wasanii

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii wazingatie maadili ili kujenga jamii bora

    Nchini Tanzania ukiwazungumzia vijana asilimia kubwa utawakuta kwenye sekta ya utamaduni, sanaa na michezo, wengi wanashiriki katika michezo, muziki, maigizo, ucheshi na sanaa nyingine hali inayochangia ukuaji wa kasi wa sekta hii. Kwa mwaka 2023, sekta ya sanaa imekuwa kwa asilimia 17.7% , kwa...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awashauri wasanii kuwekeza ili wazeeke wakiwa na mali

    "Nawaomba sana hawa Wasanii wa Muziki wa Tanzania kuwa haya Mapato ambayo wanayapata wayatumie hasa katika Kuwekeza ili basi hata Wakistaafu waendelee kuishi vyema kuliko kuja kuishi Kimaskini na kutushangaza Sisi ambao Kutwa walikuwa wanaturingishia Magari yao ya Kifahari, Majumba ya Kifahari...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  5. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa HipHop Tanzania wana kitu Cha kujifunza kwa Roma Mkatoliki

    Mashairi ya nyimbo za Roma mkatoliki yanafikilisha Sanaa 😊 Ukipata muda zisikilize
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii wasitumike ovyo na wanasiasa kipindi cha uchaguzi kwa kutanguliza pesa bali waangalie sera na maono ya wanasiasa hao katika kuleta maendeleo

    Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizobahatika kuwa na wasanii wengi sana wazuri, ambao ni wasanii wakubwa na mashuhuri ndani na nje ya nchi. Lakini pia kwa asilimia kubwa ya wasanii wetu hao, wengi wamekuwa ni wasanii wenye ushawishi mkubwa sana kwenye vitu mbali mbali vingi sana ikiwemo...
  7. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Ticket ya South Korea: Msomi vs Msanii

    salaam Jf Katikat safari ya hivi karibuni ya "Mama kizimkazi" ya kwenda katikat moja ya mataifa yaliyoendelea kiteknolojia katikat kipind kiufupi Cha miaka 40 iliyopita south Korea, Hawa south Korea wako katika four tigers of Asia wako pamoja na Hong Kong, Singapore,and Taiwan. Hizi ni moja...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Hospitali zaanza kutafuta wagonjwa mitandaoni, Wasanii wahusishwa!

    https://www.pc.go.tz/ Shilole ameonekana akitangaza hospitali hiyo hapo kwenye picha na kusisitiza wagonjwa waende na kwamba ni hospitali Bora. Kimaadili si sawa, ni kama hospitai hiyo inataka kupata watu waumwe ili wakatibiwe huko na ni muhimu sana kujua kwamba ni kama ndvyo basi bwana...
  9. Nifah

    JamiiForums Tanzania Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

    Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani. Katika uzinduzi huo Rais...
  10. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania List ya Wasanii 10 bora kwa sasa Tanzania

    1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu. Nipe List yako
  11. Sauti Moja Festival

    JamiiForums Tanzania Faida za Wasanii na Nchi katika Ziara za Rais Nje ya Nchi

    Habari wana-JF, Ziara za Rais nje ya nchi zinapowajumuisha wasanii, hata bila maonesho ya sanaa, zinaweza kuleta manufaa makubwa kwa wasanii binafsi na taifa kwa ujumla. Hizi ni baadhi ya faida hizo: Faida kwa Wasanii Mtandao wa Kijamii na Kitaaluma:Wasanii wanapata fursa ya kukutana na wadau...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wakisafiri na Rais nje wanakwenda kutumbuiza? Nani atagharamia safari zao?

    Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani? Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  14. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli hapa 🤣🤣

    Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wasanii hujifanya wana pesa, wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango

    Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
  16. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania Ndoa za wasanii wa Muziki wa Injili

    𝑵𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-𝑩𝒂𝒑𝒕𝒊𝒔𝒕 𝑴. 𝑵𝒈𝒂𝒕𝒖𝒏𝒈𝒂 ____________________________ Nimekuwa mfuatiliaji sana wa maneno yaliyokuwa yakisemwa na baadhi ya Waimbaji wa Kike wa Nyimbo za Injili hasa baada yaWanawake hao kuachana na Waume zao, kutoka kwenye Ndoa zao baada ya Ndoa zao kuvunjika. Nilifuatilia zilipovunjika...
  17. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻 https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
  18. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je ni albam gani ya wasanii wa hiphop Tanzania uliisikiliza na kuiona ni albam bora na siyo bora albam??

    hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania (1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu elimu,kufurahisha na kusisimua jamii mwamba ukimsikiliza katika hii albamu unajua kabisa he is a geneus...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Kwa mimi binafsi naona 1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik 2. Leonardo wa Cheka Tu Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku Leonard yeye ana bachelor ya water resources engineering. Kwenye interview zao utagundua wako smart...
  20. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game. Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na...
Back
Top Bottom