Vyama vya siasa hamasisheni wapiga kura wenu wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la mpiga kura.

Jul 6, 2016
11
13
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inazindua uboreshaji wa taarifa za wapiga kura na Uandikishaji wa wapiga kura wapya tarehe 20 July 2024.Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti Jaji mstaafu ndugu Jacobs Mwambegele pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi ndugu Kailima wamejitahidi sana kuhamasisha na kutoa elimu juu ya umuhimu wa kujiandikisha na kuboresha taarifa za wapiga kura, kwa ajili ya Uchaguzi mkuu utakao fanyika mwakani. Pia waliongeza muda wa kuanza uboreshaji ili kuvipa muda zaidi Vyama vya siasa kuhamasisha wapiga kura wao wajitokeze kwa wingi kwenye zoezi hilo. Lakini katika tafiti zangu naona Chama Cha Mapinduzi ndicho kinacho ongoza kuhamasisha wapiga kura wake.Na tunajua mtaji wa Vyama vya siasa ni wapiga kura, Sasa isije ikatokea CCM wameshinda viti vingi vya Ubunge halafu Vyama vingine vikaanza kuilaumu Tume huru ya Uchaguzi ya Taifa wakati ni uzembe wao. Nimeongelea Ubunge kwa sababu Uraisi tayari aliyekuwepo amejipambanua kwa kugusa kila maeneo yaliyokuwa yanalalamikiwa na wananchi wengi.Hivyo basi ili kuepusha maneno Vyama Vyama upinzani amkeni,hamasisheni wapiga kura wenu wajitokeze kujiandikisha na kuboresha taarifa zao angalau mje muambulie kwenye Ubunge na Udiwani
 
Hazitaibiwa kura zetu. tuambieni kwanza.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ni mtu mjinga tu atajiandikisha kupiga kura katika mazingira ambayo mwenyekiti wa ccm na genge lake lijiitalo system ndio wanaamua nani atangazwe mshindi, na sio kura halali kwenye box la kura. Wajinga tu ndio watakuwa wana muda wa kupoteza kwenye hizo chaguzi za kishenzi.

Machafuko tu ana mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta heshima kwenye box la kura.
 
Back
Top Bottom