wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

    Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

    Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja. Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Wapinzani wanafurahia Rais Samia akiharibu

    Kipindi cha Magufuli wapinzani waliweweseka sana kwasababu asillimia kubwa ya wananchi walikuwa wanamkubali, ukiachilia mbali hawa wananchi waliopo mitandaoni, walijua kabisa pale mziki ulkuwa mgumu. Lakini kwa sasa wanajua kabisa Mama ni kama vile ana salala fulani hivi katupiwa, asilimia...
  5. JamiiForums Tanzania MIAKA 61 YA UHURU: Je, ni kweli wananchi hawaitaki CCM na wamewapuuza wapinzani?

    Heri ya kumbukumbu njema ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanganyika iliungana na Zanzibar mnamo mwaka 1964 na kuzaliwa Tanzania,Bendera ya Tanganyika ilivyoanza kupepea mwaka 1961 tulishuhudia tunavyoanza kujitegemea,kila nikiusoma utenzi wa tujifunze lugha yetu,kitabu cha 7 najiona mwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" Ilianzishwa na Wapinzani

    Kwema Wakuu! Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe. Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika. Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona wapinzani wametulia kimya ujue mema ya nchi wanakula na watawala; Wakibinywa, tabu yao huifanya tabu yetu

    Siyo Tundu lissu wala Mbowe sasa wote wapo kimya hali shwaaari! Walituaminisha Serikali inafuja pesa kujenga miundombinu, walituaminisha bwawa LA nyerere siyo kipaumbele, walituaminisha utawala awamu ya tano hautoi huduma mhimu kwa wananchi! Sasa tangu utawala wa awamu ya Sita uwashike mkono...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mungu Fundi; Baada ya kuwanyima wapinzani majukwaa, sasa CCM ndio wanafanya kazi ya upinzani na wanaofanya mpaka 2025

    Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika. Hata hivyo, kwa jinsi Mungu aliyokuwa Fundi, kapundia meza/mkeka kama walivyofanya Yanga kule Tunisia hivi karibuni. na...
  11. JamiiForums Tanzania Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  12. JamiiForums Tanzania Japo Uchaguzi wa 2020 ni Uchaguzi halali, Ushindi wa Kishindo wa CCM ni halali? Wapinzani ni Wameshindwa Kihalali au Wamedhulumiwa kwa Figisu?

    Wanabodi, Kwa maslahi ya taifa, leo naomba kuendesha somo kuhusu kitu kinachoitwa ubatili na haramu. Ubatili ni kitu ama kilichofanyika kinyume cha sheria, taratibu na kanuni hivyo jambo likifanyika kwa ubatili jambo hilo linakuwa ni batili. Haramu ni jambo ambalo limefanyika kinyume cha...
  13. JamiiForums Tanzania Chama changu CCM mkitaka tusiwe wapinzani groom Vijana wengi ila kwa sasa macho yenu yaweke kwa Vijana hawa

    Chama changu cha Mapinduzi Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli wanapiga kazi na wanakubali wanapokosea, wako humble Kwa wananchi , na ni wasafi Narudia ni wasafi...
  14. JamiiForums Tanzania Berlin na Moscow sasa ni wapinzani - Rais wa Ujerumani

    Frank-Walter Steinmeier alielezea kampeni ya kijeshi ya Urusi dhidi ya Ukraine kama tukio la maji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ametangaza kwamba Moscow na Berlin sasa zinasimama dhidi ya kila mmoja. Alitaja operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine kama sababu ya kutathminiwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nasaha: Simba SC tuingie uwanjani huku tukiwaheshimu wapinzani wetu Primero De Agasto

    Amani iwe nanyi. Natumaini wachezaji na viongozi wangu wa chama langu la Wekundu wa Msimbazi wapo salama kabisa. Bila ya kupepesa macho wala kung'ata maneno napenda niwaase wachezaji kuwa waingie uwanjani huku wakiwaheshimu wapinzani wetu De Agosto, wakumbuke kuwa haijaisha mpaka iishe. Jana...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Tuendelee kuungana na kuwa kitu kimoja na Tuendelee kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Mama Samia, Wapinzani Wameishiwa pumzi

    Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu, misimamo yetu, kutanguliza mbele maslahi ya chama na serikali yetu, Sera na ajenda zetu pamoja na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo. Kwanini hali hii? 1. Mama kulinganishwa na Mwendazake Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
  18. JamiiForums Tanzania REPOA: 88% ya Watanzania hawawezi kuandamana dhidi ya Serikali

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo umeonesha kuwa asilimia 88 ya wananchi waliohojiwa walisema hawapo tayari kuandamana kuishinikiza Serikali kuwapatia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Wapinzani huwa inamsaidia zaidi Rais aliyeko madarakani kuliko kumdhoofisha, inampunguzia kudanganywa!

    Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto Ruhusuni mtanishukuru baadae
  20. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Simba Queens Klabu Bingwa Africa hawa hapa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…