wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Mbunge Oliver Semuguruka: Wanawake Chukueni Fomu Mgombee Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA: WANAWAKE CHUKUENI FOMU MGOMBEE SERIKALI ZA MITAA Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera (CCM), Mhe. Oliver Semuguruka amewataka wanawake wilayani Ngara kujitokeza kuchukua fomu za...
  2. Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

    Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
  3. Aina za wanawake ndoani

    Kuna mke, kuna muke, kuna mke mkeni, mke mke wenu, mke mke wao, mke mkeo, mke mke, kuna mke mkeka, mke mkemia, mke mkeketwa, mke mkimbizi, mke msindikizaji ,mke mdangaji,harafu kuna hii mke brilliant yaani mke baby sweet! Ni wachache hawa! Sijui upo wapi hapo!
  4. Kwanini dini zinazataka wanawake kuvaa vitambaa kufunika vichwa vyao?

    Katika maandiko ya dini zote tatu za Uisalamu, Ukristo na Uyahudi suala la wanawake kujifunika vichwa vyao linazungumziwa japo kwa msisitizo tofauti. Katika Ukristo mazingatio yake ni madogo sana mfano kwa masista wa Kikatoliki na kwa makanisa machache mfano kwa Kakobe, katika Uyahudi siku...
  5. D

    Wadau tujadili na kujifunza, ni kweli wanawake wa Kingoni wana hulka ya umalaya hata kama ni msomi?

    Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age. Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma)...
  6. Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

    Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
  7. Ujumbe muhimu kwa wanawake wote

    Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi..... Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia. Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu. Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali. Huo ndio ujumbe wenyewe...
  8. Kamati ya kitaifa Usawa wa Kiuchumi yazipongeza MIF, TAMWA ZNZ kuwezesha Wanawake Kupata Haki zao

    KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa jitihada zake za kukuza haki na usawa wa kiuchumi kwa makundi yote. Pongezi hizo zimekuja kufuatia ziara...
  9. Wanawake hawajioni kama ni masikini

    Wanawake siku zote hawajioni kama wao ni maskini, ila wanachojua ni kwamba wako kwenye mahusiano na mwanaume asiye na hela.
  10. PreGE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

    Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao. Akizungumza katika mkutano...
  11. S

    Trends za muonekano zinavyowatesa wanawake enzi na enzi

    Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati. Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya. Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
  12. Wanaume wenzangu tembeeni muone wanawake wazuri sio hapa Tanzania wanatuliza kwa kujiona wao wazuri

    Fanya juu chini usafiri hata kidogo ufike hapo rwanda kama uwezi kuvuka bara la afrika.ila kuna nchi unaweza kuwa na pisi kali mpaka ukajiuliza mbona wapo huku. Kuna haka kisiwa cha cyprus yani unaweza kubaki huko huko kama mtu wa totozi. twende urusi huko yani na baridi la kule unaitwa hot man...
  13. Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

    1. Mrembo sana 2. Msanii (wa filamu, muziki) 3. Askari 4. Baa medi/hotelia 5. Mlokole 6. Nesi / Daktari 7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu) 8. Mwanamke kutokea familia ya kishua NB. Picha haihusiani na mada
  14. Wanaume waoaji lazima tujifunze vinginevyo tutakufa mapema

    Mwanaume, ukitaka kuoa jitahidi kama una pagala au una nyumba hujaimalizia, malizia mwenyewe usimshirikishe huyo mkeo unaye muoa au unayetaka kumuoa, mali alizokukuta nazo zibaki za kwako binafsi au wanao kama unao wa nje ya ndoa, kwanini, ukimshirikisha akiwa na hela zake akaziweka kwenye...
  15. Waamini wanaume wasiobadilisha avator zao na usiwaamini wanawake wasiobalisha avator zao

    Kwa mara ya kwanza napost ndani ya jukwaa hili,,wenyeji hope mko poa kabisa Sifa ya wanaume ni misimamo,kama mwanaume hana msimamo basi kuna shida pahala,mwanaume akisema jambo linatakiwa liwe hivyo jana leo na kesho,kwahiyo wanaume wenye misimamo mara nyingi huwa wakweli na hao ndio wa...
  16. Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi

    Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60 hivyobasi namna ya kuenjoy mahusiano na ndoa zao wakubali waume zao kurusha risasi nje pia wasitake...
  17. Wanawake wengi wamejigeuza bidhaa tuishi nao kwa akili

    Habari za wakati huu. Ndugu kuna bidha haramu zisizo lipa kodi na hata nyingine kupigwa marufuku na mamlaka za nchi husika kama tunavyojua na ikitokea ume kamatwa na bidhaa haramu basi adhabu yake inajulikana ndugu zangu. Kama kichwa cha habari kinavyo sadifu hapo juu naendelea kwa masikitiko...
  18. Wanawake mkikutana na wenza wenu msivae suruali zinazobana, mnatia aibu!

    Ndugu zangu, Kuna tabia ya siku hizi ya wanawake kupenda kuvaa suruali. Kiukweli sio vazi baya ila kuna baadhi yao linawadhalilisha kwenye jamii. Mtu katoka kukutana na mwenza wake kimwili then kavaa suruali iliyobana bila hata mtandio wa kumstiri ni aibu. Nawasanua tu. No malice to anyone.
  19. Baada ya utafiti huu nimejiridhisha 100% wanawake kipaumbele cha cha kwanza kwenye mahusiano ni Pesa

    Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya...
  20. Taarifa toka kwa Wanawake: Mpaka sasa Wanaume wa kisukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa

    Shalom, Wanaume wakisuma hawana maajabu ya uchangamfu they are not pepper but women have concluded wasukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa Taarifa fupi mengine yaendelee Wadiz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…