wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Afrika yalaani vikali unyanyasaji wa wapinzani na Wanaharakati Tanzania, yataka haki za binadamu uhuru wa Habari na Mitandao kipindi Uchaguzi

    Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapinzani lindeni Muungano ili mfike Ikulu haraka

    Muungano wa Tanzania na Zanzibar ni kitu nyeti cha thamani kubwa sana kinacholindwa kwa gharama yoyote, yaani kwa gharama yoyote ile. Na watu walioapa kuulinda Muungano kwa gharama yoyote wapo na ni wengi sana pia. Hivyo, hakuna Rais ambae yuko tayari kuona Muungano unamfia mikononi mwake; kila...
  3. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Je CCM wanatafunwa na dhambi ya ubaguzi kwa wapinzani?

    Mwl Nyerere aliwahi kusema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuiacha. Pia Mwalimu alisema kinachowafanya Watanganyika kusema sisi Watanganyika ni uwepo wa Wazanzabar, na kinachowafanya Wazanzibar kusema sisi Wazanzibar ni uwepo wa Watanganyika. Aidha Mwalimu alisisitiza...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Siasa oyaoya, siasa za matukio, siasa mwendokasi ni changamoto kubwa sana inaowakumba wapinzani kwa ujumla

    Miezi iliyopita tuliona movement kubwa sana ya no reform no election sisemi kwamba movement imekufa ila sioni zile harakati zikiendelea wako watakaosema wamezuiwa kufanya siasa hiyo sio sababu wanatakiwa wakomae hivyo Ghafla anakuja yule balozi aliyejihudhuru kule quba sasa hivi ndo anatrend na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Watazania mkitaka kesi za wapinzani ziishe mapema i.e: Lissu msizipe nafasi kubwa na kuzijali

    Ni wazi kesi dhidi ya wapinza zinatengenezwa na serikali kwa kushirikiana na wapinzani husika i.e:Lissu kwa maslahi ya viongozi wa serikali au chama tawala na viongozi wa upinzani ambao ni sehemu ya ccm. Nakuhakikishia kesi hizo ni za kutungwa na viongozi wa upinzani wako kazini kwa masilahi ya...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mbona katika utawala wa Jumanne kaseja wapinzani walikuwa wanatangazwa, je aliyeua demokrasia kabisa ni Jumanne au Mzee wa Push -Up.?.

    Tuwe wakweli ikiwa Jumanne kaseja aliruhusu partial democracy wapinzani wakawa wanatangazwa na kushinda je anabidi kulaumiwa sana tofauti na yule mzee wa Push up ambaye kwa sasa yupo motoni.?..
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi kama CCM wametendeana hivi (mtu mkavu) vipi Kwa wapinzani? (Mti mbichi)

    Vyombo vya ulinzi angalieni yaliyotokea kwenye uchaguzi wa CCM maeneo mbalimbali nchini. Swali kwenu kama wameutendea mti mkavu hivi vipi Kwa mti mbichi? Kuna Uzi uliwekwa hapa asubuhi hapa Kwa kumpongeza Lissu kujitoa sadaka Kwa wengine na Mimi naunga mkono lissu ni kama mkombozi Kwa walio...
  8. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Nape anatuhumiwa kuendesha vikundi vya uhalifu kwa wapinzani wake uchaguzi kura za maoni jimbo la Mtama

  9. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais ndiye the best option kwa wapinzani

    Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka. 3. Ngwe ya mwisho ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Aina ya Mioyo ya wapinzani Tanzania

    (1)Wale wasiyoyumba wala kubadilishwa kama Tundi Lissu hata umuonge nini habadiliki (2)Wale wa maslai kama Mbowe wao watavumilia kila aina ya mateso lakini ukiwapa pesa wanasahau yote (3)Wale wanaofwata upepo kama akinyimwa madaraka Chadema anaenda kuyatafuta kwingine Msigwa (4)Wale awana...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee

    Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee. Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee. Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Zitto acha kudharaulisha upinzani, wapinzani sio wa kulenga kupata viti 30, 40 au 50 vya ubunge.

    Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya CCM kuwapa wapinzani ubunge ni kuwapa hawa Covid 1

    Naona wote vibaraka wa CCM wamerudi CCM na kuchukua fomu. Ahadi ya CCM kugawa majimbo ya uchaguzi inavyotaka imetimia. Siasa za kitapeli zimetawala Tanzania
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Na je, Chadema inafanya siasa kweli? Sote ni mashahidi, uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
  15. DolphinT

    JamiiForums Tanzania "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma"

    "Ukomo wa Demokrasia Katika Nchi Zinazotawaliwa na Party Coccus: Ulimbikizaji wa Madaraka, Ukandamizaji wa Wapinzani, na Unyakuzi wa Taasisi za Umma" Katika baadhi ya nchi za Afrika, hali ya kisiasa imeendelea kuonyesha mwelekeo wa kuporomoka kwa misingi ya utawala wa sheria, demokrasia, na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  17. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania

    Rashda naandika Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja na wenzake, walijaribu kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu. Lakini...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hata CHADEMA wakichukua nchi bado wapinzani wataendelea kutekwa na kupotea. Wapinzani sio lazima wawe CHADEMA hata CCM ni wapinzani kwa CHADEMA

    Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA wakichukua nchi watu wataacha kupotea! Maana najua kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna wapinzani...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Inavyoonekana kwa tafsiri ya utawala wa mama njia ya kudhibiti wapinzani ni kuwapiga kuwaumiza na kuwapoteza

    Ni kama serikali imeshastuka kwamba wakienda kikawaida kwa kufungua kesi mahakamani, huenda wasipate kabisa mwenye hatiainayostahili adhabu ambayo wangeitamani kuona watu wenye mawazo kinzani. Kwa kujua hilo ndio maana sasa kuna kitisho kikubwa sana kwa yeyote anayeonekana kwenda kinyume na...
Back
Top Bottom