Kama jinsi ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza.
We sema tu, mwaga yoote, zungumza ili mradi machungu yaishe, sema, paza sauti yako, payuka uwezavyo, lia sana na sana, itapendeza kama utakuwa ndani ya uzi huu huku ukiwa chumbani kwako, umejifungia kabisa, huku unatiririsha chozi taratibu...