Sex partner wangu nyota yake ya bahati

Sex partner wangu nyota yake ya bahati

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
2,172
Reaction score
3,640
Nina sex partner wangu ambaye tumedumu Kama mwaka hivi. Ni sex partner hatupo kwenye mahusiano, tunazingatia njia salama za kiafya during tendo.

Nimegundua tokea nimekuwa na huyu sex partner, hata siku nikibet lazima nimpasue muhindi. Hii imekaaje walozi@mshana jr
 
Huyo sex partner wako usikute mpo Jinsia 🌈 moja mnapakana vinyezi tu. Wewe unaona nyota kali
 
Nina sex partner wangu ambaye tumedumu Kama mwaka hivi. Ni sex partner hatupo kwenye mahusiano, tunazingatia njia salama za kiafya during tendo.

Nimegundua tokea nimekuwa na huyu sex partner, hata siku nikibet lazima nimpasue muhindi. Hii imekaaje walozi@mshana jr
Hii kuna mjinga mmoja alitaka tuuifanye nikamtolea nje, fantasy zingine za kijinga kweli yaan wewe una mtu na mimi niina mtu eti tuwe na mahusiano ya kugongana tu tena bila wenzi wetu kujua yaan tukijisikia tunaitana mazingira tunababuana tukimaliza kila mmoja anarudi kwa mpenzi wake wa kuzugia
 
Back
Top Bottom