Hivi kwanini baadhi ya wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?

Hivi kwanini baadhi ya wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Hivi kwanini wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?.

Na hapa manabii na wachungaji , mashekh na waganga wa kienyeji wamekuwa wakipiga sana hela.

Mfano Carina alikuwa anaumwa ugonjwa wa kawaida Ila wakasema amerogwa this bullshit .

Ni ujinga sana
 
Back
Top Bottom