wanne

Wanne-Eickel Hauptbahnhof is a railway station in the former city of Wanne-Eickel, now part of Herne in western Germany.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shida iliyopata Israel kuokoa mateka wanne hawatajaribu tena. Ndio imewatia nguvu Hamas na raia wa kawaida kupambana zaidi

    Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa msaada wa Marekani mateka wanne waokolewa,wanne wafa katika purukushani za uokoaji pamoja na raia 274

    Israel inaposhangilia kuokolewa kwa mateka 4 huku 4 wengine wakishindikana na kufa pamoja na raia 274 ni tangazo la kusema vita dhidi ya Hamas ni vigumu mno. Mateka hao wamepatikana kwa msaada wa askari wa Marekani waliopo Gaza na wenzao wa kiyahudi waliojifanya kama wahamiaji kutoka Rafah...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

    Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel. Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mapacha wanne waliozaliwa siku moja watimiza miaka 83 ya kuzaliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Mapacha wanne Leo wanasherehekea kutimiza miaka 83 ya kuzaliwa kwao Ujumbe wao: we are quadruplets, today we turned 83, we are waiting for congratulations from you 🥹🎂
  5. JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi kuipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne kwenye mafuriko Moshi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameahidi kutoa shilingi Milioni tano familia iliyopoteza watu wanne ambao walifari Dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na kifusi baada ya mvua kubwa Iliyonyesha usiku wa April 25 Mwaka huu . Mvua hiyo ambayo ilileta uharibifu...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Maprofesa kumi na wanne wa Israeli walitunukiwa tuzo za juu za utafiti wa EU

    Watafiti kumi na wanne kutoka vyuo vikuu vya Israel wametunukiwa tuzo za Hali ya Juu na Baraza la Utafiti la Ulaya (ERC), ilitangazwa Alhamisi. Tuzo za utafiti zinazofadhiliwa na EU kila moja ina thamani ya takriban euro milioni 2.5 (dola milioni 2.68), iliyotolewa kwa miaka mitano, na euro...
  7. JamiiForums Tanzania Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

    Habarini humu wandugu,, Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani. Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40. Hii imeibua wasiwasi kuhusu matumizi ya pombe kali na vinywaji vya kusisimua...
  9. JamiiForums Tanzania Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne

    Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa. Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu. Mshahara wa January sijapewa na wa huu...
  10. JamiiForums Tanzania Four Muslim students are said to have called for the introduction of strict Islamic rules at the school - including gender segregation in lessons

    Wamehamia kwenye nchi ya watu na kutaka kuanza kulazimisha matambiko ya dini yao. ========= Four Muslim students are said to have called for the introduction of strict Islamic rules at the school - including gender segregation in lessons. The police are investigating. NRW Interior Minister...
  11. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa Kipindupindu waibukia Bukoba, watu wanne walazwa

    BUKOBA, Kagera: Watu wanne wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya Bukoba Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu. Mkuu wa Wilaya Bukoba, Erasto Sima amesema hadi kufikia January 8, 2024 tayari wamepokea wagonjwa wanne ambao wameonesha viashiria vya...
  12. JamiiForums Tanzania Wanne wakamatwa kwa kutengeneza Pombe Kali 'Feki' Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: IDF wameua makamanda wanne wa HAMAS, wamesalia watatu ambao wameamrishwa wajisalimishe

    Hawa hapa wameshawahishwa kwa mabikira.... The IDF has successfully targeted four out of seven senior Hamas brigade commanders, the Israeli military's Arabic spokesperson Avichay Adraee wrote Thursday on X. "The IDF continued to dismantle Hamas's Gaza brigades," Adraee wrote...
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wanne wa Hebollah wauawa na IDF, pia wanajeshi wa Lebanon wapigwa

    Israel imeshaonya Hezbolla, wakiendelea na uchokozi watasababisha huko walipo pia kufanywe shamba.... Three Lebanese soldiers were lightly injured Friday by Israeli shelling in southern Lebanon, medical sources said, while the Lebanese army reported no casualties in a second attack on a...
  15. JamiiForums Tanzania Wanamibia wang'aka baada ya watoto wanne wa Rais kujumuishwa kwenye ujumbe wa Serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa COP28

    Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28. Walikuwa miongoni mwa watu sita kutoka familia ya rais iliyoorodheshwa kama sehemu ya ujumbe wa Namibia huko Dubai. Ofisi ya Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Wanne wafariki dunia ajali ya Hiace

    Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya gari dogo la abiria aina ya hiece lenye usajili namba T339 DBV lililokuwa lilitoka Izibya kwenda Bukoba mjini mkoani Kagera kupata ajali eneo la Kyetema. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera ACP Brasius Chatanda amesema kuwa ajali...
  17. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu DRC: Wapinzani Waungana Nyuma ya Moise Katumbi Ili Kumng'oa Rais Felix Tshisekedi

    Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi huo. Hatua hiyo inafanya wagombe waliosalia kuwa 21 mbapo wote wanawania nafasi...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili Chadema hadi ikaomba poo,ni Makonda,Nchimbi,Happi na Sabaya.

    Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza. Hatimae yametimia,upele umepata...
  19. JamiiForums Tanzania Wagonjwa Wanne waliopandikizwa Figo Hospitali ya Mloganzila waruhusiwa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa mara nyingine kwa mafaniko makubwa kwa kushirikiana na Korea International Foundational for Health Care na Africa Future Foundation imefanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne ambao figo zao zimeshindwa kufanya kazi. Upandikizaji huo ni wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Mlango Wao kila Mtu anapita kwakuwa naturally Unapitika kwanini wakipita Wanne wenye Njaa anaweza Kufa au Kuzimia?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kuelimika zaidi kutoka Kwenu Wepenyaji wa Milangoni ( kama GENTAMYCINE ) na Wamiliki hasa na Milango yenyewe husika ambayo Kiasili inasemeka huwa inapitika muda Wowote na kwa Mzigo wa aina yoyote ile.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…