wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC Songwe: Wakurugenzi wa Halmashauri kazi zenu hazidumu milele, lipeni madeni ya Watumishi na Wazabuni

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanalipa madeni ya watumishi na wazabuni bila kuchelewa. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa (RCC) kilichofanyika Februari 19, 2025, kwa ajili ya kupitisha bajeti ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

    Naombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hii miujiza ya manabii/mashehe feki wanaitoa wapi?

    Kwa mujibu biblia na utabiri ndani yake, manabii feki wataweza ku perform miracles kwa kulitaja jina la Yesu. So hawa watu wame master uwezo wao binafsi maalum namna ya kufanya miujiza? wananaenda kupokea uwezo kutoka mahala maalum? Ni waganga wa jadi ultra prom max? Karibuni.
  5. JamiiForums Tanzania Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ile mikokoteni ya kukokotwa na bodaboda tuliyoambiwa inatengenezwa kuzuia ajali iko wapi?

    Habari wadau! Moja kwa moja kwenye mada. Ile mikokoneni imeishia wapi? Tuliambiwa kuwa kuna jitihada zinafanywa na serikali za kuzuia ajali zinatokana na bodaboda kwa kuwatengenezea mikokoteni. Hivi karibuni tumesikia takwimu za vifo vilivyosababishwa na bodaboda zilizotolewa Bungeni, hii...
  7. JamiiForums Tanzania Mungu yupo wapi?

    MUNGU YUKO WAPI? Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia: 1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
  8. JamiiForums Tanzania Mwana JF Chige yupo wapi siku hizi?? More than a year now

    MALCOM LUMUMBA eti Chige yupo wapi siku hizi??
  9. JamiiForums Tanzania Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

    Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu. Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado, Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio...
  10. JamiiForums Tanzania Mpina yuko wapi?

    LUHAGA MPINA yuko wapi? tangu amezungumza na watanzania hotuba ya masaa 7 kuhusu mambo ya Kodi na kuibua madudu kila sekta hajaonekana hadharani hadi sasa Je yuko wapi?
  11. JamiiForums Tanzania Wale wa "No Fap" mliishia wapi..?

    Kwa wasioelewa maana ya no fap ni kukaa kwa muda fulani ambao wewe utajipangia bila kufanya tendo la ndoa ama namna yoyote ile yakukufanya utoe mbegu!. Sasa humu jukwaani watu walianzisha uzi wa no fap na wakaanza kuhesabiana!, ulianza kwa spidi lkn cha ajabu watu wamejilamba naona!, zoezi...
  12. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mchungaji Msigwa?

    Huyu Mch ameshakula pesa ya Samia. Sasa bili analipaje iwapo haongei?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

    https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu. Kweli muda unakimbia sana. Mshana Jr
  14. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Morogoro Mjini vs Ifakara Mjini

    Naomba kuuliza kati ya Morogoro Mjini na Ifakara wapi kuna fursa nyingi za biashara.?
  15. JamiiForums Tanzania Ni wapi wanafundisha mchezo wa ngumi (boxing) kwa hapa Iringa

    Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili, Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri...
  16. JamiiForums Tanzania Wapi wanatengeneza toroli or wanauza food carts kama hili

  17. JamiiForums Tanzania Tuombe Raila Odinga msaliti wa Gen Z abwagwe kwenye kinyang'anyiro cha mkuu wa African Union Commission chair kieleweke na tuone ataenda wapi

    Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) watapiga kura jumamosi kumchagua mwenyekiti wa Commission hii. Kwa wanaojua alivyosaliti mapinduzi yaliyolenga kumuondoa mwizi Ruto, Raila anakashifiwa na wakenya kwa kuwa msaliti na nyemelezi mkubwa. Tumuombee ashindwe ili ima kiumane au tuone atakwenda wapi baada...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

    Wako wapi wanawake wife material?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  20. JamiiForums Tanzania Tuoe Wapi?

    Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…