waraka

Warqah ibn Nawfal ibn Asad ibn Abd-al-Uzza ibn Qusayy Al-Qurashi (Arabic ورقه بن نوفل بن أسد بن عبد العزّى بن قصي القرشي) was the paternal first cousin of Khadija bint Khuwaylid, the first wife of the Islamic prophet Muhammad. He was considered a Christian priest. Warqah presumably died in 610 CE, shortly after Muhammad is said to have received his first revelation.Warqah and Khadija were also the first cousins twice removed of Muhammad: their paternal grandfather Asad ibn Abd-al-Uzza was Muhammad's matrilineal great-great-grandfather. By another reckoning, Warqah was Muhammad's third cousin once removed: Asad ibn Abd-al-Uzza was a grandson of Muhammad's patrilineal great-great-great-grandfather Qusai ibn Kilab. Warqah was the son of a man called Nawfal and his consort—Hind, daughter of Abī Kat̲h̲īr. Warqah was proposed to marry Khadija, but the marriage never took place.Warqah is revered in Islamic tradition for being one of the first hanifs to believe in the prophecy of Muhammad .

View More On Wikipedia.org
  1. Tafadhali Wakatoli wa Ibada ya Kwanza tuliowahi Makanisani ili Kuusikiliza na Kuutii Waraka wa TEC tutambuane tafadhali

    GENTAMYCINE tayari nimeshawahi na nimekaa zangu Siti za mbele mbele kabisa nikitanguliwa na Kwaya yetu nzuri yenye Nyimbo za Kukufanya uwe karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na akupunguzie Dhambi zako japo hatozifuta zote ili Akakuadabishe vyema Mbinguni Siku ya Hukumu. Leo Makanisani ( kwa wenye...
  2. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  3. M

    Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  4. B

    Waraka wa Maskofu TEC una mengi: Umegusa mateso ya wamasai na vijana wasio na ajira

    Baada ya masuala ya Jumuia asbh na tafakari ya waraka wa TEC. Yako mengi mazito, tutajadili moja moja kila fursa inapopatikana. Nimeona SUALA LA MANYANYASO KWA WAMASAI YAMEPEWA UZITO. angali hoja za utangulizi na. 9 ...inasema 9. Kupuuza sauti ya wananchi juu ya uwekezaji usiosikia sauti yao...
  5. H

    " La T.E.C. sio Tamko la Bandari, ni waraka wa Bandari kwa Watanzania wote" au (barua ya kichungaji kwa watanzania.)

    Tusichanganye dini na siasa, au viongozi wa dini ingieni kwenye siasa, imekuwa silaha kubwa kwa wanasiasa wezi, mafisadi, majambazi, wabadhirifu wa mali za umma, kuwazuia viongozi wa dini kufanya kazi yao ya kufundisha kuonya, na kukemea maovu katika jamii. hata wakati mambo yanakwenda vibaya...
  6. Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

    Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu...
  7. B

    Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

    Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu. Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi...
  8. Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu. karibuni kwa nyongeza ya maoni...
  9. Waraka wa Mwinjilisti Bujibuji kwa wana JamiiForums wote. Soma ufaidike na hekima ya Simba Nyamaume

    Dondoo za maisha: 1. Usiwakopeshe ndugu zako. Wasaidie. ¹ Ndugu zangu wapendwa katika jamvi hili adhimu la JamiiForums nawausia, usimkopeshe nduguyo, msaidie. ²Kuna ndugu wazandiki wenye husda, anakuja na gia ya kukopa, kumbe hana nia ya kurudisha, usimkopeshe, mpe aende. ³Leo familia nyingi...
  10. Waraka Mfupi Kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Awali ya yote natumai umzima wa Afya popote ulipo Rais pia nikupe pole Kwa majukumu ya kulitumikia Taifa hili letu pendwa ambalo lina changamoto lukuki! Rais naomba niende moja Kwa moja kwenye hoja ambayo imezua maswali pasi na majibu siku mbili hizi juu ya mjadala "Tata' kuhusu Serikali yetu...
  11. B

    SoC03 Waraka kutoka mashuleni na vyuoni

    ( MDUDU WA AJABU ANAETESA ULIMWENGU SASA KAINGIA MASHULENI NA VYUONI ) Mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita anaejulikana kama Nathan, tulikutana mwezi uliopita wakati tumekutana mazungumzo yetu yalikuwa kuangalia namna wanafunzi na wanachuo wanavyoishi wakiwa shuleni na vyuoni, yeye nathani...
  12. J

    Waraka kwa Serikali kuhusu Walimu

    Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu. Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao na kunyima haki na kuonewa na kuchukuliwa kama watu wa shida na kila kiongozi. Kuna haja serikali...
  13. B

    Msaada wa waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango

    Habari za majukumu. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu. Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
  14. Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

    Nimefurahishwa Sana na kusikia rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr Samia Suluhu Hassan ni mtembeleaji mzuri wa jukwaa hili la JamiiForums na tunaamini atatusikia juu ya hiki kilio chetu. Sisi Wahandisi tulioajiriwa kama walimu katika shule za ufundi Tanzania. Bwiru Boys...
  15. M

    Rais Samia, maeneo ya kufanya maridhiano ni mengi

    Waraka kwa Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan. Waraka huu nautuma kwa Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutokana na kuonyesha dhamira ya kweli ya upatanishi katika jamii ya watanzania. Mh Rais maeneo ya upanishi ni mengi sana kutokana na uonevu uliofanyika wakati wa Serikali ya awamu ya Tano. Eneo...
  16. J

    DC aliyetumbuliwa atoa waraka mzito kwa Naibu Waziri mpya wa TAMISEMI

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ameandika waraka mzito kuhusu utendaji dhaifu wa watumishi wa Halmashauri ambao wanahujumu miradi huku wakiendelea kukingiwa kifua na mamlaka husika. Na basillamwanukuzi Hongera sana @dndejembi kwa kuamniniwa na Rais kua Naibu Waziri...
  17. Serikali itoe tamko au waraka kupunguza adhabu ya fimbo mashuleni;watoto watavunjwa nyonga

    Bila jitihada za serikali kuweka msisitizo wa kuzuia au kupunguza adhabu ya viboko mashuleni; kuna uwezekano mkubwa wa kuzalisha taifa lenye walemavu wengi! Binafsi niliwahi kuchapwa enzi hizo nikiwa sekondari kwa kosa la jumla (darasa zima) na walimu karibu 10 kwa wakati mmoja. Nilipata...
  18. L

    Waraka No. 1 wa China wasisitiza kujenga nchi yenye nguvu kubwa ya kilimo

    Hivi karibuni serikali kuu ya China ilitoa waraka No. 1 wa mwaka huu kuhusu suala la kilimo. Huu ni mwaka wa 20 mfululizo, ambapo China imetoa waraka No.1 kuhusu kilimo, na jambo ambalo linaonesha kuwa suala hili limepewa kipaumbele zaidi nchini China. Mwaka huu, kwa mara ya kwanza waraka huo...
  19. L

    China yatoa waraka wa kwanza unaolenga kuchochea ufufukaji wa kina katika maeneo ya vijijini

    China imetoa waraka muhimu wa kisiasa unaojulikana kama “Waraka Na. 1 wa serikali kuu” wa mwaka 2023, ambapo nchi hii imesisitiza lengo lake la kusukuma kwa pande zote ufufukaji wa vijijini kwa kuunganisha juhudi za Chama cha Kikomunisti cha China na jamii nzima, na pia kuongeza kasi ya kutimiza...
  20. Waraka wa Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko kwa Shule za Tanzania Bara

    Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi mashuleni huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko. Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…