Msimu wa sikukuu ndio kipindi cha watu kupata mapato mengi ukilinganisha na miezi mingine.
1 Huduma za Usafiri na sheli.
2. Masokoni, minadani, maduka makubwa na wauza nguo.
3. Wauza vileo, kumbi za starehe, Wasanii(Hapana wafanye kazi kwanza) na wauzaji wa vyakula vizuri.
Kama hujatunza Pesa...