wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Satirical Yet Awesome

    Wanawake mkitaka kushindana na wanaume zenu, shindana nae kweny kila sekta

    Eti niki cheat na yeye analipiza ana cheat na mwanaume mwingine. Sasa najiuliza kama yeye ni jemedari wa kulipiza visasi, mbona nikilipa bills za nyumbani halipizi? Na yeye akawa analipa bills. Mbona nikilipa ada za watoto halipizi? Nayeye akalipa ada za watoto. Mbona nikifungua biashara kwa...
  2. Holoholo-Baba Kijacho

    Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  3. K

    Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

    Habari wakuu Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa manabii wala mitume wala dini nyingine tofauti na ukristo Kama una mchungaji unamfahamu ambae ana...
  4. Miss Natafuta

    Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

    Jamani nina huzuni mwenzenu acheni tu na mvua hizi. Kama nilishawahi kukukosea humu kwanza nisamehe kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo. Unajitahidi wanao basi wasipate shida. Unajitesa kuweka mambo sawa ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada wa kazi ampe vitu na huku...
  5. Mikopo Consultant

    Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

    Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa. Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi...
  6. B

    Nimetokea kuvutiwa na secretary wa moja ya ofisi za Chuo nilichosoma namuingiaje?

    Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio 😋 Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti...
  7. Z

    Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
  8. K

    Kuna boss wangu wa zamani aliwahi kunifukuza kazi, leo kanicheck kuniomba connection

    Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana. Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss...
  9. Holoholo-Baba Kijacho

    Yule binti aliyekuwa anataka aje kwetu kuolewa Sasa ninae Kama mke wangu

    Wakuu Kama mnakumbuka niliwahi kuleta Uzi unaohusu kuwa nilienda kuchumbia, binti akanikubali ila wazazi hawakukubaliana mahali so zoezi halikufanikiwa Baada ya muda kidogo binti akawa ananipigia simu anadai kuwa licha ya wazazi kua hawakuelewana anataka aje kwetu kuolewa no matter what...
  10. mdukuzi

    Nshukutu Mungu mtoto wangusio shabiki wa Yanga,kuna vijana wa ovyo sana Yanga

    Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli. Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga. Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
  11. LIKUD

    Mtazamo wangu kuhusu jamaa anaedai kuibiwa vitu na hela milioni tano na alie kuwa mke wake wa ndoa.

    Huenda jamaa kamuua mke wake. Na hii story ametengeneza kama Alibi. Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
  12. M

    Kitambulisho changu cha uraia kinaisha muda kesho. Je, ndio kusema uraia wangu unaisha muda pia?

    Kuanzaia kesho naanza kuhesabika kuwa mimi sio raia wa Tanzania? Hii imekaaaje kisheria zaidi?
  13. GENTAMYCINE

    Huu Uzi wangu wa kuhusu hiki alichosema Profesa Janabi umefutwa kwa sababu gani labda?

    Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya. Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline.
  14. Scared

    Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

    Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto simenti na mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini...
  15. hungary

    Wenye conection nanyenyekea mbele zenu kwa moyo wangu wote naomba muokoe familia hii

    Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa kujitolea kwanza uku akiendelea kuwa na uzoefu na mazingira na kazi ELimu yake ni diploma in...
  16. Nauza Akili

    Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  17. K

    Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

    Yaani inasikitisha na inahitaji uvumilivu,Tumeowana kama miaka 20 iliyopita tuna mtoto mmoja na mmoja alifariki. Kama miaka 4 iliyopita hivi ndivyo mwenzangu alipoanza kupitia changamoto za kuchanganyikiwa, anaweza akaazisha zogo bila sababu kunituhumu namroga au mimi malaya,kila mtu kwake ni...
  18. SuperHb

    KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

    Habari zenu? Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli...
  19. Expensive life

    Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
  20. Stability

    Nimegundua mke wangu ni mtumiaji wa JF

    Wife nishakujua ila endelea kuwapiga pini wanaokuja DMs
Back
Top Bottom