Uchaguzi Mkuu DRC: Wapinzani Waungana Nyuma ya Moise Katumbi Ili Kumng'oa Rais Felix Tshisekedi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi huo.

Hatua hiyo inafanya wagombe waliosalia kuwa 21 mbapo wote wanawania nafasi inayotetewa na Rais Felix Tshisekedi anayewania Awamu ya Pili. Wagombea ambao wameshajitoa ni Delly Sesanga, Matata Ponyo, Seth Kikuni na Franck Diongo.

Kampeni zilianza wiki mbili zilizopita na zinatarajiwa kumalizika Desemba 18, 2023, siku mbili kabla ya kufanyika kwa uchaguzi, ripoti zinaeleza Watu 6 wameuawa wakati wa kampeni kutokana na matukio ya vurugu.

===============

Fourth DR Congo candidate backs ex-governor for president

A fourth candidate has dropped out of the presidential campaign in the Democratic Republic of Congo to support former governor and opposition candidate Moïse Katumbi.

With the withdrawal of Delly Sesanga - a lawyer and MP from Kasai-Central province - there are now 21 opposition candidates running for the top job.

They will be competing against the incumbent President Felix Tshisekedi, who is vying for a second term in office.

Mr Sesanga’s withdrawal is seen as boosting opposition unity after former prime minister Matata Ponyo and two other candidates, Seth Kikuni and Franck Diongo, earlier endorsed Mr Katumbi.

“I have decided in the spirit of national unity to combine our forces to support the candidacy of Moise Katumbi,” he said on Sunday, while calling for his supporters to vote for him.

There had been discussions in the South African capital Pretoria with the aim of choosing one opposition candidate to face Mr Tshisekedi, which ended on 17 November without reaching a deal.

Campaigns for the elections started two weeks ago and end on 18 December – two days before the 20 December elections.

The campaign period has already witnessed deaths, with six killed in a stampede on Saturday at Mr Tshisekedi’s campaign rally in Mbanza-Ngungu city in the west.

Earlier on Tuesday, a supporter of Mr Katumbi was killed at a rally amid clashes with supporters of the ruling party in the eastern Maniema province.

Source: BBC
 
  • Thanks
Reactions: 365
Wakati uchaguzi wa DRC Ukikaribia hapo disemba 20,Wagombea wa upinzani wamevamia kuunganisha Nguvu na kuwa nyuma ya Gavana wa zamani wa Jimbo la Katanga na mmiliki wa klabu ya TP Mazembe Moise Katumbi Ili kupambana na Rais Felix Tshisekedi ambae anamaliza muhula wake wa kwanza.

Bwana Katumbi ambae ni Tajiri wa migodi na hasimu Mkuu wa Tshisekedi amekuwa akimshutumu kwamba ameshindwa kuongoza Nchi.

View: https://www.instagram.com/p/C0eCyh0N_Ub/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Itakuwa ni ujinga wa Karne Kwa Watu wa DRC kumchagua Katumbi ambae ni kibaraka wa Wazungu ambapo mojawapo wa Wazazi wake ni raia wa Ubelgiji.

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1731633756471976424?t=azxmf7E-jghDg58CmH5nxQ&s=19
 
Hujui nguvu ya mpira wewe, wajinga zaidi wapo nchini kwako wanaowashabikia GSM na Mo Dewji kwa sababu wanamwaga pesa kwenye timu zao wakati ni majizi tu ya uchumi.
 
Hujui nguvu ya mpira wewe, wajinga zaidi wapo nchini kwako wanaowashabikia GSM na Mo Dewji kwa sababu wanamwaga pesa kwenye timu zao wakati ni majizi tu ya uchumi.
Kuna pia wale wajinga ambao wanashabikia Kibaraka wa Wazungu na raia wa Ubelgiji ambae family yake yote inaishi Nje ya Nchi bwana Tundu Lisu wa Chadema.

Hao ni zaidi ya wajinga wanaoitwa manyumbu 😂😂
 
Kuna pia wale wajinga ambao wanashabikia Kibaraka wa Wazungu na raia wa Ubelgiji ambae family yake yote inaishi Nje ya Nchi bwana Tundu Lisu wa Chadema.

Hao ni zaidi ya wajinga wanaoitwa manyumbu 😂😂
Wajinga na wapunbavu ni wewe na mamako ambao mnamshabikia Samia ambaye watoto wake na wajomba zake wako Dubai huku yeye akiuza mali za Tanganyika kwa dpworld wakati nyie wapumbavu mkishangilia akili kama nguruwe hata mavi yake anakula, foolish to the highest order.
 
Abdul anaishi Oman? Nenda Mbweni na Zanzibar utaikuta familia ya Samia.

Huko kwingine labda Kuna wajomba Kwa sababu ya origin.

Lisu ana origin ya Ulaya?

Hivi unajua sababu iliyompeleka Lissu Ubelgiji?. Tusiongee kujifurahisha.
 
Back
Top Bottom