wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hisia mbili zinazowatesa sana wanaume

    1. Kua katika mousanyiko kisha kijana/mwanaume wa rika lake anashuka kwenye ndinga, wakati huo yeye hana mbele wala nyuma, huwa wanajisikia unyonge mkali sana. 2. Anapopishana na mwanaume alie handsone. Yani wanaume wakipishana na mwamaume ambae ni mzuri, tena hapo wakiwa kwenye kundi la watu...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

    Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye changamoto za kiuchumi na kukosa wanaume wanione mimi please

    Yes, udugu ni kufanana walisema waswahili. Nimeona niweke hili wazi sababu najua kuna watu wanachangamoto hizo za kiuchumi na pia kukosa mwanaume shababy mwenye uwezo kiuchumi na kimahusiano. Ni rahisi tu. Nione mimi. Wala usihangaike. Hakikisha unaniona mimi. Mimi napatikana nchi mbalimbali...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

    Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

    Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya Alisikika tu akisema: "Hello. How are u doing? You look good. I'm from Russia My English bad Come with me." Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa. Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates...
  6. JamiiForums Tanzania ATWOLI: Wanaume mlio na mwanamke mmoja 'Shenzi Zenu'

    Katiku Mkuu wa vyama vya wafanyakazi Kenya - Cetral Organization of Trade Unions Kenya (COTUK)
  7. JamiiForums Tanzania Mke anaruhusiwa kuwa na wanaume wawili watatu?

    Hili la wanawake kuwa na wanaume wengi limekuwa kama sheria waliyoipitisha wenyewe. Yaani asilimia ndogo sana wanawaume zao baasi, hawa 1970 hadi 1990, hawa wa 2000 kuja 2010 asilimia kubwa wana mabwana zaidi ya wawili watatu, nani kawaruhusu? Kama huamini na kama ni kidume chukua mtoto wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

    Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

    Habarini, Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza. Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzagu wa Musoma, jifunzeni kula vizuri basi! Mnatia aibu

    Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia nyingine kama mashindano fulani ivi, aisee mjilekebishe ulaji wenu sio mzuri kama mnakimbizwa kupanua...
  11. JamiiForums Tanzania Wimbi la wanaume Wambea linazidi kuongezeka

    Sijui ni Mitandao ya kijamii ndo imekuwa chanzo....wanaume wanazidi kuwa Wambea kuliko hata wanawake Siku hizi ukienda kwenye misiba ama mikusanyiko huwezi koswa kundi la wanaume sita ama tisa Hivi wanapiga umbea. Miaka ya nyuma ilikuwa haipo Kila kundi utakuta wanacheza karata ama BAO...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wa 50+ GenZ wanawatesa kwa kuyataka wenyewe

    Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee mbaufurahia. Shida inakuja pale mliachana na mwenza au mmoja ametangulia mbele za haki. Mwaume anaanza...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume hawapendi kutoa bikra

    Hivi kwanini siku hizi wanaume hawapendi na waoga sana kutoa bikra za wadada ?
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

    Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume weupe hii ndio kazi yetu tu

    Hapo vip! Wanaume weupe tunaweka mbegu tu,alafu tunaendelea na kutafuta pesa na kubadisha dunia kuwa sehemu nzuri,ndio maana tumeleta technology,magari,umeme,computer,ndege n.k hapa hamna mwanaume mweusi anaweza kufanya haya, ndio maana hatupendi kugandana na wanawake kama hawa jamaa weusi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

    Nimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha. Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo. Hapa Bongoland hali ni mbaya zaidi kwa akina mama kupigwa nje kwa sababu mbalimbali.
  17. JamiiForums Tanzania Gift Macha ni aina ya wanaume wadhaifu wanaotengeneza kundi kubwa katika jamii hii inayofukazana na usasa usio na tija

  18. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi wamekuja na suala la "girlfriend allowance". Wanaume, hii imekaaje?

    Habarini, Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  20. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa wanaume kujipenda na kuwa wasafi

    my people, Katika maisha ya kila siku, mwanaume mara nyingi hupimwa kwa nguvu, kazi, au uwezo wa kuwajibika. Lakini kuna kipimo kingine cha msingi ambacho mara nyingi hupuuzwa: usafi na kujipenda. Hivi viwili si anasa wala mapambo ya juu juu, bali ni mizizi ya afya njema, heshima binafsi, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…