wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Dar yaongoza kwa Wanawake kuharibikiwa mimba

    Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa mwaka 2022 yanaonesha kuwa 23% ya mimba katika mkoa wa Dar es Salaam ziliharibika na kufanya mkoa huo kuwa na kiwango cha juu zaidi cha kuharibika kwa mimba kuliko mikoa yote nchini. Ripoti hiyo ya utafiti iliyozinduliwa Oktoba 28...
  2. Wanawake wanajua kupiga shangwe, Bahati Keneth Ndingo aapa kiapo cha uaminifu jimbo la Mbarali

    Leo bungeni, mbunge wa Mbarali ameapa kiapo cha uaminifu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Mbarali. Jimbo hilo liliingia kwenye uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa mbunge wake, Francis Leonard kufariki dunia Julai Mosi, 2023. Wabunge wanawake wa chama cha mapinduzi walijifunga kibwebwe na...
  3. S

    Hawa hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja

    Uwezo wao wa kupambanua mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja. 1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kuitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025...
  4. B

    Wanaume waliowahi date na wanawake wenye shape hii mje mnipe uzoefu

    Aloo nikimpata mdada mwenye shape kama hii hata million 2 kama ninayo natoa, sio kwa mzigo huu, eti wazee mzabzab mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania
  5. Wanaume hatutoboi bila wanawake

    Pamoja na kujiona wababe/miamba/magangwe/makingkong lakini huo ndo ukweli. Chukua chuma icho. Angalizo kwa wanawake: Sasa uende nyumbani umevimba kichwa ukipasuliwa uko shauri yako usinilaumu.
  6. M

    Marais wanawake wa kiislam duniani

    Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha 1. Halimah. Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023. Rais Samia Suluhu Hassan Upto 2035(inshallah) SIFA KUBWA YA...
  7. M

    Mary Chatanda awashauri wanawake kuwapa ngono waume zao ili wamkubali Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa CCM (UWT), Mary Chatanda leo Oktoba 28, 2023 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Darajani Mjini Magharibi Unguja amesema Mumeo akija mpokee mwambie pole mzee na kazi, mwambie tunamtaka Samia na Mwinyi. Ukiona anakuwa mgumu msubiri saa 11 asubuhi...
  8. Wanawake NENDENI kwenye makambi ya wanawake wa kilokole mponye ndoa zenu

    Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna. Ikiwepo siku moja,mbili. Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani NI πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Nakwambia mabinti Wana masomo Yao,walioolewa Wana...
  9. L

    Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

    Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina mengine kadha wa kadha. Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect way, tofauti yao na wale wa Ubungo...
  10. Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

    Wanawake wa siku hizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko? Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa yupo geto ila unalazimika kwenda restaurant kutafuta msosi ili upeleke mle pamoja kisa mpenzi wako...
  11. Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

    Enyi Wana WA Nuruni Naomba mje mnisaidie hii kitu Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka? Maana me nimetongozwaga zamani, Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa...
  12. Hivi wanawake kuwakataa wanaume kiugomvi wanapotongozwa ni Afrika tu au ni janga la kidunia?

    Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote. Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu kakutongoza afu unamkataa kama Pepo au unamjibu vibaya, mwanaume unakuta Hanashida kashapotezea lakin...
  13. Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania. 1. Wachaga 2. Wakurya 3. Wanyakyusa 4. Wahaya 5. Wapare 6. Wasukuma 7. Wameru 8. Wajaluo Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
  14. Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

    Anti: unajua money penny, nimwambie kitu? Money penny: ndio Anti: unajua wanaume wengi hapa mjini hawajui kufikisha wanawake zao kileleni. Wengi hawajui G spot ya mwanamke iko wapo. Hawajui kukojoza wanawake zao Yani wanaume anakupanda Tu kama gari ya mwendo Kasi, akishamaliza yeye anajiona...
  15. Mmeshawahi kuona kijiwe cha wanywa kahawa wanawake?

    Ebu jaribu kutofautisha picha mbili hapo chini kwenye kila angle. MAGUFULI akiwa Soko la Ferry, Dar es salaam SAMIA akiwa Soko la Wamachinga parking, Nzega, Tabora. BINAFSI: Nimeshangaa kijiwe cha wanywa kahawa wanawake, sijawai kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake. Pili utofauti niliouona...
  16. Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  17. Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

    Mimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini! Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf. Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la...
  18. Friday quote

    "Forgetting is good for the brain: deleting unnecessary information helps the nervous system retain its plasticity."
  19. Viherehere wanawake wanaojikomba sikilizeni hii

    https://www.facebook.com/reel/864002521844485?mibextid=9drbnH msiseme hamjaambiwa wakiolewa wengine maslay queens wasiochafua miili yao mnalia
  20. B

    Nilikosea sana kuamini wanawake wazuro wako Chuoni tu.

    Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana. Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu. Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine. Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…