wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili la Wanaume wa Kigoma

    Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wa Kigoma wamekuwa wakiishi katika ndoa zao katika hali ya mateso na manyanyaso makubwa toka kwa wake zao. Wengi wamekuwa wakipokea vipigo mara kwa mara na kulazimika kunyamaa ili kuepusha hali ya sintofahamu katika jamii.hata hivyo waswahili walisema "mwenda...
  2. JamiiForums Tanzania Tanasha Dona hapendi wanaume wanaonuka jasho (vikwapa)

    Kama msela una kijasho basi watoto wazuri kama Tanasha utawala kwa macho. Wanapenda wanaume wasafi wanaonukia vizuri. Kama una kikwapa tafuta wa kufanana nae.
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake, pesa au mapenzi ya dhati? Wanaume, tako au tabia nzuri?

    Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati? Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri? Twende kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Mimi hiki Kitu nakiweza ila 99% ya Wanaume Wenzangu hawakiwezi?

    Kutongoza Mke au Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu na Kumbandua / Kumpekecha? Kuwa mwepesi Kushawishika na Mke / Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu ili nilale nae / nimpekeche? Je, Mimi ni Mshamba na hiki nikifanyacho ni Ushamba na Uzembe na kwamba hawa 99% ya Wanaume Wenzangu wanaofanya...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

    Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu.. Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
  6. JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

    Ommy unatuangusha
  7. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

    Hellow Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana. Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

    1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect). 2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake. 3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe...
  10. JamiiForums Tanzania Magaidi wa kidini wakataza wanawake wasitibiwe na wanaume, ila pia wanawake wasielimishwe kuwa madaktari

    Mkihabarishwa kuhusu huu uzombi mnang'aka udini, yaani Taliban wametoa katazo kwa wanawake wasitibiwe na wanaume, hapo hapo wamezuia wanawake wasipate elimu, sasa unashindwa kuelewa nani atatibu hao wanawake maana hakutakua na madaktari wa kike. Yaani imani za kidini zinafanya mwanamke anaonwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa sasa wanawake wanajiamini Sana kuliko Wanaume; Vijana wengi wamekuwa mazuzu

    KWA SASA WANAWAKE WENGI WANAJIAAMINI SANA KULIKO WANAUME; VIJANA WENGI WAMEKUWA MAZUZU! Anaandika, Robert Heriel Ili mwanaume asijiamini itampasa awe na mapungufu Kati ya haya; i) Upungufu wa Akili/ uwezo mdogo wa kufikiri. Uwezo mdogo wa kufikiri ni moja ya sababu zinazopelekea kijana...
  12. JamiiForums Tanzania Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

    Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume

    Tafiti zinaonesha wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume. Tafiti hizi zilifanywa na chuo kikuu cha Duke kilichopo nchini marekani. Sababu kubwa zilizotawala katika tafiti hizi ni pamoja na kua Wanawake hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Nauliza tu kwa wanaume hili swali

    Mambo zenu vichaa wetu wanaume jf. Sasa swali ni hili katika kupewa mechi za kirafiki maana wengi humu ni hamna hela ??? Mnapoonewa huruma ni wapi mnaenjoy mwanadada mwenye umri mdogo au mwanadada aliyekula chumvi nyingi?? Hebu toeni ushahidi hapa mzabzab
  15. JamiiForums Tanzania Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

    Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume) Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa. Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume kabla ya kumhonga mdada pesa/kumhudumia, tujiulize hili swali moja tu

    Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada? Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya laki 3, je yeye angekuwa na uwezo na pesa za kutosha, hlf ninyi ni wapenzi, huyo mdada angekununulia...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wote pitieni hapa kujifunza kitu

    Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa. Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa kwa sababu na usijisahau kabisa kwenye hii dunia. Unajisahau kwa kuwa unapuuzia vitu vya msingi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

    Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani. Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba...
  20. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…