wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wale ambao zoezi hili la sensa halitawapitia kwa bahati mbaya waende wapi?

    Ninaamini pamoja na zoezi hili kupangwa vema na serekali yetu lakini bado nadhani wapo ambao zoezi hili litashindwa kuwagusa kutokana na pengine shughuli zao, aidha wengine kuwa single katika nyumba fulani au kwa namna yoyote ile kutokana na shughuli za kibinadamu, je watu hawa waelekee wapi...
  2. JamiiForums Tanzania Hapa ni Wapi?

    Tusaidiane. Hii barabara ni ya mji gani?? Tusaidiane jamani.
  3. JamiiForums Tanzania Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

    •••••••••• NB. Mdau unataja maeneo ya huko kwenu kuwa yanafanana na hapo juu, tatizo hautupii na kapicha kwa kumwaminisha Tomaso. • Usiseme Marangu, Lushoto, Bukoba, Kyera au sijui wapi huko, please tuwekee na picha wengine tupo serious tukaishi eneo hilo.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar wao wanaagiza mafuta wapi? Mbona wao mafuta aina yote ni 2000 na point?

    Jamani nilikuwa nasikiliza Leo habari asubuhi hii nikawa naskia Bei ya mafuta Zanzibar ni iko chini kuliko bara. Sasa hii si ni nchi moja? Kwa nini kuwe na utofauti? Au wao wanachimba mafuta?
  5. JamiiForums Tanzania Maji yakipwa huenda wapi?

    Kwetu hakuna bahari, ila kuna ziwa kubwa sana. Mara ya kwanza kufika mikoa ya Pwani nilishanga sana kuona bahari ikiwa kavu na maji yake yameondoka. Ndipo nilipoikumbuka stori ya moja wa mshujaa wetu aitwaye Ng'wana Malunde. Huyu mwamba baada ya kuwasumbua sana wakoloni, walimua kumkamata na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imepata wapi pesa ya ruzuku ya mafuta?

    Wakati wa mchakato wa rasimu iliibuka hoja ya serikali tatu, Dr. Shein akiwa rais wa Zanzibar wakati huo alikuwa miongoni mwa watu walipinga Kwa madai mapato ya Zanzibar ni kidogo hivyo isingemudu gharama za uendeshaji serikali ya muungano. Leo taarifa ya habari imetangaza hatua ya serikali ya...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfahamu Rigathi Gachagua majuzi tu - hivi alikuwa wapi?

    Mzuka wanajamvi! Huyu makamu wa Rais mtarajiwa wa Kenya Rigath Gachagua Mbona hakuwa anasikika na kujilikana kwa saanaa? Inaonekana ni mwanasiasa mkimya Sana na anafanya kazi na mambo yake kwa vitendo siyo blah blah blah. Mimi mara yangu ya kwanza kumfaham ni Ruto alipomchagua kuwa mgombea...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  9. JamiiForums Tanzania Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

    Huyu Bidada niliwahifika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi. Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips makalio n.k. Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa Unajua Binafsi huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa yuko wapi?

    Wakuu Salaam; Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana. Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini. Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani. Anayejua yuko wapi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania MAMVI tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona kimya?

    Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
  12. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata hii bidhaa ya kuvunja mawe

    Hello wapendwa nina kaprojet kangu ili nifanikishe nahitaji hii bidhaa inayoitwa DEXPAN ambayo inatumika kuvunja mawe au miamba migumu. Wapi naweza pata.
  13. JamiiForums Tanzania Utumishi mko wapi nane nane?.

    Hawa utumishi ndio ilikuwa fursa ya kutatua changamoto za vijana kwenye mfumo uombaji wa ajira kwa kanda zote kipindi hiki cha nane nane kupunguza usumbufu wanaopata vijana,cha ajabu tafuta huwaoni hasa kanda ya nyanda za juu kusini inayofanyika mbeya wenzenu karibia wote wapo. ninyi mnakwama wapi?
  14. JamiiForums Tanzania Wapi nitaipata wine bottle corker machine?

    Wakuu nawasalimu! Tafadhali kama unajua duka (Dar es salaam ama Dodoma) ambalo naweza kununua hii mashine ya kuzibia chupa za mvinyo (wine) ambayo kwa Kiingereza wanaiita 'wine bottle corker machine' (pichani) naomba unifahamishe. Nahitaji moja tu kwa ajili ya shughuli zangu nyumbani.
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango aendeleza marufuku ya lumbesa. Je, Viongozi wanakwama wapi kumaliza hili tatizo?

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amepiga marufuku ununuzi wa mazao ya wakulima kwa kutumia vipimo visivyokuwa rasmi ikiwemo ujazo ulizidi yaani lumbesa Alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizindua Maonesho ya Wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika viwanja vya John Mwakangale...
  16. JamiiForums Tanzania Napata wapi samaki aina ya kibua kwa mkoa wa Mwanza

    Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya. Tafadhali kama unajua wanakopatikana tusaidiane
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

    Kwa masikitiko makubwa niende moja kwa moja. Watanzania wengi hatuelewi na hatujapata bado ufafanuzi sababu zinazopelekea Vifurushi vya Internet kupanda mara kwa mara tena kwa ghafla miezi michache tokea Rais Samia achukie madaraka. Alianza kuupiga mwingi hadi tukawa tunajifia mitandao kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mamlaka ziko wapi? Waziri Makamba anavunja Sheria za nchi mchana kweupe

    Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria. Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wako wapi siku hizi?

  20. JamiiForums Tanzania Plato and ‘the republic’ tunakosea wapi?

    Philosophical arguments za kitabu cha Plato ‘the republic’ kimechangia sana civil services duniani kutengeneza watu sahihi na umuhimu wao kwenye kuongoza nchi indirectly. Tanzania inafuata hizo philosophy kwenye succession planning ya ascendency ya civil services. Kutoka kwenye work floor hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…