wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zipo wapi hotuba za mzee Mwinyi akiwa Rais?

    Nimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa Rais. Je hotuba zake zipo wapi? Mbona za wengine zipo?
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Asilimia 80 ya maji ya kopo Dar es Salaam ni feki na machafu, hayafai. Kwa hali hii usalama wetu uko wapi?

    Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana. Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda Kinyerezi kuna ofisi maalumu ambayo wanakusanya makopo na kupakia maji machafu yasiyofaa hata kidogo...
  3. JamiiForums Tanzania Kama unaenda Taifa Kwa Mkapa leo sema utakaa wapi / jukwaa gani ili uoshe Nyota kwa kukaa Jirani na GENTAMYCINE

    Ila sitaki tu tukikaa uanze kuomba kupiga Picha nami kwani hapo Utanikera sana kwani hakuna Kitu nakichukia duniani kama Kupiga au Kupigwa Picha.
  4. JamiiForums Tanzania Huyu msanii Nas B alipotelea wapi!?

    Aliimba Dua la Kuku, aliimba huko pamoja records.. I have a story with him. Anybody.. p'se..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natamani nije niwe mwandishi wa filamu au tamthilia, nishaurini nianzie wapi?

    Shikamooni wakubwa zangu, sina mda mrefu sana hum jamii forum ila nlichogundua asilimia kubwa hum mnautambuzi wa mambo tofauti tofauti,ata kwa hili langu naamin hamtashindwa kunipa mawazo. wakuu mimi nna kipaji cha uandishi wa hadithi au simulizi tofauti tofauti, nna stori nyingi sana ambazo...
  6. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata malighafi za kutengenezea sabuni ya maji jijini Dar es salaam?

    Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile: (a) Sulfonic Acid (b) Slesi (c) Soda ash (d) Alca 2 ____________________H2O (e)...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Mafisadi imeishia wapi?

    Mara baada ya Rais John Pombe Magufuri kuapishwa, Kashi kashi na mbwe mbwe za kiutawala zikaanza... Tumbua tumbua, ziara za kushtukiza, kugawa mabunda ya Fedha hadharani kwa watu binafsi na taasisi za umma zenye uhitaji ni baadhi ya mambo tuliyoyashudia ktk utawala wake Marehemu JPM. Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuchagua kuzaliwa wapi na race gani, ungechagua hapo ulipo ?

    Challenge. Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ? - Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ? - Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ? Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume tuko wapi?

    Kuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia. Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa. Wanaume najua mnanielewa, mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume. Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu.
  10. JamiiForums Tanzania Ajira za wahudumu wa treni ya SGR zilitangazwa wapi?

    Ajira za kuwapata hawa wafanyakazi wa sgr zilitangazwa wapi jaman?tuna dada zetu mavyeti yanaoza ndani..utani huo mnaleta.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya pesa inayoshinda simba ligi ya caf ikiwemo bilioni 5 ya African super League waliyopewa mwaka jana zinaenda wapi ?

    Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ? Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league. Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bunge letu tukufu limekosea wapi?

    Leo nimeona tujadiri wapi bunge letu limekosea/linakosea. Awali tunajua kuwa mbunge wa Jimbo anapochaguliwa anawakilisha wana-Jimbo wote. Sasa mbona wanawake wanataka mwakilishi wao, mbona walemavu wanataka mwakilishi wao, mbona vijana wanataka mwakilishi wao. Na baadae wazee watataka...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

    Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
  14. JamiiForums Tanzania Napata wapi ferric chloride?

    Nisaidieni
  15. JamiiForums Tanzania Ferric chloride inapatikana wapi?

    Napata wap
  16. JamiiForums Tanzania Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je ni wapi au ni namna gani mfugaji anaweza akawa au akapata mbegu bora ya samaki aina ya Sato inayokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Sukari imeshindikana nchi hii. Ni pasua kichwa

    Leo nimenunua Sukari kilo afu tano. Leo Tarehe 14.2.2024 Na hapa Niko mjini Dar. Sipati picha huko kwingine. Huko kwenu inaendaje?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi yule mdada aliodai kuzaa na Lowassa aliishia wapi?

    Siasa ni nzuri kama upo upande wa walioshikilia mpini wa jembe tofauti na hapo utalimwa sana.
  19. JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka penzi lako la mbali liliishia wapi?

    Habarini Leo nimekaa nikitafakari sana juu ya mambo ya muda kidogo yaliyopita juu ya safari ya mapenzi Miaka ya nyuma lilikua ni jambo la kawaida kuwa na mahusiano na mtu ambaye hujawahi kumuona lakini ukawa na upendo naye sawa na unaishia naye jirani. Nakumbuka wakat fb,bbm,na Whatsapp...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Andrew Chenge Mzee wa Vijisenti?

    Wanajamvi ni swali tu sijamuona muda mrefu mwanasheria nguli huyu si sehemu za furaha au misiba haonekani Anajua alipo atujuze.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…