washington

Washington ( (listen)), officially the State of Washington, is a state in the Pacific Northwest region of the Western United States. Named for George Washington—the first U.S. president—the state was made out of the western part of the Washington Territory, which was ceded by the British Empire in 1846, in accordance with the Oregon Treaty in the settlement of the Oregon boundary dispute. The state—which is bordered on the west by the Pacific Ocean, Oregon to the south, Idaho to the east, and the Canadian province of British Columbia to the north—was admitted to the Union as the 42nd state in 1889. Olympia is the state capital; the state's largest city is Seattle. Washington is often referred to as Washington state to distinguish it from the nation's capital, Washington, D.C.Washington is the 18th-largest state, with an area of 71,362 square miles (184,830 km2), and the 13th-most populous state, with more than 7.7 million people. The majority of Washington's residents live in the Seattle metropolitan area, the center of transportation, business, and industry on Puget Sound, an inlet of the Pacific Ocean consisting of numerous islands, deep fjords, and bays carved out by glaciers. The remainder of the state consists of deep temperate rainforests in the west; mountain ranges in the west, central, northeast, and far southeast; and a semi-arid basin region in the east, central, and south, given over to intensive agriculture. Washington is the second most populous state on the West Coast and in the Western United States, after California. Mount Rainier, an active stratovolcano, is the state's highest elevation at 14,411 feet (4,392 meters), and is the most topographically prominent mountain in the contiguous U.S.
Washington is a leading lumber producer; its rugged surface is rich in stands of Douglas fir, hemlock, ponderosa pine, white pine, spruce, larch, and cedar. The state is the largest producer of apples, hops, pears, blueberries, spearmint oil, and sweet cherries in the U.S., and ranks high in the production of apricots, asparagus, dry edible peas, grapes, lentils, peppermint oil, and potatoes. Livestock, livestock products, and commercial fishing—particularly of salmon, halibut, and bottomfish—are also significant contributors to the state's economy. Washington ranks second only to California in wine production.
Manufacturing industries in Washington include aircraft, missiles, shipbuilding, and other transportation equipment, food processing, metals and metal products, chemicals, and machinery. Washington has more than a thousand dams, including the Grand Coulee Dam, built for a variety of purposes including irrigation, electricity generation, flood control, and water storage.
Washington is one of the wealthiest and most socially liberal states in the country. The state consistently ranks among the best for life expectancy and low unemployment. Along with Colorado, Washington was one of the first to legalize medicinal and recreational cannabis, was among the first thirty-six states to legalize same-sex marriage in 2012, and was one of only four U.S. states to have been providing legal abortions on request before the 1973 Supreme Court decision in Roe v. Wade loosened abortion laws nationwide. Similarly, Washington voters approved a 2008 referendum on legalization of physician-assisted suicide, and is currently one of ten states—along with Washington, D.C.—to have legalized the practice.

View More On Wikipedia.org
  1. Botswana’s President Declines Washington Invitation

    President Boko stated that any official discussions or business deals concerning Botswana’s resources should happen within the country. He said: "If there is any business or official engagement to discuss, it should take place in Botswana, not abroad. Botswana is tired of traveling abroad for...
  2. Q

    Ugaidi Tanzania: Mateso, Mauaji, na Utekaji nyara wa Kisiasa unaongezeka. The Washington Post.

    February 6, 2026 Warning: This story contains graphic content. https://t.co/bwpN0QJUj7 Tafsiri isiyo rasmi. Ikimezwa na vita na idadi kubwa ya waliokufa, Afrika inaingia katika aina ya giza ambalo ulimwengu haujawahi kuona. Mto wa damu isiyo na hatia, unaoanzia Nigeria hadi Sudan, unameza...
  3. H

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo anafanya ziara Rasmi ya kikazi jijini Washington, DC

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anafanya ziara Rasmi ya kikazi jijini Washington, D.C., nchini Marekani. Katika ziara yake hiyo, Mhe. Waziri Kombo atakukutana na wadau Mbali mbali muhimu katika kuimarisha uhusiano wa baina ya...
  4. T

    Watatu waandamana Washington DC

  5. Live from Washington DC: Kongamano la Uwekezaji la Benki ya CRDB, Kuleta Tumaini Jipya la Ewekezaji Tanzania

    Wanabodi, Niko hapa hoteli ya Willard Intercontinental Hotel mtaa wa Pennsylvania Ave NW Washington, D.C kuwaletea yatokanayo na hili kongamano kubwa la uwekezaji la Benki ya CRDB. Anzia hapa Baada ya ule mchaka mchaka wa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA jijini New York, kisha...
  6. Ndugu Polepole Scandal inaweza kuwa na mwelekeo wa Watergate Scandal ya Washington Post?

    Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa wote,kawaambia yoote,kamwandikia Mh Rais barua hajapata majibu yoyote na yoote aliyowaambia...
  7. Ni kweli hali ya usalama Washington DC ni mbaya kiasi cha kuhitaji Trump kuwapelekea jeshi mitaani kama alivyofanya?

