Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Kutokana na msongo wa mawazo nilionao, nikaona wacha nikajichanganye na watu ili kuepusha kujitundika kitanzi
Nimejikuta naweka kituo kwenye kijigenge kimoja kidogo dogo. Kulikuwa na bodaboda watatu ila mmoja wao alikuwa na tabia zisizo za kuigwa na mwanaume wa aina yoyote ile duniani. Maake...
Hookup culture ni utamaduni uliokuwa kwa kasi kwenye jamii zetu ambapo watu wanajihusisha na mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la ngono bila kuwa na nia wala commitment ya uhusiano wa kudumu au ndoa
Sex imekuwa ni rahisi sana kuipata, Utandawazi umewatega wanawake kugawa sex hovyo wao wakidhani...
Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi...
Kuna wanawake kutoka baadhi ya jamii hasa makabila flani nisingependa kuyataja japo sio wote wana hii pattern mbovu
Mwanaume utatumika kumpa hadhi ya kuolewa na kumzalisha tu
Baada ya hapo umuhimu wako haupo tena
Mipango itaanza kufanyika akihirikiana na ndugu zake kutafuta sababu za kutoroka...
Hii nayo iwekwe kwenye maajabu ya wanawake.Hawa viumbe hawasomeki kabisa....
Wanawake bana likitokoea tukio hasa ajari wanakuwa wa kwanza kufika pale na huwakuti wanatoa msaada bali vilio tu utasikia Oooooh mungu wangu jamani hadi mkono umekatika jamaniiii jamaniiiii na wengine wakilia kwa...
Wakuu,naamini mko salama kabisa,wenye kuumwa basi poleni na Mungu awape ahueni ya maradhi yenu.
Issue yangu iko hivi,nina tabia ya kukinai wanawake, naweza nikatumia gharama kubwa za muda na fedha kumpata mwanamke, lkn nikiisha mpiga mashine siku mbili tatu namkinai na sitaki tena kumsikia.
Hivi...
Eti niki cheat na yeye analipiza ana cheat na mwanaume mwingine.
Sasa najiuliza kama yeye ni jemedari wa kulipiza visasi, mbona nikilipa bills za nyumbani halipizi? Na yeye akawa analipa bills.
Mbona nikilipa ada za watoto halipizi? Nayeye akalipa ada za watoto.
Mbona nikifungua biashara kwa...
Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE
Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare
Ili ajue anaishi nae kwa namna gani
Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE.
Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili ajue anaishi nae kwa namna gani.
Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu watakavyomuona akiwa ndani ya shela, lakini 1% ndio wanajua nini maana ya ndoa.
Zamani wanawake...
Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa.
Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu.
Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa...
Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea .
Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts
Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k
Hawa viumbe wamechafukwa.
Mwanaume akiishaota ndevu na masharubu, anaanza kuwa na kiburi. Anamdharau mwanamke. Anasahau mama yake ni mwanamke. Anasahau mwanamke ndiye aliyemtunza tumboni miezi 9. Akamzaa. Akamfuta kinyesi na kumvalisha nepi. Anasahau alikuzwa na maziwa yaliyotoka kwenye titi la mamaye mwanamke.
Enyi...
1. Mke wa mtu
Kuna mstari mwembamba unaotenganisha kifo na mke mtu.
Ukiwa nae ujue parapanda inalipa muda wowote
2. Mwanafunzi
Hapo tunaita kuguswa mamlaka
Jera miaka 30 sio mingi
3 Single mothers
Hawa ni wabinafsi na wana visurani kufa Kwa pressure ni jambo la kufikia
Wengine...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu.
Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
Nmeikuta Mahali jaman...nmecheka hatar😂😂😂 ila wanaume🤣🤣🤣🙌
Simulizi habar kuna mtoto nilizaaga nje nina uhakika wife hajui kama nilizaaga nikawa natunza kwa siri. Sasa nilisafiri na mtoto na mama yake kikazi wife akiwa nyumbani na nikawa na uhakika hajui kitu.
Simulizi nimerudi leo nafika...
Wanawasemea wagumu kudeal nao :
1• Mzuri kupitiliza / Mjivuni.
Wana jeuri na Tambo za kuwa na options zilizopo active Muda wote yaani ukimdipu ( bipu ) unapigiwa.
Hawa viburi mno haijalishi kabila Wala Status ya familia.
2• Mwanamke wa Kidigitali.
Wapo bize Kama Moderator.
Hawa ni Social...
Nimekuwa nikipinga kuna dhana ya kwamba kuna wanawake ni wagumu a.k.a beki zinakaba
Naamini shida huwa ipo kwa mwanaume mfano hana pesa, anawahi kukata tamaa, sio mcheshi, n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.