Naibu kamanda mkuu wa jeshi la Israel aangamizwa na wapalestina

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
7,165
12,382
Hii itakua habari mbaya kwa wayahudi weusi tayari huyu jamaa keshaliwa kichwa sahivi yupo kuzimu huko

Media coverage: "Maj. Bar Falah, 30, the deputy commander of the Israeli army's elite Nahal reconnaissance unit, who was killed last night in a shootout with Palestinian resistance fighters north of Jenin."

Prime Minister Yair Lapid, this morning:

"Maj. Bar Falah, a fighter and commander, the Deputy Commander of the Nahal Brigade Reconnaissance Unit, was killed overnight in a operation. There are no words to console his family, his partner and his friends for the loss of their loved one.

Bar was a dedicated soldier, who fought terror and led his troops until his last hour. The operation in which he was killed thwarted a major terrorist attack and saved lives.

We feel the pain of his loss together with you.

May Bar's memory be a blessing."
1663160565480.jpg

=====

Israeli officer, 2 Palestinian militants killed in shootout
The overnight incident was the latest in a string of deadly clashes in recent months in the northern West Bank, where Israeli troops conduct nightly raids. Most of that fighting, including Wednesday’s, has taken place near the city of Jenin, which is known as a bastion of Palestinian militants.

The military said soldiers spotted the two militants approaching Israel’s separation barrier in the northern West Bank and that it dispatched forces to the area. It said the two suspects began shooting automatic weapons at troops, who returned fire.

Story continues below advertisement
The Israeli army said that Maj. Bar Falah, 30, was killed in the shootout.

The official Palestinian news agency Wafa reported that the Israeli army was holding the bodies of the two men. It identified them as Ahmad Abed, 23, and Abd al-Rahman Abed, 22, both from a village near Jenin.

The Israeli military confirmed that Ahmad Abed was a member of the Palestinian Authority security services, which coordinate with Israel in an uneasy alliance against their common foe, the Hamas militant group.

Late Wednesday, Israeli authorities said they were temporarily closing a pair of crossings into Israel, including the checkpoint where the shooting took place. They said they were also suspending Israeli entry and work permits for all residents of the attackers’ hometown.

Story continues below advertisement
Hamas praised the attack, hailing the two gunmen as “heroic martyrs.”

In a phone briefing with reporters, Barbara Leaf, the U.S. assistant secretary of state for Near Eastern Affairs, said the security conditions in the West Bank “concern us greatly.”

She said the U.S. was working to maintain and strengthen security cooperation between Israel and the Palestinian Authority. She said that during a recent swing through the region, she also discussed ways to improve the Palestinian economy, saying this would also improve the security situation.

Israel has been carrying out nightly arrest raids in West Bank cities, towns and villages since a spate of attacks against Israelis in the spring killed 19 people.

Story continues below advertisement
Israeli fire has killed scores of Palestinians during that time, making it the deadliest year in the occupied territory since 2016.

The Israeli military says the vast majority of those killed were militants or stone-throwers who endangered the soldiers. But several civilians have also been killed during Israel’s monthslong operation, including a veteran journalist and a lawyer who apparently drove unwittingly into a battle zone. Local youths who took to the streets in response to the invasion of their neighborhoods have also been killed.

Israel says the arrest raids are meant to dismantle militant networks. The Palestinians say the operations are aimed at maintaining Israel’s 55-year military occupation of territories they want for an independent state.

Israel captured the West Bank, along with east Jerusalem and the Gaza Strip, in the 1967 Mideast war and the Palestinians seek those territories for a future state.
 
5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,266
Napongeza juhudi za nchi iitwayo Palestine maana kabla hakukua na nchi iitwayo Israel ni utemi wa mayahudi tu kudai wana taifa la Israel
 
MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
881
Hii itakua habari mbaya kwa wayahudi weusi tayari huyu jamaa keshaliwa kichwa sahivi yupo kuzimu huko

Media coverage: "Maj. Bar Falah, 30, the deputy commander of the Israeli army's elite Nahal reconnaissance unit, who was killed last night in a shootout with Palestinian resistance fighters north of Jenin."

Prime Minister Yair Lapid, this morning:

"Maj. Bar Falah, a fighter and commander, the Deputy Commander of the Nahal Brigade Reconnaissance Unit, was killed overnight in a operation. There are no words to console his family, his partner and his friends for the loss of their loved one.

Bar was a dedicated soldier, who fought terror and led his troops until his last hour. The operation in which he was killed thwarted a major terrorist attack and saved lives.

We feel the pain of his loss together with you.

May Bar's memory be a blessing."

View attachment 2356697 View attachment 2356698
Ni habari nzuri kwa Waaranu weusi kama wewe.
 
SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
1,962
1,012
Hii itakua habari mbaya kwa wayahudi weusi tayari huyu jamaa keshaliwa kichwa sahivi yupo kuzimu huko
Inahusiana vipi na Wayahudi weusi?
Media coverage: "Maj. Bar Falah, 30, the deputy commander of the Israeli army's elite Nahal reconnaissance unit, who was killed last night in a shootout with Palestinian resistance fighters north of Jenin."

