wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadada ni wajanja sana, katika hizi sherehe za harusi lazima utakutana na wawili au watatu wanataka attention yote itoke kwa biharusi na ije kwao

    Kwenye mduara utamkuta amevaa nguo ya kubana na aanze kukatika kiasi kwamba bwana camera na wale wauzuliaji wote wanamgeukia. Kila muda ataaamka atembee tembee mara aende kwa DJ mara vinywaji
  2. JamiiForums Tanzania Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  3. JamiiForums Tanzania Enyi feminists mnaodhani wanawake wazungu hawawavumilii waumme zao piteni hapa.

    She worked in a Cafe overtime just to make ends meet na mwamba hakuwa na kazi maalumu kwa miezi 8 mfululizo. Ila alitiwa moyo na kupewa muda ajitafute. Hakudharaulika kwa kutokuwa na chanzo cha pesa bali aliheshimiwa kwa maono alokuwa akiyapika katika hard time iliyo mkumba Kuna la kujifunza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wanapoongea huwa kama wanaongea na wanawake tu makanisani?

    Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu. Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume. Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
  5. JamiiForums Tanzania Shocking: Inadaiwa Wanawake wengi wanaoenda gym wanaliwa na trainers!

    Sijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara. Amenisimulia mambo mengi kuhusu ushenzy unnaofanywa na trainers huko gym hadi nimeogopa. Jamaa yangu kaniambia...
  6. JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wanawake wengi kuhusu uwezo wa wanaume kutiwaridhisha kimapenzi ni athari za kufanya ngono na jini

    Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyejulikana kama pawa mabula,mtu aliyeganya maonesho ya nguvu zake miaka ya nyuma zilizokuwa mithili ya nguvu za Samsoni wa kwenye biblia,ni kwamba yeye binafsi alitumia majini 100 kumsaidia kufanya yote hayo. Akihojiwa wakati fulani wa uhai wake,baada ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawavai bra (sidiria) hasa wale wenye manyonyo makubwa

    Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

    Kuna hii tendency umemtokea demu, au labda yeye ndo katokea kukupa sign kabisa... Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous.. Then kama beberu usipofanya lolote unaonekana boya, haya basi unamtokea unachukua namba then unaanza process. Ila...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wana wivu wa ajabu sana.Ukiwa ujaoa hakuna mwenye mda na wewe,Ukioa kila mwanamke analazimisha kuwa wake

    Kipindi sijaoa hakuna mwanamke mwenye kusumbuka na mimi ,kila niliyetaka kumuoa alikuwa hataki. Baada ya kuoa na maisha ya ndoa yani kila mwanamke akiona pete kidoleni au kunijua wanatengeneza mazingira washike nafasi hiyo. Walikuwa wapi siku zote.
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri. Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii. Sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukichunguza ni kweli tofauti ya wanaume na wanawake.

    Sisi wanaume ndio washiriki wazuri wa kwenda chooni kukojoa. Ila wanawake unaweza kukaa naye zaidi la saa moja hata kwenda chooni uwezi kumuona. Mfano yale mavazi wanayo vaa mpaka unajiuliza hivi anawezaje kuvumilia kubanwa na mkojo. Hii mada nimekuta wanawake wanatusema sisi wanaume kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wa JF ambao mmeshajenga, IGWEEEE....!, nilikuwa na nafasi hio miaka mi-5 iliopita ila niliishia kufanya anasa huku najipa moyo

    Anasa ni zimwi linalokunong'oneza kwa sauti ya upole kuwa "gusa tu kwa leo alafu basi" Masikini kumbe unaisha. Mishe ya kukupa mtonyo kumbe ni kama maua. Sio wanawake wenye MAKEBO makubwa, sio clubbing na pubbing, sio kutafuna jagina zile za telegram, nakumbuka kupita na zungu kama hajawa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

    Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa ! Kwa sasa kupata mwanamke 1. Kuwa na Pesa 2. Cheo 3. Kipaji 4. Muongo muongo kwa ahadi Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa Sasa ni nipe nikupe Nimegundua...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Ebu isikilize hii Ng'ombe 😀😀😀
  17. JamiiForums Tanzania UKIINGIA KIchwa kichwa Ndoa ni chanzo cha utajiri kwa wanawake na chanzo cha UMASKINI Kwa wanaume wengi. Imagine Mgao wa TALAKA.

    UKIINGIA KIchwa kichwa Ndoa ni chanzo cha utajiri kwa wanawake na chanzo cha UMASKINI Kwa wanaume wengi. Imagine Mgao wa TALAKA.
  18. JamiiForums Tanzania wanawake wana dirty mind kuliko wanaume, ila wamebobea zaidi kuificha

    Wengi wamezoea kuamini wanaume ndiyo wanaotawaliwa zaidi na mawazo ya kingono. Mimi sioni hivyo. Ukiangalia baadhi ya majukwaa ya watu wazima mtandaoni hasa yale ya live sex streaming km Chaturbate ,Stripchat, LiveJasmin ,BongaCams ,CamSoda ,MyFreeCams utaona kiwango kikubwa cha ubunifu, mitindo...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawaitaki CCM

    Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura. Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM. Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
  20. JamiiForums Tanzania Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. Sembe haiwafahai wanawake!

    Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. SEMBE HAIWAFAI WANAWAKE.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…