haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,567
- 3,839
Achana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.
Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea.
Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume wanaosema ni wa kwenda nao supermarket.
Unajua ukishakua potential, km kua super handsome, yafaa uwe makini sana na kuchagua mtu wa kua nae, mana wengi wanataka kuosha mbele za watu tu.
Kitu ambacho unaweza usiamini, humu kuna wanaume hawajawahi hata kutongozwa mana hawana potential yoyote.