Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation.
Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
Wayahudi waliomshitaki Yesu kwa Herode na Pontio Pilato, wanafunzi wake walioukuwa wafuasi wake wanaotembea naye kila siku na Warumi waliokuwa wakoloni watawala wa Judea ambao ndio walimuhukumu Yesu wote wanashuhudia kwamba Yesu Kristo alitundikwa na kuuwawa msalabani, wanachotofautiana tu ni...
Great Thinkers wa JF,
Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
Hili lipo Historically, tunaambiwa huyu mdau (mgunduzi) alitumia mbinu za kutumia vioo na mwanga wa jua (kama vile lense inavyoweka kuchoma karatasi) na kuunguza Meli zilikuwa zinavamia..., Je kuna ukweli kwamba hilo lilitokea ?
https://youtu.be/ZI3WcOTGd4o?si=l0gGUXgAPdBg9pwJ
Kabla ya ujio wa Julian calendar 46 BC watu wa zamani walikuwa wanatumia calendar ipi?
Miaka ilikuwa inahesabiwa vipi enzi za Biblia ya agano la kale?
Walioishi miaka 900 ni kwa kutumia calendar ya miezi 12 au tofauti?
Warumi! Warumi! Warumi! Ni watu waerevu, wajanja na wenye akili sana.
Dunia yote ipo mikononi mwa Roma. Barabara zote duniani zinaelekea Roma.
Wana siri nyingi na nzito kweli kweli. Wanapigwa vita na makanisa ya kiprotestanti kupitia kanisa lao Katoliki ila huwakuti kujitetea wala kujibu...
Mungu katuumba sisi wanadamu Kwa akili tena Kwa mfano wake, na hii iko bayana ya kwamba mara kadhaa anatukaimisha majukumu yake, na ametupa uwezo huo sio kwa bahati mbaya.
Mungu katuleta hapa duniani kwa kusudi kubwa sana, hapa tulipo tunapoishi kama miungu wenye umungu ndani yetu kila hatua...
Chumvi ilikuwa na thamani kubwa sana katika utawala wa Warumi. Hakukua na umeme hivyo chumvi ilitumika kuhifadhia vyakula kama nyama na samaki. Kwa watu wa Pwani mnafahamu papa na ng’onda huu ni mfano wa vyakula vilivyo hifadhiwa na vilidumu kwa muda mrefu.
Chumvi iliitwa dhahabu nyeupe na...
Moja ya ushahidi wa mwanzo wa kusulubishwa kwa warumi umepatikana katika mji uliyo katikati mwa Uingereza.
Mfupa wa mwanamume uliyokuwa na msumari kupitia kisigino chake ulipatikana katika mji wa Fenstanton, karibu kilomita 115 kaskazini mwa London.
Mtaalamu wa mifupa wa Chuo Kikuu cha...
Moja ya ushahidi wa mwanzo wa kusulubishwa kwa Warumi umepatikana katika mji uliyo katikati mwa Uingereza.
Mfupa wa mwanamume uliyokuwa na msumari kupitia kisigino chake ulipatikana katika mji wa Fenstanton, karibu kilomita 115 kaskazini mwa London.
Mtaalamu wa mifupa wa Chuo Kikuu cha...
Jioni kama hii ungekuepo ningekua napitia posts zako mpya au comments zako za habari za mjini, habari zenye mafunzo aka umbea wenye afya
Nilikuaga najichekea mwenyewe ila kila kicheko na kichekesho toka kwako kilikua na mafunzo au shule ndani yake..... Dah kifo hiki💔😥👐
Kusema ukweli kuna...
Wanabodi, msiba ni kuzika.
Ninawaomba tukamzike mwenzetu, tukamzika vipi?kwa kushiriki ibada ya kumuaga pale kanisani Muhimbili saa 8 mchana.
Je, tutaenda kuaga hivi hivi mikono mitupu hapana ninaomba tujichange chochote kabla ya saa 8 mchana tukabidhi kwa familia.
Ninaomba rambirambi zote...
Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo.
Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka ulipochukua maisha yake.
Kama ndivyo Basi alivumilia Sana mateso hasa ya kujua kwamba atakufa hatapona...
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo.
Taarifa hii nimepewa na dada yake muda huu, msiba upo Tegeta .
Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya...
Habari wanajamvi, nazani wengi tunakumbuka namba za kirumi shule ya msingi, X = 10, XX = 20 na kuendelea. Baada ya kuwa watu wazima tukajitegemea na kuamua mambo yetu binafsi baadhi tulipendelea kuangalia video za warumi katika kujifunza zaidi kuhusu maana namba zao tunazijua.
Sasa hivi...
Warumi wa kale ndiyo walikua wazalendo wa kweli. Katika jeshi wa Warumi kuanzia cheo cha Major kwenda juu ni lazima uwe Mrumi kwa kuzaliwa. Askari wa wa chini ya cheo cha Major walikua ni raia nchi wanayotawala.
Kazi ya Major kama hakuna vita ni kujenga miundo mbinu. Kuanzia barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.