wasabato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mtibeli Leo nitasali Kanisa la Wasabato Manzese. Karibuni

    Habari za Sabato! Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana. Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na Kwaya ya Angaza, na Kwaya ya Sauti ya Nyikani. Tujumuike sote tukabarikiwe.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mtibeli leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Magomeni. Ninawakaribisha wôte.

    Sabato Njema! Kwa Neema ya Yule Mwenye Ñguvu, Mola Mlezi, Mungu mwenye Ñguvu, na utukufu. Mtakatifu atupaye utukufu na kutufanya tuheshimike. Atupaye Akili Zenye Akili, huyo tunayemtumainia na kwake tunajivunia yeye pekee. Huyo àmbaye amewashikilia Adui zetu. Tenà amewapa Hofu ya kututendea...
  3. Z

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista Wasabato anena mambo mazito kwenye msiba wa Mafuru

    Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
  4. U

    Takwimu rasmi kuanzia mwaka 1965 waumini milioni 18,555,581 wamejitoa kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato, je Nini chanzo?

    Wadau hamjamboni nyote? Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024 Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581 Niwatakie sabato njema Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
  5. Stuxnet

    Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

    Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
  6. Black Butterfly

    Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

    Watu watatu wakiwemo Mhasibu na Ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la kutakatisha fedha na wizi wa Sh717 milioni mali ya kanisa hilo. Washitakiwa hao ni ofisa Tehema...
  7. Vichekesho

    Kanisa la Waadventist Wasabato limchukulie hatua za kidhamu mshiriki wao Mafwele

    Ni wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato. Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu dhidi yako, basi naomba kanisa limhoji ndugu Mafwele na ashike Biblia mbele ya baraza la kanisa aape...
  8. U

    Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
  9. mdukuzi

    Wasabato kutumia App ya Biblia kwenye simu wakati wa ibada mmechemsha

    Jumamosi iliyopita nilihudhuria ibada ya ndugu zangu wasabato wa mwaliko wa bibie mmoja. Nimezoea nyumba nyingi za ibada kukutana na neno ZIMA SIMU, ila nikashangaa humo kanisani wakati wa ibada waumini wako busyna simu, kumbe wanasoma biblia kupitia App ya Biblia kwenye simu zao. Kwangu mimi...
  10. U

    Karibuni sana kwenye makambi Kanisa la Waadvetista Wasabato Salasala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala Nyote mnakaribishwa sana Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na kidunia pia Kwaya za kutosha zitahudumu Usipange kukosa mtu wa Mungu Mtaarifu mwenzako Mungu...
  11. U

    Wasabato zingatieni hiyo amri kuwa mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke!

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizo ni picha halisi hakuna iliyotengenezwa Niwatakie Usiku mwema
  12. U

    Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Niwatakie Usiku mwema "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia" Kutoka 20:4
  13. M

    Sijawahi yaelewa mahubiri ya Wasabato

    Wakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi. Lakini tangu nianzie kufuatilia mahubiri Yao muda wote wanahubili Mambo ya siku ya sabato ni...
  14. W

    Nawatakia waadventista wasabato na waumini wa dini ya kiyahudi siku ya mapumziko (sabato), Tuendelee kutii amri kumi bila ubaguzi

    Sabato ama ka neno lake asili la kiyahudi shabbāth ni neno lenye kumaanisha mapumziko Mwenyezi Mungu kaweka amri ya kuitakasa siku ya Sabato ndani ya zile amri 10, ni jambo kubwa sana kwetu, Ni kibali kitakatifu kinachotupa ruhusa ya kupumzika siku moja kila wiki ya siku 7. Utaratibu wa...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Jinsi nilivyoambulia kipigo 2016 kwenye Makambi ya wasabato

    Nikiwa Sasa nahitaji kuoa na shauku yangu kubwa ilikuwa nioe binti msabato mwenye bikira yake awe mke wangu. Basi jitihada zilianza ku Act kama msabato. Suti zikashonwa Tai zikanunuliwa na suruali za vitambaa. Nilijifunza Kwa bidii sana hii ilikuwa mwaka2015. Kwa sababu nilibobea kwenye...
  16. GoldDhahabu

    Ushauri kwa Wasabato

    Nimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato. Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale. Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi...
  17. U

    Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

    UPDATES: Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam. Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya "...
  18. U

    Wasabato mnadai wanaoabudu jumapili wamepotea, siku hiyo ni Alama ya Mnyama, Je wanaoabudu ijumaa badala ya jumamosi nao wamepotea?

    Wadau hamjamboni nyote? Niende kwenye hoja Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu...
  19. U

    Kwa Wasabato, Bikira Maria ni Mama Mtakatifu, Aliyekula Chakula kutoka kwa Mwenyezi Mungu, aliyebarikiwa kuliko wote, aliyetuzalia mwokozi wetu!

    Wadau hamjamboni nyote? Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa...
  20. U

    Wasabato Yesu Kristo ni Alfa na Omega, Mnadai alianza kufanya upelekezi wa matendo yetu miaka ya 1860's, haingii akilini, mnamshushia hadhi yake!

    Moderator naomba mada hii isiunganishwe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja tena na hoja kuwa Yesu Kristo ni Alfa na Omega na amekabidhiwa mamlaka yote haitaji kufanya upelekezi kujua dhambi anazozifanya mwanadamu! Ndiyo yeye ndiye mwenye mamlaka makuu na uwezo wake haufananishwi na...
Back
Top Bottom