wapiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutekeleza uboreshaji wa daftari uboreshaji wa daftari la wapiga kura Arusha kuanzia Disemba 11 hadi 17, 2024

    Wanabodi, Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk tarehe...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni wapiga kura wako; Rais Samia waondolee adha ya kunyanyaswa na SUMATRA

    Jana nimeshuhudia vurugu za kutisha mtaani wakati wa kilichodaiwa kuwa zoezi la kukamata pikipiki zinazodaiwa malipo ya SUMATRA. Hali ilikuwa ya kutisha baada ya bodaboda kuanza kurusha mawe ovyo na kuzua taharuki kwa wapita njia. Bodaboda kisheria wanatakiwa kulipa kodi hiyo kila mwaka kwa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Arusha: Viongozi wa Dini waipongeza INEC kwa Elimu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

    VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura awamu ya kwanza zoezi litakaloanza Disemba 11 hadi 17 mwaka huu. Hayo yamesemwa...
  4. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenye changamoto ya Afya ya akili kuondolewa kwenye Daftari la kudumu la Wapiga Kura

    Tume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura . Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye CHANGAMOTO ya afya ya akili waliothibitishwa na mamlaka husika. Wengine ni wale waliowekwa kizuizini kwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Hatujapokea malalamiko ya Green Guard kutishia Wapiga Kura kwa Mapanga

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga amezungumza na JamiiForums na kueleza kuwa hawajapokea malalamiko yoyote kutoka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu Wanachama wao kutishiwa kwa mapanga katika Vituo vya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwanza: Aliyepiga magoti kuomba msamaha kwa wapiga kura, ameibuka kidedea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Calfonia

    Fadhili Nassoro (CCM) ameibuka kidedea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Calfonia, Kata ya Nyegezi jijini Mwanza kwa kupata kura 1,649 kati ya kura zilizopigwa 2,198. Akitangaza matokea leo Jumatano Novemba 27, 2024 msimamizi wa uchaguzi, Christer Nyikizeha, amesema waliojiandikisha kupiga kura...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Baadhi ya malalamiko yaliyoibuka katika uchaguzi na majibu ya wasimamizi kutoka Arusha, Dar na Geita

    Haya ni baadhi ya malalamiko yaliyoibuka katika uchaguzi wa serikali za mitaa na majibu ya wasimamizi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Geita leo Jumatano Novemba 27, 2024. Soma Pia: Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Namibia: Wananchi wapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge, SWAPO hatari ya kupoteza baada ya Miaka 33

    Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura. Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani lindeni kura, uchaguzi ni ushindani hutapewa madaraka Kwa huruma

    Nina uhakika wapinza hawatashinda hata mitaa 10 nchi nzima 1. Vituoni hamna mawakala wa vyama vya upinzani, Kuna mawakala wa Chama kimoja CCM pekee Hapa tutegemee hata wakishindwa watasema wameshindwa. Tunaanguza kura Bure 2. Mawakala waliopo wamezubaa mno Hawahakiki majina ya wapiga kura...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Mwenyekiti CHADEMA akiwasha, apora daftari la wapiga kura baada ya kubaini kuna rafu

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: Mawakala, Wapiga kura wavurugana katika kituo cha kupiga kura cha Mwatulole Center yadaiwa Mwanafunzi asiye na miaka 18 apiga kura

    Ni hali halisi ya upigaji wa kura uchaguzi serikali za mitaa ukiendelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita, hapa ni kituo cha Mwatulole Center. Hayo yote yametokea baada ya kubainika kuwa kuna Wanafunzi wamejiandikisha na kupiga kura wakiwa bado Wanansoma na mwingine kujiandisha kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kinondoni: Majina ya wapiga kura yameandikwa kiholela

    Kama tunavofahamu Leo tunapiga kura, na zoezi limeshaanza tayari. Sasa nimepita hapa Kata ya kinondoni shule ya msingi, wananchi wanalalamika, Wengine wameondoka kabisa, kwasababu wamekuja kupiga kura hawaoni majina yao, Wanachosema ni kwamba majina yamerundikana na hayajapangwa Kwa herufi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigamboni: Majina ya wapiga kura Mtaa wa Upendo hayasomeki vizuri na kutopangwa kwa kufuata alfabeti imekuwa ni changamoto sana leo

    Wakuu wakati zoezi la kupiga kura linaendelea katika maeneo mengi nchini. Baadhi ya maeneo wapiga kura wamendelea kutoa changamoto wanazokutana nazo. Sasa Katika zoezi la kupiga kura kwa viongozi wa Serikali za Mitaa ambapo katika Mtaa wa Upendo Kigamboni jijini Dar, changamoto iliyoainishwa ni...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Jiji la Dar es Salaam HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM Jiji...
  16. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea wa CCM Uchaguzi Serikali ya Mtaa Kunduchi apita akipiga mdundiko bila kutoa ahadi yoyote kwa wapiga kura wake

    Wandugu kwema? Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana mitaani akiwa ameambatana na wapiga MDUNDIKO. Mgombea huyo hakuwa anaongea lolote kwa wananchi kwa...
  17. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa Tanzania wasipuuze Sera za Mazingira kwa kudhani hazishawishi kura. Mabadiliko ya Tabianchi ni kipaumbele kwa Wapiga Kura wengi

    Picha: Mafuriko ni miongoni mwa athari nyingi zinazoletwa na Mabadiliko ya Tabianchi Tafiti zinaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi bado hayajapewa kipaumbele kikubwa katika chaguzi nyingi za Afrika (Tanzania ikiwa miongoni mwazo), licha ya athari zake kubwa barani humo. Masuala yanayopewa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Biteko aipongeza Dodoma Jiji kuvuka lengo uandikishaji Wapiga Kura

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya Uchanguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa pongezi hizo...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wasio na kazi wanaenguliwa! Huu ni ujinga. Wapiga kura wasio na ajira wasishiriki, huu ni werevu.

    Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa kwa kuto dhaminiwa na kutokujiandikisha orodha ya Wapiga Kura

    Wakuu Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko Mkoani wa Arusha "Arumeru Mashariki Wagombea wa ACT Wazalendo katika Kata ya Seela Sing’isi...
Back
Top Bottom