Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
Kuna mgombea mmoja ambaye amejipa uteuzi katika chama , Kwa kutumia Madaraka yake na kikundi cha wastaafu na sasa anatumia vyombo vya dola , ili kuwazima wapinzani wake , licha ya kutumia Madaraka yake na fedha za umma kujikweza na kujipamba ni dalili kwamba anaweza hivyo tumpe nafasi au ni...
Wapinzani wa Tanzania wale ambao kweli ni wapinzani wakishaelewa hivyo naamini wanaelewa nini wanachotakiwa kufanya.
Jana mmeona wenyewe kuna watu waliumizwa kuna kifo na kuna ambae mpaka sasa hajarudi achilia mbali kuchukuliwa na polisi hadharani.
Hili jeshi pamoja na CCM kamwe hawawapendi na...
Wakuu Habari! Heri ya siku kuu ya Pasaka Kwa Wakristo wote. Nitumie pia nafasi hii kuwatakia Kila la Heri watani zangu wa jadi Simba sc Kwenye Mechi Yao ya mkondo wa kwanza nusu fainali SHIRIKISHO barani Afrika hapo kesho dhidi ya Stellenbosch.
Kabla sijaenda Kwenye mada ni declare interest...
Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi, sikiaeni hoja za wapinzani mzifanyie kazi wakose hoja lakini hii kamata weka ndani kuna siku itakua mbaya.
Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini.
Kama ambavyo...
binadamu
elections
haki
haki za binadamu
iendane
kampeni
mataifa
no reform
no reform no elections
tanzania
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
vikwazo
viongozi
viongozi wa tanzania
wapinzani
Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana
Mrema
Mbowe
Lipumba
Maalim Seif
These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika ukombozi wa kweli .
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM katika wilaya za Karagwe na Kyerwa kupunguza matumizi ya fedha katika michakato ya uchaguzi wa ndani ya chama.
Akizungumza na wanachama wa CCM siku ya Jumapili mkoani Kagera, Wasira amekemea vikali...
Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA.
CCM wao wako busy kubuni mbinu za kunasa makundi mengi ya wananchi waisapoti na kuipa kura nyingi uchaguzi mkuu. Wanabuni vikundi vya...
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake.
Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali.
Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu .
Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako zishinde zinahitaji wapigakura waliojiandikisha kupiga kura
Haijalishi mnapambana na yapi lakini...
Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya.
Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara...
Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara.
"Na Tundu Lissu alikuwa akisema haijapata kutokea kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli kama unamuita wa ajabu. Na kama unamuita wa ajabu yeye atakuwa anaujua uajabu wake Mimi siufahamu.
"Kwahiyo matokea hayo yaliyotokea...
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya...
Droo ya hatua ya 32 Bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB FEDERATION CUP) imewekwa wazi ambapo Mabingwa watetezi, Yanga Sc wamepangwa dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye 32 Bora huku Simba Sc ikipangwa dhidi ya TMA Stars ya championship, huku Azam FC watacheza dhidi ya Mbeya City...
Mwaka huu iwe mwisho wa upinzani uchwara Tanzania kuingia kwenye uchaguzi kama hisani ! Wagombea ATI hawajui kujaza fomu ! Au Kuna mahali mtu anapita bila kupingwa ,au tunasikia mpinzani anatishiwa polisi ,iwe mwisho kusikia stori za kuibiwa kura za ubunge na udiwani ,iwe mwisho mapolisi...
"....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina tatizo. Ila, ishieni kuchezea ndevu pekee na siyo Dola."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.