Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama...
Makundi ya wapalestina wakiwemo Hamas wamesikitishw sana na matamshi ya mzee Mahmoud Abbas ambapo alitukana matusi mabaya na kwa kujisahau katika kazi zake.
Bila kumrudishia matusi wapalestina hao wamemkumbusha kuwa jukumu la kupigania uhurua wao halitobadilika kwa vile tu wanauliwa sana au...
Serikali mpya ya Syria imeamua kuwatumia PIJ kikundi cha Kigaidi kilichokuwa kinafanya Shughuli zake nchini humo sasa, waende Iraq na Iran na huko walete laana
https://x.com/xumas_iq/status/1914553355235471450
Chanzo chake ni hivi
Wakati mapinduzi ya Syria yaanaza, Hamas na Wapalestina wengi...
Mamia kadhaa zaidi ya watu wa Gaza wamehamia ughaibuni kimya kimya wengi wao wameenda Indonesia 🇮🇩
Israel inafanya kila iwezalo kuwezesha maono ya Rais Trump kuhusu Gaza kuna wajinga wengine wanasema hilo haliwezekani wakati sasa hivi linatekelezwa!!
Nchi zilizochukua wahamiaji wa hivi...
Hii ni hotuba ya Sheikh wa Palestina Issam Amira akihutubia katika Msikiti wa Al-Aqsa.
Hotuba hiyo ilipata ukosoaji na shutuma nyingi katika ulimwengu wa Kiarabu kwa sababu ukweli unauma... lakini ukweli ni mmoja tu na lazima wakabiliane na ukweli kila mahali- Wapalestina hawana haki ya...
Kasi ya kuuliwa wapalestina na kuvunjiwa utu wao imeongezeka sana huko Gaza.
Kazi hiyo kwa sasa imekuwa nyepesi kwa mayahudi kuifanya kwani Hamas ambao ndio waliokuwa watetezi wamedhoofika sana.Sambamba na hali hiyo ule mori wa kuua na kuharibu umeongezeka kwa Israel kama inavyokuwa kwa mtu...
Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu
Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe!
Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu
Je, haoni...
Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed...
Huko Marekani kama wewe ni mgeni ukiunga mkono Hamas au Wapalestina hadharani dola inakutia nyavuni na kukurudisha kwenu.
Kuna video mojawapo ya ikimuoneysha mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Rumeysa Ozturk kutoka Uturuki anayesoma chuo kikuu cha Tufts ikionyesha maafisa uhamiaji(ICE)...
Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa wiki sita yalianza kutekelezwa Januari, lakini Israeli ilianzisha tena mashambulizi yake wiki iliyopita, ambapo mamia ya Wapalestina wameuawa tangu wakati huo.
Wizara ya Afya ya Gaza imeripoti kuwa idadi ya Wapalestina waliouawa kwenye vita vinavyoendelea...
Katika muktadha wa mgogoro unaoendelea Mashariki ya Kati, hasa kati ya Israeli na Palestina, suala la ulinzi wa raia limekuwa muhimu sana. Ili kuepusha vifo na madhara zaidi kwa watu wasio na hatia, mpango wa kuwahamisha kwa muda Wapalestina kutoka maeneo yenye vita unapaswa kuungwa mkono kama...
Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================
Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready...
IDF imedondosha vipeperushi mashariki mwa Shajaiyah (kaskazini mwa Gaza), ikiwataka wakaazi kuhama:
"Uko katika eneo hatari la mapigano Ondoka mara moja na ukae mbali iwezekanavyo."
Kuna tetesi ambazo USA wanataka kuwaondoa wapalestina kutoka gaza lakini kwa jicho la mbali kama nchi ambazo zilikuwa bega kwa bega zijaonesha nia ya kuwa nao mfano iran.
Hapa kwetu tumejaa na watawala wenye kupenda pesa na mali wanaweza kukubali na kwa nini wakasema afrika mashariki au...
Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.
according to AP, D.Trump na Israeli wana mpango wa ku clear gaza na kuwahamishia wapalestina somalia, somali land na sudan.
gaza kugeuzwa kuwa “riviela of the middle east” …
Wadau hamjamboni nyote
Taarifa mpya kabisa juhudi zaendelea kutekeleza mpango wa Marekani kuhamisha Wapalestina kutoka gaza
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Advertisement
Israel and US said in contact with Sudan, Somalia about resettling Gazans
Officials say approaches also made to...
Video za Wanaojiita Wapalestina zinasikitisha full Taqiyya yaai unasikiliza unaishia kucheka.. vijana hadi wazee so hawa jamaa nadhani wana chuki za Asili sababu ya wizi wa ardhi...
https://www.youtube.com/watch?v=YHROSSEMzmY
https://www.youtube.com/watch?v=Rx6yIeqvh8o...
Wadau hamjamboni nyote?
Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
February 23, 2025
Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’
Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.