    Mlioko Marekani hali usalama Washington DC ilikuwa inahitaji Trump kuwapelekea raia wa huko wanajeshi na magari ya kivita kama alivyofanya?
  8. Viongozi wa Ulaya kuambatana na Zelensky Washington

    Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wale wa Jumuiya ya kujihami NATO wametangaza siku ya Jumapili kuwa wataambatana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Washington kwa mazungumzo muhimu na Rais Donald Trumpyaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatatu. Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula...
  9. Netanyahu, akiondoka kwenda Washington DC, Tunafanyia kazi mpango wa Gaza kwa masharti yetu,

    Netanyahu, akiondoka kwenda Washington DC: Tunafanyia kazi mpango wa Gaza kwa masharti yetu, Hamas haitakuwepo milele nafasi ya kupanua mapatano ya amani lazima yaende kwa Kasi sana!! Kabla ya kupanda ndege yake kuelekea Washington, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kwamba Israeli ina...
  10. U

    Trump Asema Iran Inataka Kuzungumza na Marekani, Sio Umoja wa Ulaya

    Trump Asema Iran Inataka Kuzungumza na Marekani, Sio Umoja wa Ulaya Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema siku ya Ijumaa kuwa Washington imekuwa na mawasiliano na Iran, na kuongeza kuwa Tehran haitaki kushirikiana na nchi za Ulaya. "Ulaya haitakuwa na uwezo wa kusaidia katika hili," alisema...
  11. Wafadhili wakuu wa Ugaidi duniani Qatar watoa salamu za pole kwa Taifa la Israel baada ya wafanyakazi wake kuuliwa kwa Ugaidi wa Kipalestina nchin USA

    Qatar condemns killing of Israeli embassy staffers in Washington Qatar Munafiq, mfadhri mkuu wa magaidi duniani ambaye pia ni ndumilakuwili chui mwenye ngozi ya kondoo, inalaani mauaji ya wafanyakazi wawili wa ubalozi wa Israel mjini Washington - ambayo yalifanywa na mtu mwenye silaha ambaye...
  12. M

    WASHINGTON: Mataifa zaidi ya 50 yamesema yapo tayari kuondoa vikwazo kwa bidhaa za Marekani

    Mataifa zaidi ya 50 duniani yamesema yapo tayari kujadiliana na Marekani juu ya kuondoa vikwazo vya kibiashara kwa bidhaa za Marekani zinazoingizwa katika mataifa hayo. Hii inakuja baada ya Marekani kuongeza ushuru wa asilimia kadhaa kwenye bidhaa zinazouzwa nchini Marekani kutoka mataifa yote...
  13. U

    Netanyau awasili Washington DC, kukutana na Trump kwenye mkutano muhimu sana

    Wadau hamjamboni nyote Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau amewasili nchini Marekani na atakuwa na kikao kizito sana na Rais Trump Mungu ibariki Israel Netanyahu lands in Washington, to discuss hostage deal extension with Trump By AMICHAI STEIN FEBRUARY 2, 2025 22:42Updated: FEBRUARY 3...
  14. F

    Trump anasema ajali ya ndege iliyotokea Washington ni kwasababu ya sera za kuruhusu watu wa asili ya mataifa kuruhusiwa kuongoza ndege USA.

    Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious. Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo. Mambo yanaendelea...
  15. W

    Kerry Washington apata Nyota ya 'Hollywood Walk of Fame'

    Nyota za "Hollywood Walk of Fame" ni alama za mafanikio katika sekta ya burudani, zikibeba majina ya wahusika mbalimbali kama vile waigizaji, wanamuziki, producers, directors, vikundi vya maigizo/muziki, watangazaji katika jiji la Los Angeles. Baadhi ya vigezo vinavyotumika ili kumpata Mtu...
  16. Mbunge Njau: Jengo letu la Ubalozi Washington DC limechakaa na limepoteza hadhi

    Mbunge Felista Deogratius Njau akichangia mada kuhusu Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amesema majengo kadhaa ya Ubalozi wa Tanzania yamechakaa likiwemo la Washington DC Nchini Marekani, hivyo ameshauri Serikali iangalie jinsi ya kuboresha. Ameyasema hayo...
  17. Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

    Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai. Ikiwa haya yangekuwa matukio ya...
  18. Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

    Haya wapenzi wa Movies kali, Kura yako inaenda wapi hapa?
  19. Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

    SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha...
  20. Afisa wa Kenya aliyehudhuria mazungumzo ya Haiti huko Washington apatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli

    Mwanachama wa ujumbe wa Kenya uliokuwa ukitembelea Washington alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli mapema wiki hii, maafisa wa Marekani na vyombo vya sheria walithibitisha Alhamisi. Afisa huyo alikuwa afisa wa polisi wa ngazi ya juu ambaye alikuwa amesafiri kwenda Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…