wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushamba wangu.

    Leo katika pita pita zangu natoka Brooklyn Napenda Menlyn Nimeona Shule ya Mbwa. This is extremely fantastic... dogii nae Ana shule!! 😂😂😂
  2. JamiiForums Tanzania Sijaelewa sababu ya JF kuondoa uzi wangu Kuhusu Utapeli wa Maimartha Umeondolewa

    Na uthibitisho nmeweka. Huwa JF kuna baadhi ya watu sijui kwa nini wanalindwa. Uzi wangu nmeweka na uthibitisho lakini naona kama kuna mambo yamefanyika umeondolewa. Ila uzi zikiwa zinawasema watu flani huwa zinadumu sana humu ndani. Tujue basi list ya watu ambao hawatakiwi kuguswa
  3. JamiiForums Tanzania Mkoa wangu wa Kagera tunakwama wapi?

    Wakuu mambo vipi? Mimi ni mzaliwa wa Wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera, Kijiji cha Rusinga! Pia Nsunga ni kwetu. Nimekulia mkoa wa Kilimanjaro so Naifahamu Kagera vizuri na Naifahamu Kilimanjaro vizuri sana. Hoja yangu naileta kutokana na Spika Ndugai jana kutuzodoa wana Kagera kuwa hatuna...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

    Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia. Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
  5. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana uke mkubwa ila bado nampenda

    Nimemkuta huyu mpenzi wangu akiwa na mtoto mmoja na sasa ni kipindi cha miaka saba sasa. Cha ajabu tulitumia miaka mitatu tulikuwa tunafanya kila kitu lakini aligoma kabisa kusex na mimi. Tulikuwa tunaenda chumbani au tunakaa kwenye gari tunafanya kila kitu ila ukimwambia msex hataki kabisa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

    Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini! Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu! Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wasafi Media

    Assalam wanajamvi! Niende moja kwa moja kwenye hoja, kwa wiki kadhaa sasa nimekua nikifuatilia media ya Wasafi hasa TV kiukweli bado vipindi vyao havijakaa sawa. Mwanzo walipokuja watangazaji nguli nilijua content za pale zitabadilika, lakini kumbe na mimi nilikuwa na mawazo ambayo hayakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mrejesho wangu baada ya kutumia Serengeti lite

    Wakuu kwema. Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi. Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo robo glass tu. Ila nilipojaribu Castle Lite Ijumaa niliona mabadiriko. Bia ina utamu wake. Sasa leo...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimeachwa

    Moderator please delete huu Uzi.
  10. JamiiForums Tanzania Labda nifukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe

    Nikiwa kati kati ya interview nzito, Mara ghafla simu ya HR ikaita, akaipokea huku akisikiliza kwa makini anachokiongea mpiga simu, akamjibu mpiga simu kuwa "labda niwafukuze wafanyakazi wangu nikuajiri wewe" hiyo kauli mpaka leo haijafutika kwenye akili yangu tangu niisikie akijibiwa...
  11. JamiiForums Tanzania MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

    Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini. Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu mzuri. Kambini timu inaweka mikakati,mbinu za kutoboa. Simba Sc ilikuwa inaendelea na zoezi la...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kisheria kuhusu bomba kubwa la maji kupita kwenye uwanja wangu!

    Mdogo wangu amejikusanya na kununua kauwanja anakotaka kujenga nyumba ya kuishi ajabu wakati mafundi wanachimba msingi wamekutana na bomba kubwa la maji hali ambayo hatukuitarajia! Wadau tunaomba ushauri wa kisheria wa nini kifanyike
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Chongolo na Shaka wameonesha kushindwa kabla ya pambano, tunakusihi na kukuomba Mwenyekiti wa CCM uwaondoe

    Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu wa CCM Ndg Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi ndg. Shaka. Naamini CCM ni chama kikubwa sana...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Utumishi waache siasa kwenye kazi

    Habari za wakti huu; Naandika uzi huu kwa nia nzuri kabisa ambayo najua Ndugu XAVIER DAUDI pamoja na Waziri anayehusika na UTUMISHI pia wanayo. Utumishi wa serikali/umma ni heshima kubwa sana kwa yeyote anayepata fursa ya kuajiriwa huko. Hata ni ukweli usiopingika kwamba sio kila mtu ana sifa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu kabadilika tangu Shemeji yake ambaye ni mtoto wa mjomba wangu aje

    Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake. Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka. Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maana yake?
  16. N

    JamiiForums Tanzania Sijui kama mtazamo wangu uko sawa, ila nawaona wote wanaopinga chanjo kama wana shortage kichwani!

    Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu...
  17. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Wajumbe sikieni hii. Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro. Kipindi hicho mimi nilienda ofisini kwao kufanya field, kwa sababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana. Alikua mchapa kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu: Rais Samia awe makini na sakata la Mbowe, litamaliza kabisa kibali kidogo alichobakiwa nacho kwa Watanzania

    Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini. Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si...
  19. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye chanjo ya COVID-19 leo

    Leo nimebahatika kupata chanjo katika kituo cha jirani. Vitu viwili ambavyo nimeviona na nadhani kuna haja ya wahusika kuvifanyia kazi ni hivi 1. Booking Jana nilifanya on-line booking na kuweka tarehe ya leo katika kituo nilichochagua Nilipofika kituoni nikakuta hawana taarifa yoyote ya...
  20. JamiiForums Tanzania Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

    DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema. Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…