Mashahidi wa Yehova, Wasabato, Wamormoni

Mashahidi wa Yehova, Wasabato, Wamormoni

Registered_jf

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
1,157
Reaction score
1,965
Naomba niwakutanishe hawa ndugu walipoteana tangu wadogo:

Mashahidi (JW)
Wasabato (SDA)
Wamormoni (LDS)

1) Makao Makuu
1000027064.jpg


2) Viongozi wa juu
1000027058.jpg


3) Ubatizo
1000027101.jpg


4) Vitabu
1000027087.jpg



5) Wamishonari
1000027075.jpg



6) Makutano makubwa
1000027091.jpg


7) Vijana wa Bwana ni Jeshi kubwa 😁

1000027048.jpg



8) Random
1000027051.jpg


(Nb: Mimi sio muumini wa kanisa lolote hapo.

YESU atarudi tumechoka sana.)

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Hao wengine sijui, ila kuhusu SDA hao jamaa ni Bora walale kitanda kimoja na shetani kuliko kulala na mkatoliki
 
Ni moja, ni moja tena, ni moja leo

Ni moja asili yake ni Yesu Kristo,

Ibada moja mafundisho yaleyale

Limeenea ulimwengu mzima

Mimi mkatoliki
 
Back
Top Bottom