Prime Minister Yair Lapid, this morning:

"Maj. Bar Falah, a fighter and commander, the Deputy Commander of the Nahal Brigade Reconnaissance Unit, was killed overnight in a operation. There are no words to console his family, his partner and his friends for the loss of their loved one.

Bar was a dedicated soldier, who fought terror and led his troops until his last hour. The operation in which he was killed thwarted a major terrorist attack and saved lives.

We feel the pain of his loss together with you.

May Bar's memory be a blessing."

View attachment 2356697 View attachment 2356698
 
kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
7,165
12,382
Ndo lile taifa wanalojinasibu ni la mungu mara eti wao ndo binadamu pekee waloteuliwa na mungu na ndo taifa la mungu mataifa mengine yalobaki eti ni ya mashetani leo naibu kamanda wa Jeshi amefyekwa kizembe na machokora wa kipalestina ambao hata mawe hawajui kurusha vizuri hii ni aibu ya karne

Taifa linalojinasibu kwamba eti ni jeshi lisiloshindwa eti jeshi bora duniani kumbe jeshi la mchongo tu hili kamanda wao kauliwa kizembezembe mno ingetokea kwa Iran humu nyuzi zingejaa ile black jews wamejikausha kama sio wao yaani

Taifa teule la mchongo, utasikia story israel ndo inaincontrol duniaIsrael ipi hiyo labda ya huku buza, basi wanalikuza wakati halina maajabu, Taifa ambalo liliapa kuwafuta wanamgambo vitoto vya Hamas ambavyo hata 3000 havifiki hadi ni miaka 20 hamas inaendelea kuwepo na kuwatoa kamasi hawa wajiitao watoto wa Mungu

Leo kamanda wao kafyekwa kizembe mno inaonekana intelligence ya Israel ni tofauti na tunavyoaminishwa na vijarida vya national interest

Kamanda wao amefyekwa kilaini kabisa wamebaki wakilia lia tu kwa kulaani, wangekua ni wanajeshi wa kawaida au raia wao wameuawa basi wangeficha kama kawaida, hili la kamanda limewabana wakaona watasema nini kwa umma asipoonekana

Basi utaskia broo wayahudi ndo wanaicontrol dunia,watakutajia nchi kubwa au zilizostawi kiuchumi watasema kuwa wayahudi ndo wamefanya hizo nchi ziendelee story za vijiweni utaskia putin ni myahudi sijui biden ni myahudi mara obama ni myahudi mara Trump ni myahudi, kisa tu huyo mtu ana umaarufu au nchi husika imestawi basi watasema eti ni mayahudi wameleta maendeleo hapo

Ingekua wachina, wakorea, na wajapan wasingekua na muonekano ule basi tayari tungekwisha ambiwa kuwa Xi jinping ni myahudi, kim jon UN ni myahudi, miaka hii wameona maendeleo ya tech ya Iran wakaanza sema mara oooh ayatolah na jeshi la iran ni wayahudi ndo wana nguvu vile yaani unaweza shangaa mfano Tz iibuke ghafla taifa kubwa lenye ustawi na uchumi duniani basi watu humu wangeanza kusema Tz imeendelea kwasababu mama SSH ni myahudi..

Hizo ndo akili za wayahudi weusi wakiwa vijiweni wanavyojidanganya ukweli hakuna cha myahudi wala cha nani binadamu wote ni sawa, Mungu aliwaumba watu wote sawa.

Leo naibu kamanda wa jeshi linalojitapa ni teule amefyekwa kilaini na watoto wadogo wa kipalestine ambao hata mawe hawajui kurusha vizuri hii ni aibu kwa kanchi kanakotishia eti kataivamia Iran au kuwafuta Hezbollah na Hamas

Amelala yooo

1663160561873.jpg
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
34,256
61,174

View attachment 2357057
wewe ni wa dini ile
 
bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
695
1,076
Kabla ya yote si unajua mlinganyo wa thamani ya uhai wa myahudi mmoja na watu wa mataifa!

Nilisikiaga 1 = 1000

Sasa apo sipati picha watakavyo ubalance huo mlinganyo ili umake sense, maana wameuwa general, sijui watabalance vipi, wayahudi sio watu wazuri..
 
ricostersundi

JF-Expert Member
Feb 15, 2017
324
385
Kabla ya yote si unajua mlinganyo wa thamani ya uhai wa myahudi mmoja na watu wa mataifa!

Nilisikiaga 1 = 1000

Sasa apo sipati picha watakavyo ubalance huo mlinganyo ili umake sense, maana wameuwa general, sijui watabalance vipi, wayahudi sio watu wazuri..
Hao ni wayahudi wa mchongo.msitutishe sana.ufirauñi mkuu upo Israel Sasa hao na Mungu wapi na wapi
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom