wasabato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu wapendwa Wasabato naomba leteni ushahidi kamili kupinga hoja kuwa Roho ya mwanadamu ina yo hali ya kutokufa au inayo hali ya kuishi milele

    Njooni na Ushahidi kamili Maandiko yaani Biblia na siyo maelezo kuthibitisha kuwa ROHO ya mwanadamu Haina hali ya kuishi Milele au Haina hali Kutokufa
  2. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  4. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais wetu SSH - Waadventista wasabato nchini tukuombe shughuli za uchaguzi zisiwe siku ya Sabato

    Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu. Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo. Tunakupenda sana.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Yanga tunaomba Wasabato mashabiki wachinjiwe ng'ombe, ngamia ni haramu kwa Wasabato.

    Yanga Ili kuwa na timu jumuishi ya mashabiki wote ni vyema mahitaji ya makundi yote ya washabiki ikiwemo Wasabato kuzingatiwa katika kipindi hichi cha kusherehekea ubingwa. Kutoa supu ya ngamia tu kunawanyima fursa mashabiki wasabato wasiokula ngamia kwani ni haramu kwao, ni vyema wao...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra kukuta wasabato matajiri?

    Wasabato ni moja ya dhehebu lenye waumini wengi wa kikristo nyuma ya Roma na Lutheran. Tofauti na ilivyo kwa waroma na walutheran kwa nini ni vigumu kukuta Wasabato kwenye safu za juu za kiuchumi? Je, ni mitazamo, mazingira, utamaduni, imani au mafundisho yapi huchangia ?
  8. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Wasabato na walokole Kwa aina zenu. Ni kwanini ni wachungaji pekee ndio wenye mamlaka ya kubatiza tofauti na agizo la yesu?

    Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema... Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu Wasabato kama ni kweli kula kitimoto ni dhambi leteni ushahidi kimaandiko wa adhabu kwa anayeitumia. , dhambi nyingine adhabu zimetajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Ushahidi huu adhabu kwa dhambi nyingine:. ::: 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Wagalatia 5:19 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, Wagalatia 5:20 21 husuda, ulevi, ulafi, na...
  10. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Wasabato badilisheni Mtazamo

    Wasabato kazi yao nikusubiri RC ieneze injili wao waje nyuma nyumba kuipondea RC ili wavune kwenye kapu la RC,wasabato ni wana ujinga na upumbafu mwingi sana,wao ukatoliki ndio adui yao kuliko hata shetani. Mpinga kristo ni yule asiyemtangaza kristo,unamwitaje RC mpinga kristo wakati ndio...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wanafundishwa utii, unyenyekevu na tafakuri kabla ya kunena, Wasabato hayo hayapo kila muumini anajua na aweza bishana na mchungaji wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Huku ndiyo ukweli hata kama unaumiza ila ndiyo ukweli Kanisa Katoliki lafundisha utii na unyenyekevu pamoja na tafakuri ya kina kwa waumini wake wote Hali ni tofauti na huku kwetu kila muumiini anajiona anajua na anayo mamlaka kuhoji au kumuhoji hata mchungaji wake...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Je ni zipi sababu za msingi zinazowafanya Wasabato duniani kote wachukie na kukereka sana unapoambua au kuwaeleza habari za Msalaba?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Je Kanisa la Wasabato halijaguswa na shambulizi dhidi ya padre Charles Kitima? Kwanini wameshindwa kutoa pole na kulaani tukio hilo baya sana?

    Wadau hamjamboni nyote? Aulizaye ataka kujua kwani Kila taasisi imeguswa nashangaa hao wenzetu wapo kimya shida Nini? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hope Chanell ya wasabato wekeni watu waliobobea kwenye vipindi vya afya ili msivuruge watazamaji wenu

    Kuna somo linaendelea sasa hivi kuhusiana na ugonjwa wa kisukari. Nasikitika kwamba mtaalamu mliyemuweka kufundisha somo hilo,anatumia rejea ya elimu za kizamani sana ambazo zimepitwa na wakati. Kusema mtu mwenye kisukari aepuke kula nyama na mayai kwamba umeng'enyaji wa protini hizo ni mgumu...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Upi ni msimamo wa Wasabato kuhusu sikukuu za Krisimasi na Pasaka?

    Misimamo wa Wasabato imekuwa ya utofauti kwa kiasi kikubwa kulingana na Wakristo wengine. Vp kuhusu hizi siku kuu mbili wanaendana nazo? Na kama haziko katika mifumo yao, je kwao tarehe sahihi za Yesu kuzaliwa na Yeu kufufuka?
  17. C

    JamiiForums Tanzania Hope Chanel TV ya Wasabato ongezeni umakini kwenye vipindi vyenu

    Niko na mwanangu nafuatilia kipindi cha watoto katika TV hii. Kuna mtu anajiita babu anasimulia hadithi za biblia ila anapotosha kwa kujua ama kutokujua. Akisimulia kuhusu Yusufu aliyemchumbia bikira Maria,anasema Yusuf alikuwa "kijana mzuri" yaani "handsome "! Hayo ni maneno ya kupotosha sana...
  18. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe tulikotoka, Wasabato Masalia na ndoto ya kwenda kumhubiri Papa Aache 666 na afuate ibada za Jumamosi

    "Wasabato Masalia"....Hawa siku hiyo waliamka Asubuhi na Mission Moja hivi"Kuihubiri Injili Ulimwenguni Pote", wakaenda kupiga kambi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar-es-salaam, wakisubiri safari yao ya kimiujiza kwenda kuhubiri neno la Bwana kule Iraq na penginepo Duniani hii...
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakatoliki, mliwafanyaje wasabato? Malizeni tofauti zenu.

    Kuna sehemu niliwahi kukaa jirani na kanisa la wasabato. Almost 80 % ya mahubiri niliyokuwa nayasikia ni kuwaponda wakatoliki. Kwamba wao ndio yule joka kuu, mara mwanamke yule kahaba mkuu aliyezini na wafalme wa dunia. Mara papa ni king wa freemason . Wakawa wanadai kwamba wakatoliki wanaabudu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Waadventista Wasabato: Usisahau kuombea uchaguzi wa mwaka huu

    Tunakumbushana. Uchaguzi wa viongozi wa kanisa utakuwa mwaka huu katika GC Session itakayoketi pale America’s Center Convention Complex, St. Louis, Missouri, USA, session ambayo itarudi katika hali yake ya kawaida ya kuketi kwa siku kumi (10). Ikumbukwe GC Session ya mara ya mwisho iliketi...
Back
Top Bottom