Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).
DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma.
Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi.
Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu.
Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo
Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili,
Je Rais WENU you salama kiasi Gani?
Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani?
Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza.
Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania.
10. LITI KIDANKA.
Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka leo hii fuvu la...
Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn
Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala,
Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
Katika zama hizi za mitandao, kuna kundi la watu wengi wamejigeuza kuwa mabingwa wa kutoa motisha. Huko TikTok, Facebook, YouTube kila kona zimefurika na wasemaji wanaotaka kuwashawishi wengine kwa nguvu, lakini wamekosa adabu moja ya msingi: kusikiliza.
Leo, mtu anaweza kukushambulia kwa muda...
Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche...
Magaidi wa Hezbollah na wafuasi wao wanasherehekea kote Lebanon kuanza kwa usitishaji vita wanazodai kuwa walishinda na kuanza kwa watu waliokimbia makazi yao kurejea katika maeneo yao - huko Dahieh, Beirut na kusini mwa Lebanon.
Vizuizi vya zege kutoka kwa viingilio vya vitongoji vya kusini...
1 WAKORINTO 6
1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu?
2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo?
3 Hamjui ya kuwa...
Bishop George John ameongea hayo katika mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na kutoa onyo kwa watu wanaaomba Rais afe kwani kitu kama hicho hakiwezi kutokea, na badala yake watakufa wao.
Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani.
Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu
Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
Hiyo ni taarifa ya Muda huuIran’s foreign ministry says the US operation to rescue a downed airman may have been a cover to “steal enriched uranium” from the country.
.
Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baqaei said there were “many questions and uncertainties” about the operation.
Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao?
Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
Hii ni Siri lakini ndo ukweli
Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita.
Sasa hii furaha zaidi Kwa majeshi yenye uwezo kama Marekani mjeda anatamani hata kutoa chochote apangwe vitani.
Sio madili ya...
Shauri la Simba SC dhidi ya Damaro na Yanga SC limesikilizwa Aprili 2, 2026 katika Ofisi za TFF, Karume Ilala Jijini Dar es Salaam, ambapo Mwanasheria wa Klabu ya Simba, HOSEA CHAMBA amesema, Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS Kama tusiporidhishwa
Sakata la SIMBA...
Betting Codes
Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
boti
code
hivyo
kabla
kamari
kampuni
kichwa
kujiunga
kumbuka
kupitia
kuwa makini
lazima
links
maarufu
makampuni
makini
mikeka
mitandaoni
mkeka
mmoja
moja
pesa
referral
tahadhari
upande
wakubwa
wao
wengi
zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.