wasabato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Niko hapa kanisani kwa sasa wasabato nimevaa jeans, waumini wenzangu wananiona Kama Antichrist.

    Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi. Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani. Kanisa nilikuwa...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasabato Wanatengwa kwenye Shughuli za Kitaifa?

    Nijuavyo mimi, katika nchi hii wapo watu ambao huabudu siku za Ijumaa, wengine Jumamosi na wengine Jumapili. Ukifuatilia mikutano mingi ya kisiasa utagundua wanaopewa kipaumbele ni Wanaoswali siku ya Ijumaa na wanaosali siku ya Jumapili. Wanaosali jumamosi nimewahi kuona kama mara 2 hivi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

    Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasabato na Wazungu hawaanguki mapepo?

    Jamani sijawahi kuona Mzungu au Msabato akianguka mapepo. Kwanini wanaoanguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo? Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
  5. Eliya Dawa

    JamiiForums Tanzania Kanisa La Waadventista Wasabato na mabadiliko

    Habarini Wakuu Katika kukaa kwangu na kutafakari katika muonekano na katika biblia tunasoma siku ya sabato yapaswa kufuatwa sawa lkn nina mtazamo chanya ambao wasabato wanaupuuzia siku hizi na tunasema kuwa tunaifuata biblia 1 Suala la wanawake kuhudumu ni makosa [emoji808] ktk biblia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasabato hawana Baraza la Kuidhinisha "Halal foods"

    Kwa ndugu zetu Waislamu wanalo baraza la kuidhinisha "Halal foods" yaani vyakula ambavyo havijachanganywa na hata chembe ya product/ ingredients yoyote itokanayo na nguruwe pamoja na wanyama wengine waliokatazwa kwa kadiri ya imani ya Waislamu, Wasabato na Wayahudi. Ukiangalia bidhaa za Azam...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kisa cha masalia Wasabato na hali yetu ya sasa

    Salamu wanajamvi! Mwaka 2008, Mwezi Julai, Tanzania ilishuhudia tukio la aina yake la kiimani. Wahubiri wa Injili 17 wa madhehebu ya waadventist Wasabato masalia walipiga kambi uwanja wa ndege wa Dar es salaam wakisema wanataka kwenda kuhubiri Injili Ulaya na Marekani huku wakiwa hawana visa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wasabato kaeni macho na hii kwaya

    WASABATO MNAIJUA HII KWAYA? Katika uzi huu nakuletea sifa za kwaya mbalimbali, na wewe dondosha sifa ya kwaya unayoifahamu, mimi naanza na kwaya ya wasabato inaitwa LAITBERAZ, Kwaya hii inapatikana Tegeta, Dar es Salaam, sifa kubwa ya kwaya hii ni kwamba wanajua kuimba, inajitegemea katika...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wasabato masalia walamba mwaka mmoja jela

    wale mitume na manabii waliokuwa wakisubiri kwenda nje kwa kutumiab.....na huku wakirudishwa na kufanya watu kuwa kama vichaa kuwafikiria wao wamelambwa mwaka mmoja jela wakakae huko wakijiandaa upya...habari zaidi zinasema watu hao wakiwa 24 wamehkumiwa jela na wakati wakipelekwa jela walisema...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wasabato Masalia waendeleza vituko Dar

    Kundi la watu wanaojiita wa madhehebu ya Wasabato Masalia waliopiga kambi Dar es Salaam, wameendelea kuishi katika mazingira magumu hali iliyosababisha mmojawao kupoteza maisha. Sambamba na kuishi katika mazingira magumu na machafu, Wasabato Masalia hao wapatao 30 walio katika kambi ya Tabata...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wasabato Masalia watimuliwa tena uwanja wa ndege, polisi watoa onyo la mwisho

    Baadhi ya waumini Wasabato, wanaojitambulisha kama 'Masalia' baada ya kutimuliwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambako wamekuwa wakipiga kambi kwa imani ya kunyakuliwa hadi Ulaya bila pasipoti, tiketi, visa na taratibu zingine za usafiri wa kimataifa. Na Furaha Kijingo...
Back
Top Bottom