wapalestina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Israel afanya sala katika eneo takatifu la al-Aqsa. Awaudhi Wapalestina

    Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir ametembelea eneo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem na kusali huko, na kukiuka mpango wa miongo kadhaa unaohusu mojawapo ya maeneo nyeti zaidi katika Mashariki ya Kati. Picha na video za ziara yake zinaonyesha Ben-Gvir akiongoza maombi ya Kiyahudi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Nani anahusika na mateso ya Wapalestina huko Gaza?

    Tunafahamu ukweli kwamba kuna nchi barani Ulaya leo zenye idadi kubwa ya wahamiaji wa kiislamu Wakati mwingine, inaathiri sera za serikali zao kwa kuwakaribisha wahuni hao. Lakini hii haiwezi na haitaongoza Israeli kufanya maamzi ya kupelekeshwa na maamzi ya nchi zikiwa pokera waislamu kisha...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dunia Nzima imeshindwa Kuwasaidia Wapalestina wa Kawaida Wasiendelee Kufa Pamoja na Magaidi ya Hamas?

    Sasa ni zaidi ya mwaka, operation ya kijeshi ya Israel kuwaangamiza magaidi ya Hamas inaendelea, huku tayari wapalestina zaidi ya 57,000 wakiwa wameuawa, na wengi wakitajwa kuwa ni wananchi wa kawaida. Magaidi ya Hamas, ili kuhakikisha hawauawi kiurahisi, muda wote wamekuwa wakijificha katikati...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwanakandarasi wa misaada Gaza aambia BBC aliona wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina

    Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Israel katika soko la Gaza laua Wapalestina 18, madaktari wanasema

    Takriban Wapalestina 18 wameuawa baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kulenga kitengo cha polisi cha Hamas kilichojaribu kudhibiti soko katika mji wa Deir al-Balah katikati mwa Gaza, madaktari wameiambia BBC. Walioshuhudia tukio hilo walisema ndege zisizo na rubani za Israel...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Polisi watano wa Hamas waliokuwa wanawafyatulia risasi wapalestina waliokuwa wanakwenda kuchukua chakula wameuawa kwa kupigwa risasi.

    Polisi wa magaidi wa Hamas waliokuwa wanawazuia watu kwenda kwenye vituo vya kugawia chakula wameuwawa baada ya kulengwa na majeshi ya Israel walipokuwa wakiwazuia raia wasichukue chakula ili kudhoofisha juhudi mpya za ugawaji misaada kwa raia wa Gaza ambao hautawahusisha magaidi wa Hamas moja...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kama Ufaransa Ina huruma na wapalestina basi iwape eneo la Riviera waishi huko - Mike Huckabee

    Balozi wa Marekani nchini Israel Mike Huckabee anasema "haifai" kwa Ufaransa, au mtu mwingine yeyote, kulazimisha "taifa la Palestina" kwa wakati huu ambapo Israel watu wake 1,200 waliuwawa na wengine kutekwa nyara na magaidi wa Hamas Aliongeza kuwa ikiwa Wafaransa wana huruma sana juu ya...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Silaha kuu ya Wapalestina na waarabu dhidi ya Israel ni UONGO!!!!!!

    Waarabu Wanaendelea kufanya Maigizo Wanaonyesha video au taswira ya mtoto MMOJA aliye na ugonjwa wa Genetic ambao kwa kawaida huenea kwa watu walio na uzao wa uzazi mmoja au uko mmoja kama vile Cystic Fibrosis, na wanasema "ana njaa kwa sababu ya Wayahudi" kuzuia chakula huko Gaza wakati siyo...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania VIDEO-Askari wa Israel wakiwapa maji Wapalestina

    Video kama hii Aljazeera hawawezi kuionyesha maana itawaumbua unafiki wao!!!
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wapalestina milioni 1 kuhamishiwa Libya permanently

    Wadau hamjamboni nyote? The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people with knowledge of the matter. The plan is under serious enough consideration that the US has...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi hatimaye wapalestina waanza kuondoka Gaza kwa hiari!!

    Ndege kutoka Abu Dhabi ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Ramon huko Eilat Israel kuchukua Wagaza 600 kama sehemu ya mradi wa uhamiaji wa hiari. Gaza wanatakiwa wabakie Magaidi tu ili wafyekwe vizuri!!
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi magaidi ni nani kati ya wale wanaomshabikia gaidi Netanyahu na wale wanaowatetea wapalestina?

    Huwa nasoma na kuchanganyikiwa. Watu wamegeuka mazwazwa hadi kushabikia uovu na uuaji! Japo siyo shabiki wa siasa za mashariki ya kati kwa sababu ni mambo yao, kinachoendelea Palestina kinaudhi na kuigeuza dunia sehemu ya wanyama. Mataifa yanayojifanya kupigania na kulinda haki za binadamu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Amani itapatikana Mashariki ya Kati kwa Wapalestina kukiri Israel ni Familia teule, takatifu yenye baraka zote za Mungu wao aliye wa kweli

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Niliuliza jina la mfalme wa Palestina kabla ya 1948, hakuna alieweza ! Naongeza dau milioni 2 mtaje himaya ya wapalestina iliyokuwepo kabla ya 1948

    Niliweka humu uzi wa kugawa milioni 1 ikiwa kuna mtu atataja hata kiongozi mmoja tu wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa palestina (kama ilikuwepo) hakuna hata moja kaweza Watu waliojaribu kwa mbali wamemtaja “Haj Amin al-Husayni” Hata hivyo huyu hakuwa kiongozi wa kitaifa wa Palestina...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya amnesty international: Israel inafanya mauaji kwa wapalestina

    Wanaukumbi. NNA - Katibu Mkuu wa Amnesty International Agnes Callamard alithibitisha Jumanne kwamba vikosi vya Israel vinafanya mauaji ya halaiki kwenye televisheni ya moja kwa moja katika Ukanda wa Gaza. Callamar aliongeza katika ripoti yake: "Amnesty International imeandika mauaji ya halaiki...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Zaidi ya wapalestina 36,000 watimkia Ughaibuni kimya kimya!!

    BREAKING: Takriban watu 36,000 wa Gaza wameukimbia utawala wa Hamas tangu vita vilipoanza - wakiepuka kuingia wa kwenye ugaidi, machafuko, na kukata tamaa. Hamas wanajaribu sana kuwazuia wasitoke Gaza kwa sababu inaamini bila kuwafanya raia kuwa kinga basi Itak osa umaarufu na Inaweza...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ni watetezi wa wapalestina ila wanafurahi kupigwa Kwa wanachadema!

    Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu. Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wamtaka Mahmoud Abbas aombe radhi kwa matusi yake na kujisahau

    Makundi ya wapalestina wakiwemo Hamas wamesikitishw sana na matamshi ya mzee Mahmoud Abbas ambapo alitukana matusi mabaya na kwa kujisahau katika kazi zake. Bila kumrudishia matusi wapalestina hao wamemkumbusha kuwa jukumu la kupigania uhurua wao halitobadilika kwa vile tu wanauliwa sana au...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Wapalestina ni Jaribu kubwa sana, Syria yaanza Kuwatimua baadhi yao

    Serikali mpya ya Syria imeamua kuwatumia PIJ kikundi cha Kigaidi kilichokuwa kinafanya Shughuli zake nchini humo sasa, waende Iraq na Iran na huko walete laana https://x.com/xumas_iq/status/1914553355235471450 Chanzo chake ni hivi Wakati mapinduzi ya Syria yaanaza, Hamas na Wapalestina wengi...
Back
Top Bottom