wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake si wa kuwaamini hata kidogo, kaniambia ananiletea zawadi kaja mikono mitupu

    Tumekaa tu hapa tunatizamana toka saa 3 sioni lolote lile. Huyu dada ni wa Tanga huku huku. Yule demu wangu aliondoka jana kwenda Moshi anarudi kesho jioni. Alienda kusalimia kwao sikukuu akina Msangi sijui ni wa Moshi ipi Huyu dada mwingine yeye nlikuwa namkuta sehemu moja hivi ofisini anyway...
  2. R

    Hakuna anayesema wanawake wote wa makabila haya ni wasumbufu kwenye ndoa lakini kwanini wanaongoza kwa kulalamikiwa ?

    Kuna principle inasema to every rule there is always an exception, hata kwenye kundi linalosifika kuwa wasumbufu wapo waliotulia mpaka utashangaa na katika wale wanaojulikana wametulia wapo ambao ni wasumbufu pasua kichwa, kwahio haimaanishi ni wote. kwanini wanawake wa makabila haya wanaongoza...
  3. Wanawake wa sasa, wemejawa na ubinafsi na upendo wa mali

    Eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha? Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande mmoja tu. Ndio maana, ndoa zimejaa biashara na ubinafsi, badala ya kutawaliwa na upendo. Ndoa yangu...
  4. Asilimia ya wanawake ambao wanakeketwa kwa nchi

  5. Wanawake wa Kiislam Wamuomba Rais Samia Ufadhili wa Umra na Hija

    Wakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija. ================ Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuanzisha mpango wa ufadhili kwa Wanawake wenye hali duni ili...
  6. M

    Nilichojifunza kwenye kisa Cha mtalaka wa Arnold yule gwiji wa terminator , wanawake wameshindikana

    Nilikuwa nasoma kisa Cha mke wa anord yule gwiji wa filamu za mapigano na kijeshi , ambaye walishi na anord miaka 25 ,anakiri kuzaa na mfanyakazi wake wa ndani nimechokaa, na eti anaumia Kwa kuachwa Kwa talaka, aisee ustaaa wote ule wa anord kapigiwa, nawaza tu hapa Kwa nini Mandela aligoma...
  7. Mwigulu Nchemba: Mzee Ngure alikuwa Mcha Mungu na mpenda elimu

    Waziri wa Fedha Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba amesema Marehemu Mzee Wilfred Ngure ambaye ni Baba Mkwe wake alikuwa ni Mtu mcha Mungu na mpenda Elimu. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Machi 25, 2025 wakati wa Ibada rasmi ya kuaga Mwili wa mzee Wilfred Ngure ambaye alifariki Dunia Machi 22, 2025 Nchini...
  8. Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

    Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa...
  9. Hatimae nimemaliza masomo yangu yaliyohusu jinsi ya kuwaelewa wanawake

    Huu ni mrejesho wangu mimi mwanazuoni mwehu ndama jitu la mtumba , mteule wa bwana baada ya kuhitimu shahada ya juu kabisa ya jinsi ya kuwaelewa wanawake na namna Bora ya kuishi nao. Tafiti yangu jadidi iliyohusisha mkusanyo wa data kwa njia za kimtandao , mahojiano ya ana kwa ana , pamoja na...
  10. Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

    Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri. Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa. Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na...
  11. Wanawake 3000 Dodoma kunufaika na kozi mbalimbali kutoka VETA, wewe unasubiri nini?

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahimiza wakina mama wa kikundi cha wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanajifunza kwa makini na kuwa tayari kupokea mafunzo watakayopatiwa na Mamlaka ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA) kwani yatawasaida kwenda kuajiliwa na kuwa...
  12. Wanawake wote wangekuwa na 'Chuchu Dinda' kama za Hamisa Mobeto nina uhakika wala Wanaume tusingekuwa tunapuyanga Kimahusiano

    Mtoto ana 'Chuchu Dinda' nzuri balaa hadi kila nikimuona Aziz K natamani ateleze tu Kimahusiano waachane nasi tufaidi.
  13. Mwanaume ni sawa kuwa na wanawake wengi kama uwezo unaruhusu

    Tafiti za kisayansi zinasema Mwanaume mmoja anaweza kuzalisha wanawake 300 ndani ya mwaka mmoja . Wanaume wamepewa uwezo wa kumiliki wanawake . Kwa mwanaume ni halali kuwa na wanawake wengi ila mwanamke ameumbwa amilikiwe na mwanaume mmoja
  14. Usidharau vitu wanavyopenda wanawake(wadada), huwa ni vitamu sana

    We jaribu kununua ice cream za bakhresa kula. Nunua chips yai na kuku na milinda nyeusi onja. Nunua mishkaki Yani ni vingi tu, nimengundua ni vitamu sana, hakuna haja ya kujinyima raha.
  15. Ila wanaume kwa wanaume tunanafikiana sana likija swala la namna ya kuwatreat wanawake

    Oya mie ngoja leo niwape za uso mabaharia wenzangu. Watu tunakaa kwenye kikao, tunaweka ajenda mezani na points kabambe zinatolewa. Mara utasikia "Hamna kumnyonya mwanamke K utakua unalamba lolo la jamaa zake wengine" Mara "Usimpigie magoti demu wako ukimvisha pete" Mara "Mwanamke...
  16. T

    Wanawake, oneeni huruma watoto wenu basi!!!!

    Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi mnachotengeneza!? Nikiwa kama single father, nimejitahidi sana, na bado naendelea, ila wazee, ukiona mwanamke...
  17. Amini usiamini kuna wanawake wanatosheleza kila engo. Ni wewe na tamaa zako tu!

    Kiukweli kuna wanawake wanatosheleza kila kona mpaka unajiuliza huyu vipi? Ukiwa na hamu yupo radhi afanye afanyavyo urizike. Akijifungua hakuachi uwe na hamu utafute mwingine Akiwa P anajitahidi akuridhishe ili mradi uridhike Kiufipi anakuhudumia kila hali…… Je wapo wa dizaini hii? Tule...
  18. Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

    Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe. Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike. #No reform no Election.
  19. Aliyefanya tafiti kuwa wanaume wamepungua ajakosea

    Ilikuwa si ajabu kujua umefulia au kuanguka ukishasikia maneno nakejeli toka kwa wanawake. Ila leo ni kama imekuwa tofauti kabisa yani wanaume ndio wamekuwa wahusika wakubwa sana. Zamani si rahisi kukuta mwanume Kuwa na hizo tabia anapomuona mwanaume mwenzake kapata changamoto anapo anguka...
  20. Juliana Shonza Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi Kata ya Kalembo, Ileje

    JULIANA SHONZA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI KATA YA KALEMBO, ILEJE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Kalembo Wilaya ya Ileje kwa lengo la kuendelea kuwainua kiuchumi wanawake kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…