wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaonyanyaswa kisiasa na wanaume

    Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa. Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

    INTRODUCTION Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.  PROBLEM Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu? SCENARIO Unataka kunielewa? Twende pamoja.... 1. Upo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

    Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako. Kuna watu wanapendwa jamani. Wanaume igeni mfano kutoka kwake.
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

    Hi guys, Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..! Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwani kuolewa ni utumwa, mpaka wanaume wakinipa ofa za lift na kinywaji nizikatae?

    Kwani nani kasema kuolewa ni utumwa? Yaani hata nikikutana na mwanaume niliyecheza ama kusoma naye nimkimbie? Hata ofa ya kinywaji niikatae??
  6. JamiiForums Tanzania Usimpige mwanamke ngumi na mateke

    Watu wa utamaduni hawachapi mwanamke kwa fimbo. Wanamchapa kwa Ukuni. mwanamke hapigwi makofi... hapigwi ngumi na mateke (hapa ndo unakosea kabisa ) afadhali kibao kimoja tu cha kumshtua akili lakini si ngumi na mateke. yaani ukimpiga mwanamke ngumi au teke wewe ufungwe kabisa hufai. Mwanamke...
  7. JamiiForums Tanzania Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

    1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae. 6. Wanaume ni Waongo sana. 7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
  8. JamiiForums Tanzania Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  9. JamiiForums Tanzania Dada kama hutaki kuliwa usipende kula vya wanaume. Tunapata pesa kwa ugumu sana

    Hi Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia. Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu ambacho hakina maajabu. Tunashobokea kabla hatujakipata tu, tukipata tunaanza kujijutia hasa...
  10. JamiiForums Tanzania Tabia ambazo hawazipendi wanaume toka Kwa wake zao

    Habar Wana Jf. Dada zangu wanaume hatupendi mtufanye kama mama zetu, hatupendi kuongozwa/ kusimamiwa, haya ndio makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya katika ndoa zao. Mwanamke ukiwa na Tabia ya kutaka kumkontroo mume wako basi ujue unakaribisha sinto fahamu katika ndoa yako,labda niwasaidie...
  11. JamiiForums Tanzania Sensa ya 2012, Wanaume walikuwa 21,869,990 na Wanawake walikuwa 23,058,933. Tutazame taarifa ya UN robo ya kwanza 2021

    Wakuu, sensa ya 2012 ilikuwa na wanawake 1,188,943 zaidi ya wanaume. Tarehe 23 August ni siku ya sensa. Taarifa ya UN kuhusu idadi ya watu duniani robo ya kwanza 2021 hii hapa: Idadi ya watu duniani ni bilioni 7.8 Wanawake bilioni 5.6 Wanaume bilioni 2.2 Kati ya wanaume hao bilioni 2.2 Bilioni...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi kesi za wanaume wa leo ni AIBU sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi kesi za wanaume wa leo ni aibu sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada, Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa hivi ataachaje kuhonga ili naye apate raha?

    Mughonile! Rafiki yangu kuanzisha Uzi hapa kisa kaniona Mimi nahonga na sihudumii familia yangu vizuri. Kwanza rafiki tambua Mimi na Wewe tupo tofauti, Mimi ninasura ngumu na isiyovutia, wakati wewe unasura laini ya Mama yako, bado unataka nisihonge, unafikiri hizi pisikali nitazipataje...
  15. JamiiForums Tanzania Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

    Wakuu, Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba. Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowasemea wanawake huko tik-tok muwe mna-balance story

    Kumekuwa na wimbi la video za tik tok ambazo asilimia kubwa wasimuliaji wake ni wanaume, video hizi ukizisikiliza muaudhui yake zimekuwa zikiwananga mno wanaume km watu ambao hawana huruma na kazi yao ni kucheza na hisia za wanawake na kuwaumiza. Na wanaume wenzetu hawa wameenda mbali hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Mawazo hasa ya wanaume yanahitajika hapa

    Habari za muda huu wakuu, Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada Ipo hivi mimi kitabia nimekuwa ni mtu ambae sio muongeaji sana na huwa sipendi sana kujichanganya na watu huwa najifeel poa sana hasa pale napokuwa peke yangu na naweza kujifungia ndani toka asubuhi mpaka jioni na...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu za wanaume kupenda wanawake wenye makalio makubwa

    Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi wanavyovutia, kuna sababu pia kwa nini wavulana wanapenda wasichana wakubwa. Wanawake wenye matako makubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tubadilike

    Wanaume wenzangu tunatafuta pesa kwa tabu sana, pia tukishapata pesa nazo zitutese kweli? Hawa wanawake tunaowaita pisi kali ni pasua kichwa, wanaume tukishapata mafanikio tunajinasibu kuwa sasa ndio muda wa kuowa mwanamke mkalii pisi ya kwenda. Nawakikishia hakuna pisi inayoweza kutulia...
  20. JamiiForums Tanzania ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni. Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…