wapiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    PreGE2025 Jimbo la Hai 2025 linakwenda na Fuya , Saashisha Mafue aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata 17

    CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya . Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote. Wanahai wako hai,hawatafanya makosa mwaka 2025.
  2. chiembe

    PreGE2025 Jimbo la Ilemela 2025 linakwenda na Qwihaya, Angelina Mabula aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata zote

    CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote. Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia...
  3. M

    Vyama vya siasa hamasisheni wapiga kura wenu wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la mpiga kura.

    Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inazindua uboreshaji wa taarifa za wapiga kura na Uandikishaji wa wapiga kura wapya tarehe 20 July 2024.Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti Jaji mstaafu ndugu Jacobs Mwambegele pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi ndugu Kailima wamejitahidi sana kuhamasisha na kutoa...
  4. Tlaatlaah

    PreGE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
  5. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine wa uchaguzi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa)...
  6. Mganguzi

    PreGE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, leo Jumatano Juni 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya majadiliano kuhusu mandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utakaoanza Julai 1, 2024. UBORESHAJI WA...
  8. Nyanda Banka

    Uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura

    Naona mambo yameanza kunukia nukia kwa wale ambao tunasubiria kupata huu mchongo ni muda sasa wa kukaa kitaalamu na kwa password zaidi Mungu atujalie sisi jobless tupate hii kazi angalau tupunguze machungu ya kusoma na kukaa mtaani bila kazi
  9. Nyendo

    PreGE2025 Wanasiasa na mbinu ya kuweka TV kwenye mikusanyiko ili kuhadaa wapiga kura

    Miaka ya nyuma kidogo Mkoani Tabora kuna Mwanasiasa aliyekuwa akigombea Ubunge aliwahi kufunga TV kubwa Pale soko maarufu kwa jina la Soko kuu. Aliifunga wakati wa kuelekea kampeni za uchaguzi akalipia na king'amuzi watu wakawa wanatazama mechi bure ikiwemo na kulipia kahawa na kashata watu...
  10. F

    Tetesi: 2025 wapiga kura ni milioni 33, hofu yatanda juu ya ujio wa wapiga kura chipukizi

    Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama. Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema yeye, haivutii hata kidogo. Kaniambia kuna hofu ya mabadiliko makubwa ya matokeo na wakubwa...
  11. Samatime Magari

    📍Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

    Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri.. . Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
  12. B

    Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

    Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
  13. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Shemsa Mohammed: Wenye Ulemavu na Wazee Wahamashishwe Kujindikisha Katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa ngazi zote kuhakikisha wanahamasisha Watu wenye Ulemavu na Wazee kujiandikisha katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na...
  14. Heparin

    SI KWELI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inapokea Maombi ya Wafanyakazi wa Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Mtandaoni

    Habari, Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi. Ukweli wake upoje?
  15. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 LGE2024 Shemsa Mohammed Ahamasisha WanaCCM Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewaagiza viongozi wa Matawi, Kata na Mashina kuhamasisha wanachama kujiandikisha katika daftari la wapiga kura ili wapate sifa za kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Ameyasema...
  16. Allen Kilewella

    Hivi wapiga kura wapya wataandikishwa lini?

    Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa. Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
  17. M

    PreGE2025 Muitikio hafifu wapiga kura chaguzi za ndani CHADEMA nani alaumiwe?

    Tulielezwa Chadema ina wanachama takribani milioni nane (8) ila Idadi ya wapiga kura chaguzi za ndani Chadema haifiki hata watu mia moja (100+) ipo chini ya watu 60 yaani kila Mkoa zilipofanyika chaguzi kuchagua mwenyekiti kama hajapita bila kupingwa utakuta Mwenyekiti mkoa amechaguliwa kwa...
  18. Melvine

    Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

    Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi. Demokrasia ni uwanja mpana na...
  19. kipara kipya

    Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

    Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe. Wakaenda mbali kwa...
  20. Suley2019

    Mnyika: Tukitaka kuongeza idadi ya wapiga kura imani katika mifumo ya uchaguzi iongezeke

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema Serikali inakwepa kutoa tathimini ya kwa nini idadi ya wapiga kura inapungua nchini, ila kwa tafiti walizofanya, wamegundua wananchi wamepoteza imani na mifumo ya uchaguzi nchini. Akizungumza katika kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia...
Back
Top Bottom