wasafi

  1. S

    Tetesi: Wafanyakazi wa Wasafi Radio wamegoma?

    Naona wasafi radio ni muziki asubuhi mpaka jioni, je wafanyakazi wamegoma?
  2. ERTUGRUL BEY

    Umuhimu wa wanaume kujipenda na kuwa wasafi

    my people, Katika maisha ya kila siku, mwanaume mara nyingi hupimwa kwa nguvu, kazi, au uwezo wa kuwajibika. Lakini kuna kipimo kingine cha msingi ambacho mara nyingi hupuuzwa: usafi na kujipenda. Hivi viwili si anasa wala mapambo ya juu juu, bali ni mizizi ya afya njema, heshima binafsi, na...
  3. B

    Ni kweli kwamba Diamond na team yake ya Wasafi wamenyimwa visa kuingia USA?

    Taarifa zilizopo ni kuwa msanii Diamond na team yake wamezuiliwa kuingia USA, kuna ukweli wowote? na sababu inaweza kuwa ni nini?
  4. P

    Kuna changamoto EA radio na wasafi radio!?

    Watanzania wenzangu habari! Nimekuwa kwa muda mrefu nikisikiliza radio tajwa hasa vipindi vya michezo na magazeti. Lakini hata hivyo siku za karibuni sisikii vipindi hivyo badala yake muda mwingi wanapiga muziki! Je kuna changamotot yoyote ya uandishi au maadili !
  5. The Father of All

    Mali, nyumba na Ofisi za Wasafi vya Diamond vinatembelewa lini?

    Kwa watu wetu walivyouawa, machawa na. machangudoa wote waliomsaidia imla Ida Amina Mama lazima watembelewe haraka sana iwezekano.
  6. kyagata

    Hivi Maulid Kitenge na Zembwela siwasikii Wasafi FM, kulikoni?

    Hawa jamaa wa minyama siku hizi siwasikii redioni. Maulid Kitenge yeye namuona yuko busy na jogging tu kila siku. Je, wamefukuzwa au wako likizo?
  7. Blasio Kachuchu

    JAB yamchukulia Hatua Diva, Yamkabidhi Press Card ya Kisasa

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi, Wakili Patrick Kipangula (kushoto) akimkabidhi Press Card kwa Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Radio cha Wasafi Media, Diva Gisele Malinzi. Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari -JAB, imempa onyo Mwandishi na Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo...
  8. tang'ana

    Hivi shanga za wanawake kiunoni huwa zinaongeza nini wakati wa sex?

    Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti wa kukulana?
  9. Tauceti Rigel

    Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  10. Carlos The Jackal

    TEC iwachukulie hatua WASAFI MEDIA MARA MOJA Kwa kupotosha kimakusudi Maneno alosema Kardinali Rugambwa huku wakitumia Picha ya RAIS WA TEC!!

    Ndugu zangu katika Kristo YESU. Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno. Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII. Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya...
  11. Scared

    Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

    Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
  12. Waufukweni

    Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  13. ngara23

    Standard FM ya Singida kuibomoa wasafi Media

    Watu wa Mikoani kama mnavyotuita tumepata Media kubwa kutoka Singida, ambayo Kwa Sasa inakamata pande zote Tanzania Umeajiri watangazaji maarufu na wana vipindi Bora sana Za chini ya kapeti ni kuwa watawang'oa watangazaji muhimu hapa wasafi media hasa timu ya Maulid Kitenge, Diva inasemekana...
  14. S

    Haji Manara Yuko Wasafi FM, Ally Kamwe kaenda Crown FM kwa hasimu wa Haji Jemedari Said, Yanga is very unprofessional

    Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
  15. D

    Wenje kaongea utumbo sana Wasafi FM leo

    Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
  16. Kitchener

    Wasafi wamkaribisha Mzee Mohamed said, amwaga sumu.

    Sina shida ya mzee wetu kukaribishwa, ila ni ile hali yake ya kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na waislam kwa hiyo ndio wenye haki ya kutawala hapa nchini. kuna hoja moja kuhusu ugomvi wa Bibi Titi na Nyerere ameiongea, interest yangu ni kwenye Agakhan kujenga shule za waislam, kama yupo...
  17. Mohamed Said

    Wasafi FM: Historia ya Bibi Titi...Inaendelea

    https://youtu.be/cc4rPXasbDM?si=xe6F8oUNMEwxRjjc
  18. Emilio Mzena

    Tetesi: Diamond yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media

    Za ndaaaani kabisa Msanii Diamond Platnumz yupo mbioni kuzindua jumba lake la kifahari pamoja na ofisi mpya za Wasafi Media. Ikumbukwe ofisi za sasa za Wasafi Media ni za kupanga. Hivyo mwana anataka uzinduzi wa Mjengo wake mpya ambao utakuwa gumzo jijini uendane sambamba na ofisi za Wasafi...
  19. Charlez kanumba

    List ya wasanii wa WCB (wasafi) ambao hawana nyota ya kukubalika

    1.... D voice Huyu alisainiwa ktk lebo ya wcb na diamond kwa mkwala mkubwa sana ikiwemo kualikwa viongozi, wanasiasa n.k, lakini nyota yake ni kama imefunikwa na mawingu, hana tofauti na wasanii wengine underground walio nje ya wcb. 2....Lava Lava Huyu alihit sana mwaka 2017 baada ya kujoin...
  20. Mganguzi

    Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

    Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana! Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ...
Back
Top Bottom