wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  2. Kwa nini wanawake wa mjini huwa wanapenda kuvaa miwani oversize?

    Huu mtindo wa kuvaa miwani mikubwa iliyopitiliza(oversize) kwa wanawake wengi wa mjini huwa una maana gani?
  3. Rais Samia ashiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan, ahimiza kudumisha Umoja

    https://www.youtube.com/live/y5a0kXD2wkE?si=U16sfXt9DHsLAmxZ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mashindano Makubwa ya Qur'aan kwa Wanawake Duniani Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. Kwanini wanawake wazuri sana wanakataa wanaume?

    Ivi ushawahi kujiuliza kwanini 1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume? Namaanisha A. Mzuri wa umbo B. Mzuri wa kili C. Mzuri wa utafutaji D. Mzuri wa Dini E. Mzuri wa Tabia na maadili Yani awe na vitu vyote 5 hapo juu, Hao wanawake wanakuwaga hawapatikani kirahisi kwa wanaume hata kama...
  5. Wanawake kwenye kuanika mwili huwa hawana uoga kulinganisha na wanaume!

    Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia: Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
  6. M

    Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

    Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁 Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁
  7. Tunaposema Rais asilindwe na hao PSU wa Kike anaowapenda na kuwang'ang'ania kwa Mapungufu yao kadha wa kadha mnasema tunawachukia Wanawake

    Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda. Najua wale wa PSU mpo sana hapa...
  8. Mwanaume halisi sharti asulubike: Mwanaume hujifunza na kuimarika kupitia magumu ila Wanawake ni kinyume chake

    Mwanaume halisi hatakiwi kuonewa huruma wala kujionea huruma Kwa sababu Mwanaume makini na mzuri ni yule aliyepitia magumu " the best men suffer". Haipo haja ya kumwambia mwanaume maneno laini kama una nia thabiti ya kumsaidia kuwa bora. Ikumbukwe Mwanaume hujifunza zaidi kupitia ugumu na...
  9. Simba Queens Yakosa Kufuzu CAF WCL, Yabamizwa 3-2

    Klabu ya Simba Queens yashindwa kufuza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuondolewa hatua ya Nusu fainali kwenye michuano ya CECAFA hatua ya Nusu Fainali baada ya kufungwa na Kenya Police Bullets. FT' | Simba Queens 2 - 3 Kenya Police Bullets.
  10. Simba queens yaondolewa kuwania nafasi kucheza cafcl upande wa wanawake

    Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba "Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko
  11. PreGE2025 Tufanye nini ili kuongeza ushiriki wa wanawake hasa vijana kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu salaam, Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote. Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga...
  12. Tabia ya Wanawake wanaong'ang'ania Watoto huku hawawezi kuwatunza ikomeshwe. Ni ukatili Kwa Watoto

    TABIA YA WANAWAKE WANAONG'ANG'ANIA WATOTO HUKU HAWAWEZI KUWATUNZA IKOMESHWE. NI UKATILI KWA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nasema haya baàda ya Yale yanayotokea kwèñye jamii zetu. Ukatili, maumivu, mateso na uharibifu wa Ndoto za Watoto wengi zilizotokana na ubinafsi mbaya...
  13. Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa? Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
  14. Alininyima namba yake ya simu ila anataka nimnunulie soda

    Habari wadau. Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi . Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo. Nikifika hapo naagiza zangu soda nacheki mpira huku nakunywa taratibu soda maana mimi sio mtumiaji wa pombe...
  15. N

    Hongera kwa wanawake wote

    Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media. Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya. Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi...
  16. Wadada mnajisikiaje mnapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui?

    Habari zenu members wote was jamiiforum pia poleni na mahangaiko Mimi nina swali hasa kwa wadada kuhusu wanavyojisikia wanapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui Ila ndio hivyo mkaka ameamua kuja mpaka ulipo na kukuambia amevutiwa na wewe baada ya maongezi machache kutambulishana...
  17. Wanaume na wanawake mnaoendesha magari machafu mmelaaniwa hakika mjitathimini upya

    Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao endesha magari machafu mnalaana za uchafu uliokithiri kupita kiasi. Hakika mmelaaniwa Ndugu zangu...
  18. Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

    Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa. Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa sehemu ya mafundisho. Kumwandaa Mume, Mke, Baba, na Mama ni wajibu wa msingi katika jamii na Taifa...
  19. Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  20. Aliyewadanganyeni Wanaume kuwa Wanawake wanataka tu Hela Kwenu nani? Kudadadeki zenu wanataka Hela na 'Mfurunduano' wa uhakika kama hivi asemavyo Diva

    Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi.... Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…