora ni wavulana mwaka huu 2026? Wadau ,
  2. JamiiForums Tanzania Report ya ubakaji nchini UK ilitoka na kuonesha wasichana 250,000 kama wahanga huku watuhumiwa wakuu ni wahamiaji kutoka pakistan na uarabuni

    RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  5. JamiiForums Tanzania Dudubaya: Umiss ni umalaya; wasichana wa vyuoni ni machangudoa

    Msanii nguli mstaafu, Dudubaya Mamba 24, ameanika ukweli uliojificha nyuma ya sanaa ya umiss na urembo. Ni ufuska mtupu! Aidha, amesema kuwa wasichana wengi wa vyuoni ni machangudoa na malaya wa kutupwa! Katika kusisitiza hilo, amesema wasichana wanaingia kwenye urembo wakiwa hawana kitu na...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kilichonikuta kwa wasichana wa bar

    Nilimpata mwanadada kwa baa .kabla nikae naye niliongea na mlinzi anijulishe kama huyu dada ataweka dawa kwa kinywaji changu nikiondoka. Nilimwita mwanadada huyo nikamnunulia bia pia mimi nikachukua bia tulizungumza mda mfupi ,alafu nikaondoka nikajifanya niko msalani.nikamuuliza mlinzi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

    Utakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?! Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi wasichana inakuwaje mnatoa ahadi kuwa unakuja kutoa utelezi halafu dakika ya 90 mnakula kona?

    Habari wakuu . Weekend ya leo iko poa sana twende kwenye lengo la thread hii. Unakuta msichana mnapangana kabisa kesho anakuja kutoa utelezi alafu ikifika mida ya kuja text ajibu call apokei inakuaje si bora umpange mtu mapema kama ato kuja just imagine jana mida ya night naona namba ngeni...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo walipieni wasichana mahari na siyo kuwalipia wanawake mahari kama mnavyofanya sasa

    Ndugu zangu. Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wakirusha mateke juu, wasichana wa Kitanzania wapata nguvu katika kung fu ya Kichina

    Mariam Saidi Mfaume amekaza ngumi kwenye mkono wake mdogo, akashusha pumzi ndefu na kufyatua teke juu lililopita kwenye hewa yenye ukungu. Matone ya mvua yalidondoka kwa upole kwenye majani yaliyo juu, lakini hakuna kilichoweza kumzuia mtoto huyo mwenye miaka sita kufuata ndoto zake za kung fu...
  13. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge: Ukaguzi ufanyike Shule ya Wasichana Morogoro, ujenzi hauendani na Tsh. 700M zilizotolewa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Halima Mdee imeielekeza Ofisi ya mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa mkoa wa Morogoro. Mdee ameyasema hayo mara baada ya ziara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wamshukuru Rais Samia kutenga bilioni nne ujenzi shule ya wasichana

    Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua. ==== Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Marufuku waliobadilisha Jinsia kushiriki katika michezo ya wasichana na wanawake

    Rais Donald Trump amesaini rasmi amri ya kiutendaji jana, Jumatano, Februari 5, 2025, ya kupiga marufuku wanamichezo waliobadili jinsia kushiriki katika michezo ya wasichana na wanawake. Amri hiyo, inayojulikana kama "Kuwazuia Wanaume Kuingia Kwenye Michezo ya Wanawake," inawapa mashirika ya...
  18. JamiiForums Tanzania Dar: Wasichana wawili wa miaka 16 na 12 wajiteka ili kudai pesa kutoka kwa Wazazi wao

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewashikili na kuwahoji Wasichana wawili kutoka Vijibweni, Kigamboni wenye umri wa miaka 16 na 12, kwa madai ya kutengeneza mazingira ya kujiteka ili kudai pesa kutoka kwa Wazazi wao ambapo Uchunguzi umebaini kuwa walitoweka kwa siku mbili na...
  19. JamiiForums Tanzania Anayewahamasisha mtoe watoto English Elementary ndio huyo ana support bunge la Iraq kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa

    Mhamasishaji wenu: https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/ Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima. Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Mwaka jana hii ndio ilikuwa sababu ya mimi kutopata Wasichana warembo. Mwaka huu nimebadilika

    Mwaka jana nlikosa mademu wengi wakali sababu sikuwa na chambichambi, umatemate, ndarama au mkwanja. Nlikuwa wengine nawapata kwa maneno na ahadi kisha nikiwala wakiona sitimizi ndo basi wananipotezea. Mwaka huu nimebadili kabisa utaratibu. Mwaka jana nliweza angalau tabasamu nao, kula nao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…