Nimecheka sana uvccm wanavijana hawawezi tamka petition wanataka petrol station?
Sasa mkitaka Kuona vioja na mcheke mfe yule bint ni mdaiwa sugu wa mikopo ya asilimia kumi wilaya ya dovya;😂🤣😂🤣😂🤣
Elimu ni maendeleo, wanafunzi 6.459 waneemeka na mikopo ya kujiendeleza kielimu katika vyuo
Pia kuna bodi kubwa ya muungano HESLB, hutoa mikopo kwa wanafunzi pande zote za muungano ingawa asilimia kubwa huwa ni wanafunzi wa Bara.
Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi?
Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi?
Uzi tayari.
Karibuni kwa majibu.
Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema:
Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi...
Nilikuwa mahali fulani nikiangalia namna mambo yanavyokwenda. Sikuamini macho yangu kushuhudia ama pikipiki au Baiskeli zenye chata ya CCM zikikatiza kika baada ya dakika 5. Nikawaza Wanufaika wa pikipiki na Baiskeli za CCM wanatosha kabisa kuirudisha Madarakani! Kura za watu wengine zitakuwa...
A matter above is concerned,
Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida.
Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba.
Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
Habarini za wakati huu wanajukwaa.
Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu
Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B.
Mfano mhudumu A atakuambia taarifa zako zinafanyiwa kazi piga wiki ijayo na wiki ijayo ukipiga simu anatokea mpuuzi mmoja sijui...
Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu...
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuandaa kanzidata za wanafunzi waliohitimu Vyuo Vikuu waliotoka Kaya za walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambao ni wanufaika na mikopo ya elimu ya juu kwa...
Ukiangalia hiyo chart hapo juu utaona zaidi ya Egypt hakuna nchi nyingine ya Africa iliyonufaika missada ya US kupitia USAID kama nchi za mabara mengine mfanonUlaya.
Lakini toka rais Trump asaini executive order ya kusitisha USAID. Watu mbali mbali wamekuwa wakitoa malalamiko na kuitolea mfano...
Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20.
Kuangaziwa kwa misaada ya nje ya Marekani kumeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku nchi hiyo...
Wakuu Mchungaji Mtikila aliwahi kuzungumza jambo zito sana miaka 12 nyuma leo Athari yake tunaiona ndani ya Ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa hakika yajayo yanafikirisha sana JWTZ,TISS,MIGRATAION na PT lindeni Kitabu chetu kwa Wivu na Upendo Mkubwa Mnoo.
Je sisi ni raia wa Marekani ?
Je tunalipa kodi au tozo Marekani?
Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ?
Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada.
Nadhani Africa tumepewa...
Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509
Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2024/2025. Awamu hii ya...
Habari.
Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated.
CHANZO CHA TATIZO
Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), umewezesha walengwa wa mfuko huo kutumia ruzuku wanayopata kushiriki kilimo, hali ambayo imekuwa ikiwaongezea kipato na kuwa na uhakika wa chakula.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Shadrack Mziray wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Habari,
Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma.
Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
Anonymous
Thread
changamoto
elimu
haki
sekondari
shule
shule za sekondari
tanzania
ufundi
wahandisi
wanafunzi
wanufaika
Habari JF , Kiuhalisia matibabu ni gharama sana na tukisema pesa tunazochangia zigharamie kila kitu Changamoto zinazojitokeza katika matibabu tunayopata hazita kwisha .
Kuna kitu kinaitwa pesa ya kumuona Daktari au consultation fee , hii pesa inayolipwa kwa ajili ya kumuona Daktari haijalishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.