wasanii

  1. Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

    Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka. Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
  2. R

    Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

    Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa? Na kwamba hapo alipofiko ndo mwisho? Mhe. Rais anataka watu wanaosema ukweli siyo wanafiki; wasanii...
  3. Wasanii, Chukueni Tahadhari Hii Katika Mikataba ya Matangazo

    Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa. Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
  4. N

    Wasanii kukopeshwa bila riba

    Ujumbe wa Mbunge wa Muheza, Tanga na msanii MwanaFA akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni Mohamed Mchengerwa kuhusu suala la mfuko wa utamaduni na sanaa ya Tanzania. Sanaa imeajiri watu wengi kuna familia zinakula...
  5. WASANII WA TZ SIO WABUNIFU

    Leo nikiwa kwenye daladala nimeshangaa kila ngoma zinazopigwa zipo muelekeo na miondoko ya Nitongoze ya Diamond na Kwani tsh ngapi/ Huna hela ya Vannyboy , inaonekana baada ya izo ngoma kuhit kila msanii sa hivi anataka kutoa ngoma zenye mwelekeo huo , ina maana ubunifu hawana wamebaki kama...
  6. Diamond anaongoza katika orodha ya wasanii waliotazamwa zaidi 2022

    WCB for life!
  7. Siyo bangi tu, hata video za utupu ni shida kubwa

    Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde. Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
  8. F

    Wapenzi wa muziki wa bongo fleva, wimbo wa lonely wa Mario unaupa rank namba ngapi kwa ngoma kali za kufunga mwaka 2022?

    Wadau wa bongo fleva, Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana. Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake mpya. Nimegundua dogo kazi anaweza. Mojawapo ya nyimbo yake iitwayo lonely aliyoshirikiana na Abba...
  9. B

    Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  10. Naiomba serikali iangalie namna ya wasanii wanaotaka kufikisha ujumbe kwa jamii watumie mambo yote ya imani yao na siyo imani nyingine

    Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
  11. Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

    Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni. Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi. Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala...
  12. Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

    Wanahisi labda wanajeshi wakitumbuizwa watakubali kupigana maana pamekua pagumu.... Russia says it will deploy musicians to the front lines of its war in Ukraine in a bid to boost morale. The defence ministry announced the formation of the "front-line creative brigade" this week, saying it...
  13. N

    Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  14. Wasanii wanaoimba kuhusu bangi wapewa onyo

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya Wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi na kusema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa Wasanii hao. Akiongea na Waandishi wa Habari...
  15. Sababu ni nini kufa kwa matamasha makubwa ya Wasanii kama Fiesta?

    Matamasha makubwa ya wasanii tuliyokuwa tunayaona miaka ya nyuma kama Fiesta na mengine ya Vituo vya Redio naona yanazidi kupoteza mvuto, shida nini wadau? Matamasha haya mengi imekuwa kiingilio ni bure, wakati miaka kumi iliyopita matamasha mengi miezi hii yalikuwa na viingilio tena vikubwa...
  16. Harmonize atakiwa kuwalipa Tsh. Milioni 20 Killy na Cheed kwa kuvunja mkataba nao

    Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga). Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...
  17. Wasanii wa hip-hop wa bongo, wamejipoteza kwenye game wenyewe

    Picha hii inamuonesha Nash MC, mmoja kati ya wasanii wa Hip Hop Nchini Ni wazi muziki wa hip-hop wa bongo umepotea kabisa. Wasanii wa hip-hop hawafanyi vizuri sokoni yani kwa sasa bongo ukiimba hip-hop unaonekana kama umechanganyikiwa. Tofauti na zamani kidogo hiphop ulikuwa inafanya vizuri...
  18. INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

    Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos...
  19. Taja wimbo mmoja wa hawa wasanii wakali wa R&B

    Nimejikuta nawakumbuka tu. Hao ni wakali wa R&B US, dada anajua kuchana akishika Mic. Tupia nyimbo yao moja twende sawa.
  20. Wasanii wa nini kwenye ziara za Rais za ndani?

    Poleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…